Pesa taslimu za kununua ndege anazipata wapi?

Pesa taslimu za kununua ndege anazipata wapi?

Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
Na wewe umemuamini Jiwe?Huyu huyu aliyesema alikuta sukari ni sh 5000 wakati anaingia madarakani,akaishusha mpaka 3000!
 
Heri ya Krismas wakuu.

Naomba kufahamishwa. Pesa taslimu za kununua haya madege anazipata wapi? kuna mtu alinitonya kuwa mzeebaba amesanya pesa zote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hadi kuifilisi na alipoona hivyo akaja na spin za kuiunganisha kubaki na mfuko mmoja na baada ya hiyo spin akaja na twisti nyingine ya wenye pesa zao kupewa 25%. je haya ni ya kweli?

kama siyo ya kweli pesa taslimu kununua madege mapya anazipata wapi?
Uko sahihi mm huwa najiuliza hizo pesa zilipitishwa na bunge lipi?
 
Mimi nahisi ni ubanaji wa bajet hasa kwenye upandishaji wa madaraja kwa watumishi
 
Doto katibu mkuu wizara ya fedha si mtoto wa Dada yake mtukufu bali ni mtoto wake wa nje yaani mtoto wa kufikia, wakikaa vikao wanachukua pesa mda wowote wanaotaka hata saa nane usiku kwani Mtu na baba yake ndiyo wenye Dhamana na pesa zote na Nchi hii ni hatari iliyoje maana style hii ilikuwa ikitumika kipindi cha Utawala wa Mabutu enzi za Zaire na pia marehemu Iddy Amin dada ambao walikuwa wakichota Hazina ya Nchi pasipo idhini ya Bunge.

Basi jamaa lina roho nzuri sana,hivi kwa akili tunazoambiwa linazo mtoto wa kufikia lingempa kichaka kweli???kama alivyo baba wa kambo??
 
Nadhan mtoamada ameuliza pesa zimetokawapi? Na si mifuko ya jamii inadainn?
What is the source?
Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
 
Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
mkuu unamuamini pombe ?
wakati mifuko inaidai serikali trilioni tatu wastaafu walilipwa tena 75%
leo mifuko inaidai serikali bilioni mia mbili tu wastaafu ni vilio..
Huyu ndumila aliwahi kusema aliikuta sukari kilo elf tano akaishusha..
kada mwenzangu hiki kizee kinadai ATCL tayari imeanza kutengeneza faida ya mabilioni wakati hata gharama ya hayo mandege haijarudi..
Huyu muzandik aliwahi kusema Sadam Hussen ni wa Quwait...
bado unamuamini ?
Kama ni mlipaji angelipa angalau malimbikizo ya watumishi
bullshit
 
Mbowe alisema Lowasa ni fisadi namba moja duniani lakini mpaka leo unamwamini
 
ama siyo ya kweli pesa taslimu kununua madege mapya anazipata wapi?
Sio anazipata wapi. Uwe ukifuatilia matukio wala hutauliza chochote. Sema; Alizipata wapi kwani tumeshalipa Cash sio tutalipa, bali tumeshalipa. Sisi tunayangojea madege yetu tu yatue tuyamiminie maji ya togwa. Mifuko iliunganishwa juzi baada ya sisi kilipia cash madege yetu hivyo huo wako nao ni uongo wa kiwango cha lami tena wenye tbs kabisa.
 
Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
huu ni mwezi december kuna watumishi zaidi ya 2500 waliostaafu hawajalipwa mafao yao kabisa haya ni yale ya mkupuo. wale wa zamani wanaolipwa kwa mwezi hawajalipwa tangu October wakati zamani walikuwa wanalipwa sambamba na mishahara ya walio kazini. unamdanganya nani asiyejua? unafikir kila anayehoji ni wa ufipa? kanjanja wewe unatia kinyaaa
 
Magufuli ameikuta mifuko ya jamii inaidai serikali trilion 3 ndani ya miaka mitatu amepunguza deni na kubaki billion 200 tu.

Njoo na porojo nyingine ewe mwana ufipa
Kasuku at his best, jk alisema mifuko inadai trillion 8, wenye mifuko wanasema wanadai 11 trillion, mwingine anasema trillion 3!

Kasuku unachukua lipi hapo? Kwanini wanabadiri policies kutoka 75% mpaka 25% na kwanini wengine wanashindwa kulipwa? Ukiwaza kwa sauti hapo labda utapunguza ukasuku!
 
huu ni mwezi december kuna watumishi zaidi ya 2500 waliostaafu hawajalipwa mafao yao kabisa haya ni yale ya mkupuo. wale wa zamani wanaolipwa kwa mwezi hawajalipwa tangu October wakati zamani walikuwa wanalipwa sambamba na mishahara ya walio kazini. unamdanganya nani asiyejua? unafikir kila anayehoji ni wa ufipa? kanjanja wewe unatia kinyaaa
Wewe ni msitaafu?

Kama siyo kaa kimya achana na story za vijiweni
 
Mi ninachojua ni msukuma mwenzako. Mengine siyajui
Heri ya Krismas wakuu.

Naomba kufahamishwa. Pesa taslimu za kununua haya madege anazipata wapi? kuna mtu alinitonya kuwa mzeebaba amesanya pesa zote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hadi kuifilisi na alipoona hivyo akaja na spin za kuiunganisha kubaki na mfuko mmoja na baada ya hiyo spin akaja na twisti nyingine ya wenye pesa zao kupewa 25%. je haya ni ya kweli?

kama siyo ya kweli pesa taslimu kununua madege mapya anazipata wapi?
 
Pesa ni mali yake kwa wadhifa alo nao so he can do as he pleases !
 
Muwe mnaumiza vichwa kabla ya kuweka uzi jukwaani. Mnasahau kuwa awamu zilizopita pesa ya chai maofisini ilikuwa ni mabilioni ya shilingi?.

Mnasahau kuwa mikutano ya wizara na taasisi za kiserikali siku hizi haifanyiki tena bagamoyo na kule kwenye mahoteli ya baharini?.

Mnasahau kuwa vitu kama drones vilikuwa havitozwi kodi lakini kwa sasa ndio chanzo cha mabilioni ya mamlaka ya anga kimapato?.

Mnasahau kuwa yeye mwenyewe Ngosha hajatoka nje ya afrika tangu aingie magogoni?. Mnasahau ile misafara ya kwend New York yenye watu zaidi ya 40 wanaolipwa posho ya kila dakika wakiwa kule?.

Ngosha kabana matumizi yasiyo na ulazima, matokeo yake pesa zinaenda kufanya mambo yenye tija kwa taifa.
KUPANGA NI KUCHAGUA!KUNA MAMBO HAYAHITAJI NGUVU KUYAONA!MH.RAIS APEWE MOYO ILI TANZANIA ISOGEE MBELE.KIASI CHA PESA KILICHOKUWA KINAIBWA NI KIKUBWA SANA!
 
Back
Top Bottom