Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Pesa matumiziAnayebisha aseme........
Kopi: wanawake wote wa chitchat.
Pesa matumiziAnayebisha aseme........
Kopi: wanawake wote wa chitchat.
Mmmmmmh mmmmmmmKale kamchezo kenu wahaya ka kuchezea "K" kama unachezea konokono?, sijui kama atakaweza.katelelo
Pesa sabuni ya rohooPesa ni kila kitu asikuambie mtu, hasa mwanaume ukiwa nazo kila mzazi mwenye binti atataka umuoe kwa kigezo cha heshima utasikia ooh! Yule kijana anaheshima!
hivi tedo nae yupo mweeeeh!
Ukishakua nazo watu wanakupa respect hata kama ni za EPA
endelea kuomba Bishanga.. ila kumbuka hata Elton John ana hela na anaitumia imzoee lakini anapumuliwa.. kuwa na hela sio kila kitu..
kwanza mie bado niko kwenye falsafa za Mwalimu.. Pesa sio msingi wa maendeleo.. na kwamba ili niendelee ninahitaji vitu vinne.. kwanza nyumba (ya kulala na shemeji yako Paloma usije kutupiga chabo).. pili kitanda cha sita kwa sita.. tatu shemeji yako Paloma na mwisho ni condoms kwa ajili ya uzazi wa mpango..
mwenzangu...kumbe mie rank yangu ni ya tatu..........yeeeuwiii Mentor njoo unidake kabla sijadondoka....mwili n aakili vinakosa nguvu huku!!!!!!!!!!!!
Wifiyo mtarajiwa...mumeo kantafutia!!!
atakuweza na saccoz yako?
atakuweza na saccoz yako?
Ayaa mbona unaharibu mapema hivi!??
Babe Paloma anataka kukuharibia tena shem..? Anaua tim..
huyu shem wako huyu naye nahisi ataachia wapepelezi kazi ya kusaka visitor....aliyenywewa viagra!!!
Mentor usijali banaa we mdogo wangu ulivyokamilika lazima ataingia kwemye saccos tu
afu msomali nimewasiliana naye! Ibadani kama kawaida maana atakuwa anatoa ushuhuda!
Naam nimefurahi kupata habari hizi...! misa sitoikosa...:A S clock: