Pesa taslimu za kununua ndege anazipata wapi?

Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
Ni ya kweli haya au kwa kuwa nimesema? Wanasiasa siku hizi siwaamini sana wakinambia saa hizi ni usiku au asubuhi lazima nitoke kuangalia jua liko wapi ili niwe na uhakika.
 
Na wewe usiwe nyumbu wa kushangilia kila kinachosemwa na waume zako wa ufipa . Hao waume zako wanahongwa na mabeberu kuchafua nchi
Sasa wewe unayeshupaza mishipa ya shingo hapa kwa kuitikia viitikio vya mapambio yaliyojaa upotoshaji sidhani kama wanakupa hata maji ya kunywa kulainisha koo! Unatetea ujinga na kujitoa ufahamu kwa vitu vilivyo wazi kabisa. Watumishi wamepandishwa vyeo tangu April mosi na bado wanalipwa mishahara ya zamani hadi December hii! Kwako ni sahihi kwa kuwa una wivu na uvivu wa kufikiri! Wengine wamezimia counter za pssf hasa waliostaafu agost kwa kupewa 25%ya michango yao kinyume cha sheria ya ajira kipindi wanaaajiriwa! Kwako ni sawa tu! Huna tofauti na maiti wa fikra na utu na unakosa sifa ya kuwa binadamu! Mnafiki sana wewe mtu!
 
Hizi ngonjera za ufipa zimechuja . Tungeni zingine
 
Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
1.5T iko wapi???????? "
 
Hizi ngonjera za ufipa zimechuja . Tungeni zingine
Ndiyo maana unashabihiana na mnyama kwani unawazia nyasi tu kondoo wewe! Ukichanwa, unakimbilia kukibanza mitaa ya ufipa! Huenda unauza nyapu mitaa ya makaburini au lang'ata au mwembejini! Utaiuza sana hiyo kitu kwa buku mbili!
 
Nasikia wanene wa ufipa wamekudunga mimba na kukukimbia
 
Kama babako aliibeba mimba yako, basi sawa nami nitaibeba! Punga la haja hili! Hivi huko kwenye familia yako nawe unahesabika? Jirekebishe dogo siasa hizi za nyakati hizi siyo! Na kwa jinsi unavyojipendekeza, siku ukigundua kuwa wamekuignore ubokoharam unakuhusu!
 
Haya endelea kujipendekeza hapo ufipa wakudunge mimba ya pili. Lofa mkubwa wewe
 
Lofa wewe unayedengwa kwa buku mbili hapo lumumba! Sifa zako tunazo na ipo siku tutazianika hapa ili kukomesha hiyo tabia ya ushoga uliyonayo! Nashangaa kwanini makonda hajakutanguliza mahabusu!
 
Huna malinda wewe
 
Miradi ya stiegler Gorge na reli asilimia 90 ni mkopo. Hiyo miradi mingine hakuna hata mmoja unaozidi 100b. Hizo ndege alitoa pesa cash alipoingia madarakani akidhani mambo ni marahisi kwani alikuwa na nadharia zaidi. Kwa sasa kununua hizo ndege sio tatizo, ngoma ipo kwenye uendeshaji ili zilete tija.
Unafahamu hazina ina kiasi gani?
 
Malinda ndiyo nini? Wa kuja kajifunze kuandika kwa ufasaha na ndio maana unashabiikia chama cha kijinga na kuimba kijinga kumbe maiti fuvuni!
Chama cha kijinga ni chadema hakina hata ofisi
 
Muulize mmeo Zito Kabwe
Kwa hyo zitto Ndio aliandaa ripoti ya CAG??? Fisiem nyie ni wezi... Wachumia tumbo kama ww mnaoshinda humu jf kwa buku 7 mlaaniwe

Qumanina zenu
 
Chama cha kijinga ni chadema hakina hata ofisi
Cdm lazima ikuumber ruthy safari hii. Utaitaja sana humu kila kwa kila dakika! Na bado inazidi kuimarika na itachukua dola karibuni ili mpigafilimbi wewe uweweseke vizuri!
 
Heri ya Krismas wakuu.

Naomba kufahamishwa. Pesa taslimu za kununua haya madege anazipata wapi? kuna mtu alinitonya kuwa mzeebaba amesanya pesa zote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hadi kuifilisi na alipoona hivyo akaja na spin za kuiunganisha kubaki na mfuko mmoja na baada ya hiyo spin akaja na twisti nyingine ya wenye pesa zao kupewa 25%. je haya ni ya kweli?

kama siyo ya kweli pesa taslimu kununua madege mapya anazipata wapi?
Kodi zetu mkuu. Ni kudhibiti wizi tu pesa tanzania ipo tele
 
Walitamani hicho kitokee. Jamaa mbulura kweli
Watanzania sjui baadhi yenu mnaakili gani.
Angeshindwa kulifufua mngemcheka saana
2015 si aliwaambia mkimchagua atazinunua
 
Back
Top Bottom