Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

Shikamoo pesa....but pliiizzz usiniondolee utu wangu!

Umenigusa sana mkuu REALITY

Utu utaondoka pale utakapo kuwa na hitaji .... moneyis every thing Uwezi kutiana unanjaa ya siku tlatu au unanuka nywele ......
 
Last edited by a moderator:
pesa haina thamani ila vitu ndo vinathamani,pesa ni utumwa,pesa ni adui wa haki,upendo,amani,mapenzi na furaha,pesa ni exchange ya uhuru na muda basi,ukitaka upate uhuru na muda wa kuexplore nature inabidi upoteze uhuru na muda as well.

watu wamejisahau kuwa wanahisia za kweli katika ulimwengu wa mapenzi na hii ni kutokana na athari za uwepo wa fedha,vitu kama dharau,kejeli,mihangaiko,mifarakano,ugomvi simply ni pesa,ndoa kuvurugika at high rate ni pesa.Watu mnajisahau pesa ni mfumo wa kumtendea kazi mtu mmoja huku watumiaji tukiwa na lost of freedom and time.

Mapenz yamekuwa interfed na pesa,yani pesa imekuwa a judge to prove who loves and cares,while in viceverser is not supposed to be that way,mmetekwa kiakili na pesa mkashindwa kuilewa mkabaki kuipenda na kuiabudu,bila kuilewa principles zake,imefika stage no feelings kwa mtu bali pesa

take money as a path to what you like but not as a key for every door

LOVE IS FREE NATURE IS WE LIVE AS NO MONEY EXISTS YOU WILL BE FREE AND HAPPY INSIDE YOU

absolutely mkuu.
 
WANAWAKE TUNACHOTAKA NI MAHITAJI YETU KUPATA KWA WAKATI NA KWA DUNIA YA SASA PESA NDIO KIRAHISISHI CHA KILA HITAJI NA HATA MAPENZI .... mkuu money is every thing
 
Nahitaji mahitaji yangu yafanyiwe kazu kwa wakati... mkuu pesa inatafutwa itumike ni si kuhifadhiwa topic closed

mahitaji yako afu *yafanyiwe*??na nani
??sio ufanye tu kama unataka,maisha tuishi sisi kama sisi na sio kuona pesa ndo nguzo bali vitu
 
hhhmm mis chaga na huku upo .
ebu funguka najidanganyaje?

For this world we are nw money facilitate every thing my dear achana na REALITY anayeishi na hisia now day kila kitu parctical good food need money... good kiss.need money ... good sex need money .... good clothes need money... how? U want .your mouth smile good u need buy calgate .... okey think much utanielewa tu
 
Last edited by a moderator:
mahitaji yako afu *yafanyiwe*??na nani
??sio ufanye tu kama unataka,maisha tuishi sisi kama sisi na sio kuona pesa ndo nguzo bali vitu
REALITY your not real embu fikiria nipo magimeni nataka kwenda tegeta mkUu panahitajika hela kwa ajili ya usafiri.. si wakati wa hunters and gatherer my dear now we have cars which need money to have one or to use my dear.... money is every thing kasoro kifo ndiyo tumeshindwa japo tunajaribu kuweka airbags na oxygen machine
 
Last edited by a moderator:
Utu utaondoka pale utakapo kuwa na hitaji .... moneyis every thing Uwezi kutiana unanjaa ya siku tlatu au unanuka nywele ......

We ni kilema wa kila kitu kiasi kwamba huwezi ukajishughulisha upate kula mbali na kusubiria pesa ya kuhongwa?
 
For this world we are nw money facilitate every thing my dear achana na REALITY anayeishi na hisia now day kila kitu parctical good food need money... good kiss.need money ... good sex need money .... good clothes need money... how? U want .your mouth smile good u need buy calgate .... okey think much utanielewa tu

ha ha so kwa nini pindi hawa binadamu wanapohitilafiana na kuachana utasikia namchukia manumbu kwa nini usisema naichukia pesa coz ulipenda pesa hujampenda manumbu. infact mapenzi ni mazuri ila sisi binadamu ndo washenzi hatuna upendo ndo maana vijana wakiume mnawatumia sana kujineemesha mwisho wa siku mnaachana unaenda kwa mwingine jamani kuweni na huruma na pesa isitawale kichwani wenye nazo wakikujua utatumika kama choo ya standi kila mwenye pesa unazozidai utakuja na kuweka uchafu wake. badili mtazamo wako .
 
Last edited by a moderator:
WANAWAKE TUNACHOTAKA NI MAHITAJI YETU KUPATA KWA WAKATI NA KWA DUNIA YA SASA PESA NDIO KIRAHISISHI CHA KILA HITAJI NA HATA MAPENZI .... mkuu money is every thing

i deny money cant buy love,money cant cure cancer,money cant make you a genious if you are dull,money cant give you joy if the one you trully love doesnt want you,money cant stop disasters,money cant wash your sins,money cant do anything in the middle of a jungle or desert
GOD-1
KNOWLEDGE IS EVERYTHING

miss chagga
 
Achana na imagination my dear cime to realistic thing who told is seen my dear hilo jina la kujificha halikufai..... money is everything mkuuu like 99 8.00002% katika maisha yetu need money
 
Last edited by a moderator:
REALITY your not real embu fikiria nipo magimeni nataka kwenda tegeta mkUu panahitajika hela kwa ajili ya usafiri.. si wakati wa hunters and gatherer my dear now we have cars which need money to have one or to use my dear.... money is every thing kasoro kifo ndiyo tumeshindwa japo tunajaribu kuweka airbags na oxygen machine

point ni unataka kwenda wapi ila sio pesa inakufanya uende wapi,pesa hapo ni sawa na mafuta yanachomwa gari likitembea

je lengo lako ni pesa au ufike tegeta?unaweza pia ukawa unahela na pia usifike tegeta na unaweza usiwenayo na bado ukafika
 
Last edited by a moderator:
Achana na imagination my dear cime to realistic thing who told is seen my dear hilo jina la kujificha halikufai..... money is everything mkuuu like 99 8.00002% katika maisha yetu need money

unaelewa maana ya imagination,money is a TRAP na siku ukishtuka utakuwa umepoteza vingi
 
Back
Top Bottom