Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Mkuu umemjibu vyema kabisa. Wanamuona JPM kama vile anafanya uchawi kumbe ni akili ya kawaida tu inayotumika.Kwani hela za:
Elimu bure
Afya
Mishahara
SGR
Stiglers
Hizi zote anazipata wapi?
Ina maana hadi umri huu hujui vyanzo vya mapato ya serikali?
Au unataka majibu ya kukufariji kwamba anaziiba?
Nimegundua hakuna kitu kinawapa tabu kama ununuzi wa ndege.
Badala ya kuhoji trillion 7 za kujenga SGR anazipata wapi wewe unaulizia bilioni 700 za kununua ndege?
January Airbus nyingine inaingia.
KAA DAWATI LA MBELE USOME NAMBA VIZURI.
Uwe na laki moja mfukoni ni uamuzi wako kama unataka kununua matofali ya kujengea nyumba au uinywe yote Bar halafu kesho asubuhi uanze kupiga mihayo.