Pesa ya school fees... Ada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa ya school fees... Ada.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sarikoki, Oct 1, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii pesa ina balaa,ni tamu ajabu na huwa hairudishiki...wakati nasoma mambo ya kulipia bank yalikua bado hayajaanza. Ilikua shule zikifunguliwa tunakutana pale Moshi mjini maana wanafunzi wanaotoka Dar lazima walale town kesho yake ndo tunaenda kijijini shule.
  Balaaa linakuja unaanza kuonyesha ufahari.... yaani pocket money inaisha kabla hujafika shule... then unaamia kwenye ada... kudadadeki ukifika shule unamsomesha basa ,unamwambia baba amesema ataleta.... siku zinaenda , mambo yanakua sio mambo pale asubui moja mko parade ghafla unaona basa anakuja na karatasi la majina ya wanaodaiwa, pembeni kuna mwalimu wa zamu na viranja wa mabweni. Yaani mliotajwa baada ya hapo mnasindikizwa kuchukua mabegi alafu home no discussion.

  Alalfu mara nyingi demu uliyekula naye maisha na pesa ya ada yeye jina lake halitajwi,....... mara ya mwisho nakumbuka nilizingizia pochi imedondoka chooni......aisee.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  he hee heee mimi nilikuwa nafanya kusudi sichukui home school fees ili ikitokea amri ya kurudishwa home
  nirudi home kula vinono
  siku moja ile kurudi home tu ijumaa kujifanya nimerudishwa kwa ada
  nikafikiri nitakaa hadi jumapili ndo niondeke
  duh..jumamosi nikafurumushwa na kupewa ada nikalipe lol
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  asante nilizaliwa bibi kizee, marfuku kugusa ada.

  Na ole mwanangu ale ada, itamtandika kama NSSR walokula NSSF yangu.
   
 4. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  du mie dingi alikuwa nuksi, nikiwa o levo day, dingi akikupa ada jion anadai risit.

  nikiwa f 2 nikadokoa na kununua unyunyu, dingi alipodai risit jion nikasingizia vitabu vya risit vimeisha so wakinunua watanipa risiti, so basa karekodi kwenye likitabu lake, dingi akasema poa uwakumbushe wasije wakasahau.

  dingi usiku akachezwa na machale, kesho yake katinga skull bila mie kujua, ghafla nasikia unaitwa kwa hedmasta,

  Naingia hamadi mdingi huyu, yaani ile kuniona tu, nilikula makofi ya kufa mtu bila hata kupewa nafasi ya kutoa maelezo.

  H/masta alikuwa mnoko kinoma, ila kwa kile kichapo alilazimika kuokoa jahazi, pale dingi kwa hasira akalipa pesa ingine bila kudai ile alionipa jana yake (30,000)

  Akaaga tutaonana home akaondoka, headmaster alishindwa kuniadhibu baada ya yale makofi ya fastafasta ya mdingi.

  Jion yaliyo nikuta home nayajua mie.
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Du kuna mitambo humu duniani...sijawahi wala kufikiria kwamba ada huliwa...
   
 6. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Me ada sikuwahi kulipa (kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo siyo ujanja,namshukuru H/master Mr.Mwasha) si unajua boarding halafu special school kitu 70,000, parefu bado unatoka mbali kwa treni,tulikuwa tulizungushana nimelipa wakati nachukua cheti,......MUNGU AMBARIKI SANA HUYU H/MASTER MANAKE ANGEKOMAA DU NDOTO ZANGU ZINGEYEYUKO HATA JF SIJUI KAMA NINGEIJUA
   
 7. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  nyie mlisoma shule zipi? pesa za ada ulipwa bank harafu mzaz anakupa risiti
   
 8. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hehehe.. alafu mara nyingi unachelewa kufika nyumbani.... unakuta umerudisha toka asubuhi uzurura mjini ikifika jioni kali ndo unaingia home.... maana unaogopa ukiwahi unaweza pewa siku hiyohiyo ugeuze school...... Mimi nilikua naendaga kwa bibi alafu natinga home Jumamosi mchana....kwa hiyo ngoma jumatatu hiyo. Du...!
   
 9. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mi nimesoma wakati bank unaenda na kitabu sio account number...wewe umeikuta hiyo.
   
 10. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Von huyu Mr Mwasha sio wa ile shule kule mwika?
   
 11. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkirua inaelekea ulisoma Seminary wewe..
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Huna lolote! Si useme tu kuwa hukugusa ada yako kwa kuwa ulikuwa unakula yangu?!!
   
 13. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hehehhehe..alafu ukitoka hapo unaenda chooni kunawa uso ili watu wasishtukie....ukirudi class unajichekesha chekesha...ehehehhe.. Nakumbuka mshua alikua akiitwa school anakuja na fimbo zake ..... hakuulizi yeye anachosikiliza ni maelezo ya headmaster tu...baada ya hapo anatoa saa, miwani na pakiti yake ya sigara maranyingi inakuaga mfuko wa shati...then anaanza shughuli..bila walimu kuingilia hakuachii.. ila namshukuru sana.
   
 14. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umeonaeee...maranyingi mademu ndio walikua wanatuponza..
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Yaani! We acha tu ndugu yangu! Kina Kongosho mbona wanatumaliza!
   
 16. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Enzi hizo alikuwa Mzumbe sec-Moro
   
 17. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok...basi sio huyo kuna mmoja alikua mkali Physics.. alikua haingii na kitabu..kama mhubiri na Biblia vile.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  He he he, nilikuwa nakula ya mwalimu wa Chemistry.
  Usiniambie wewe ndio yule mwalimu fulani??

  He he eh, akyamama nitachekaje?

   
 19. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ADA! mh, sie tulisoma bureee utamu wa pesa ya ada sijawai kuupata
   
 20. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Bora umekiri mwenyewe!
   
Loading...