Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Bishanga ..mimi napenda ukiwa na kitu au ukiwa huna.Iam all weather.Kopi aione Zion Daughter
Last edited by a moderator:
Bishanga ..mimi napenda ukiwa na kitu au ukiwa huna.Iam all weather.Kopi aione Zion Daughter
Anayebisha aseme........
Kopi: wanawake wote wa chitchat.
Bishanga ..mimi napenda ukiwa na kitu au ukiwa huna.Iam all weather.
Yereuuuuuwiiiiiii.... mie naitakaje sasa!
Bishanga hebu do ze nidful bana, rusha kaempesa khaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Hahaha.. Bishangaaaaa naona unakumbukia enzi hizo kabla hujafilisika.
charminglady m pesa ndo mtaa gani? Nipe akaunti namba nikuhamishie from my Llyods platinum card.
unamaanisha juani?
Ina kiherehere ile mbaya