pesa ni kitu kizuri.........

pesa ni kitu kizuri.........

endelea kuomba Bishanga.. ila kumbuka hata Elton John ana hela na anaitumia imzoee lakini anapumuliwa.. kuwa na hela sio kila kitu..
kwanza mie bado niko kwenye falsafa za Mwalimu.. Pesa sio msingi wa maendeleo.. na kwamba ili niendelee ninahitaji vitu vinne.. kwanza nyumba (ya kulala na shemeji yako Paloma usije kutupiga chabo).. pili kitanda cha sita kwa sita.. tatu shemeji yako Paloma na mwisho ni condoms kwa ajili ya uzazi wa mpango..
Hahahaha sosoliso kumbe kitamba chako tena cha vono ( unakumbuka vitanda vya spring) ni muhimu kuliko Paloma,aisee!
 
Last edited by a moderator:
Ni wewe bwana Suzie acha kuntesea mtima wangu.

shem sosoliso ebu kuja kipande hii..

Nitautesaje mtima wako ilihali hata miye wangu haujastuka kama kuna mwenzie? usintafutie matatizo mwenzio mi bado kigoli mwaya ntachapwa na maza nikionekana naongea na wanamme
 
Nitautesaje mtima wako ilihali hata miye wangu haujastuka kama kuna mwenzie? usintafutie matatizo mwenzio mi bado kigoli mwaya ntachapwa na maza nikionekana naongea na wanamme

Hujambo Suzie?
Nipigie plizz
Kopi aione Mentor
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, nikae kimya maana majina yanafananaga nisije sutwa bure
Suzie hapa hakusuti mtu.. mbona wampumulisha kwa shida shemeji yangu Mentor bibie..? hebu fungua moyo wako maana wa kwake uko wazi toka siku aliyokutia machoni.. wasubiri uingie.. Maana anapungua sana kwa mawazo juu yako.. akinywa maji anakuona kwenye glass.. hana neno litokalo kinywani mwake zaidi ya jina lako.. mtima wake unaingia vumbi kwa maana uko wazi ukisubiri wewe uingie.. hebu fanya staha mwenzio apate kaa.. yu tayari kukupa hata dunia ukiitaka.. mradi wewe ufurahi mtima wake utulie.. mahaba yake kwako ni mazito yamezidi thamani ya vito..

Ni wewe bwana Suzie acha kuntesea mtima wangu.

shem sosoliso ebu kuja kipande hii..

shem Mentor ucijali c unaona maneno kuntu hayo niliomuambia.. subiri haruki hapo..

cc Paloma..
 
Last edited by a moderator:
Bishanga niachie huyu amenipenda....!!!

shem sosoliso mimi nakushukuru..nimeshampm bibie Suzie naona mambo yanaenda vyema!!!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kama pesa nzuri mbona yuda alijinyonga? tajiri kuuona ufalme ni ndoto...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom