Pesa ya school fees... Ada.

Pesa ya school fees... Ada.

To be honest sijawai kuaminika kiasi cha kupewa ada nikalipe.. Kwa akili zangu za shake well before use za kipindi kile cha sekondari mbona wangeisoma namba wazee...but thanks to God maisha yamenibadilisha polepole
 
Hahahhaa.. aisee watu wanabadilika. Mimi ilifika kipindi hata shule zikifungwa lazima mshua amtume mtu akahakikishe...riport alikua anaifata mwenyewe hataki itumwe posta. Ila ukorofi wa mshua ulinisaidia sana..alikua ananipiga mpaka ngumi na mateke.
 
Yaani mimi shule napelekwa mpaka getini.. na walimu wanakabidhiwa, na hata shule ikifungwa nafatwa mpaka getini.. Na ripoti na mengineyo wanafata shulen direct as wanajua swaga zangu sichelewi kubadilisha positions.... Na bado sunspensions zilikuwa za kumwaga tu na mwisho wa siku napata maksi nazowapita hadi wanaonekana wana nidhamu,, hapo ndo wazee walipokuwa wanachoka na hata likizo ni mabalaaa tu home... Yaan we acha tu
 
Mh cjawah hta kuwaza kula ada manake kuipata 2 hyo 70,000 kwa mwaka inakua ishu asa niile cjui ntasaidiwaje!
 
unapokula ada unamkomesha nani? mimi nakumbuka mzee alinitukana sana alinipa hela nikaanza kuihesabu mbele yake akasema mtoto umekosa adabu huniamini hata mimi mzazi wako nilikuleta hapa dunia nilijisikia vimbaya sana tangu siku hiyo baba akinipa helanilikuwa sihesabu
 
Me nlikua nazifyeka forodhani na ma shosti zangu nkifika home wananisema weee

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
tangu F1 hadi F4 nilikuwa nakula ada. wakati ule ada ni kidogo sana, so ukitoka home january baba anakupa ada ya mwaka mzima, unalipa, ukirudi June unaomba tena ada na kumsingizia January hakukupa, anakupa ada nyingine ya mwaka... ile sasa ndo ya matanuzi...................... mimi hela yangu ilikuwa inaishia kupiga picha, nilikuwa napenda picha ni balaa, kwa kifupi nilikuwa "model" wa mwl mmoja alikuwa mpiga picha
 
Hapo kwenye red sina hakika kama nimekuelewa vizuri..
 
Da! unabahati sana wewe yaani unesemwa tu alafu basi....
 
Hapo kwenye red sina hakika kama nimekuelewa vizuri..
nilikuwa namaanisha nilikuwa mpiga picha mzuri. huyo mwal alikuwa anafanya biashara ya kupiga picha, sasa kwa vile nilikuwa na kaugonjwa ka kupiga picha, ilikuwa hakuna mkanda amewahi kusafisha kusiwe na picha zangu, labda kama kapiga kwenye sherehe ambayo sikuhusika
 
Mm nilisoma seminary ilikuwa ukitia mguu kabla ya yote huna hapohapo urudishwa na home
 
Hii post imenikumbusha bagamoyo sec watu walikuwa wanauza hadi magodoro ya kulalia ,mapenzi na masomo vitu hatari sana
 
Ila sijui kwa nini nilikuwa naona kama naonewa kulipa ada (same as kulipa vehicle sijui road licence, aaaaggghhhrrr!)
basi nilikuwa naila, then napiga reverse call kuwa naumwa sana typhoid nimelazwa dispensary. Najua tu kesho yake mshua ataingia. Akienda kuongea na 2nd master tu ataambiwa nadaiwa ada😀
na kabla hajaondoka nacjomekea kwa mwalimu kabisa umemkumbusha ada?
Hapo na ugonjwa tena, mwalimu mkuu anaishia kusema msisumbue wazazi tuna dispensary nzuri, mie mawazo yote kwenye visebeo na mshiko wa kuminyiwa. Raha sana kuwa kiddo aisee. Acha wema sepetu aseme she is 21, kha!
 
tangu F1 hadi F4 nilikuwa nakula ada. wakati ule ada ni kidogo sana, so ukitoka home january baba anakupa ada ya mwaka mzima, unalipa, ukirudi June unaomba tena ada na kumsingizia January hakukupa, anakupa ada nyingine ya mwaka... ile sasa ndo ya matanuzi...................... mimi hela yangu ilikuwa inaishia kupiga picha, nilikuwa napenda picha ni balaa, kwa kifupi nilikuwa "model" wa mwl mmoja alikuwa mpiga picha

hahahaha,wagonjwa wa picha tuko wengi. Mi nilijinunulia camera ya konica nzuriii nikiwa form 3. Ilikuwa ada ya two years nadhani, almost pocket money yote. Nahisi niliugua kila mwezi. Balaa ni kuwa napigwa mapicha kusafisha mikanda ndo issue. Nadhani kuna undeveloped films home hadi leo.
Ila wewe huyo mwalimu hakukunaniliu? Manake kuna msichana alikuwa anasleep na mpiga picha nikiwa a-level.
 
Back
Top Bottom