Pesa ya school fees... Ada.

Pesa ya school fees... Ada.

du mie dingi alikuwa nuksi, nikiwa o levo day, dingi akikupa ada jion anadai risit.

nikiwa f 2 nikadokoa na kununua unyunyu, dingi alipodai risit jion nikasingizia vitabu vya risit vimeisha so wakinunua watanipa risiti, so basa karekodi kwenye likitabu lake, dingi akasema poa uwakumbushe wasije wakasahau.

dingi usiku akachezwa na machale, kesho yake katinga skull bila mie kujua, ghafla nasikia unaitwa kwa hedmasta,

Naingia hamadi mdingi huyu, yaani ile kuniona tu, nilikula makofi ya kufa mtu bila hata kupewa nafasi ya kutoa maelezo.

H/masta alikuwa mnoko kinoma, ila kwa kile kichapo alilazimika kuokoa jahazi, pale dingi kwa hasira akalipa pesa ingine bila kudai ile alionipa jana yake (30,000)

Akaaga tutaonana home akaondoka, headmaster alishindwa kuniadhibu baada ya yale makofi ya fastafasta ya mdingi.

Jion yaliyo nikuta home nayajua mie.

Hahahaha huyu mdingi alifanana na mdingi wangu mweeeeeh alikua anakupa ada anasema make sure jion umerudi na risiti au pesa zangu...'Kwahiyo kabla sijalipa ada nilikua nauliza kabisaaa mhasibu kama ana risiti kama hana narudi na fedha ohm mweeeeeh
 
hahahaha,wagonjwa wa picha tuko wengi. Mi nilijinunulia camera ya konica nzuriii nikiwa form 3. Ilikuwa ada ya two years nadhani, almost pocket money yote. Nahisi niliugua kila mwezi. Balaa ni kuwa napigwa mapicha kusafisha mikanda ndo issue. Nadhani kuna undeveloped films home hadi leo.
Ila wewe huyo mwalimu hakukunaniliu? Manake kuna msichana alikuwa anasleep na mpiga picha nikiwa a-level.
huyo mwl hakuninaniliu bwana, ila alikuwa ananipenda sana. alikuwa ananipiga sana picha na mara nyingi alikuwa ananichagulia pose, sasa wateja wengine wakiona picha zangu wanamwambia mwl ananipendelea picha zangu anatoa vizuri zao mbaya............ siku moja akawaambia hivi ndo ulivyo, hii ni picha yako, usitake kutokea kama wengine, lol
ila wewe ulizidisha, mpaka ukanunua kabisa na kamera? ha haaaaaaaaaaa
 
he he he, walimu na mabinti wana tabu.

Wengine full kutoa out, kila weekend, chezeiya boarding wewe.

huyo mwl hakuninaniliu bwana, ila alikuwa ananipenda sana. alikuwa ananipiga sana picha na mara nyingi alikuwa ananichagulia pose, sasa wateja wengine wakiona picha zangu wanamwambia mwl ananipendelea picha zangu anatoa vizuri zao mbaya............ siku moja akawaambia hivi ndo ulivyo, hii ni picha yako, usitake kutokea kama wengine, lol
ila wewe ulizidisha, mpaka ukanunua kabisa na kamera? ha haaaaaaaaaaa
 
nilikuwa namaanisha nilikuwa mpiga picha mzuri. huyo mwal alikuwa anafanya biashara ya kupiga picha, sasa kwa vile nilikuwa na kaugonjwa ka kupiga picha, ilikuwa hakuna mkanda amewahi kusafisha kusiwe na picha zangu, labda kama kapiga kwenye sherehe ambayo sikuhusika

Ahaaa.... nimekusoma sasa..
 
nyie wote mlikua hamjui kuongopa ndo maana mlikua mnakula makofi
 
nyie wote mlikua hamjui kuongopa ndo maana mlikua mnakula makofi

Unaongopa mpaka unaona aibu mwenyewe... ukiuliza unaanza kujichekesha... alafu unajikuta unafunguka mwenye....'' najua nyie mnafikiri mi nimekula ada sawa tu''
 
He he he he, mwalimu wetu alikuwa anatufundisha kilimo cha mchicha kila siku

Yaani nilielewa hadi nikachoka

Shule za msingi za zamani ilikuwa kujifunza kusoma na kuandika tu

Hahahhaha..umenikumbusha kulikua na Sayansi kilimo pia.
 
Back
Top Bottom