Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
pesa haina thamani ila vitu ndo vinathamani,pesa ni utumwa,pesa ni adui wa haki,upendo,amani,mapenzi na furaha,pesa ni exchange ya uhuru na muda basi,ukitaka upate uhuru na muda wa kuexplore nature inabidi upoteze uhuru na muda as well.

watu wamejisahau kuwa wanahisia za kweli katika ulimwengu wa mapenzi na hii ni kutokana na athari za uwepo wa fedha,vitu kama dharau,kejeli,mihangaiko,mifarakano,ugomvi simply ni pesa,ndoa kuvurugika at high rate ni pesa.Watu mnajisahau pesa ni mfumo wa kumtendea kazi mtu mmoja huku watumiaji tukiwa na lost of freedom and time.

Mapenz yamekuwa interfed na pesa,yani pesa imekuwa a judge to prove who loves and cares,while in viceverser is not supposed to be that way,mmetekwa kiakili na pesa mkashindwa kuilewa mkabaki kuipenda na kuiabudu,bila kuilewa principles zake,imefika stage no feelings kwa mtu bali pesa

take money as a path to what you like but not as a key for every door

LOVE IS FREE NATURE IS WE LIVE AS NO MONEY EXISTS YOU WILL BE FREE AND HAPPY INSIDE YOU
 
Hayo maneno ya kingereza hapo chini nimeshindwa kuelewa umetaka kumaanisha nini
 
Hayo maneno ya kingereza hapo chini nimeshindwa kuelewa umetaka kumaanisha nini

namaanisha pesa iwe daraja la kuvuka kuelekea kwenye mali kama hakuna namna nyingine huru ya kupata hiyo mali ,pili usichukulie pesa ndo ufunguo wa vitu vyote maana kuna vitu vingine pesa haifungui
 
kwa hyo pesa ni sumu ya mapenzi

sio sumu tu ila ni adui wa mapenzi ,inaweza kuwatumia kwa muda fulani ikawadanganya,ikawajengea hisia flani nzuri kutokana na uwepo wake ila siku ikiwasaliti ule upendo uliojengwa na kuta za pesa utashuka halafu upendo wa hisia za kweli bila pesa utashindwa kuchukua nafasi maana ,mapenzi yalikuwa mazuri sana ndani ya uzio wa pesa hapo ndipo,michepuko,kutoelewana nk maana mlitawaliwa na pesa
 
Mkuuu ongea yote pesa ikitokea mlangoni mapenzi yanatokea dirishani.... hakuna mapenzi na njaaa.... hakuna jamiii inayopenda shida .... tunavumilia shida tukijua one day tutapata raha..... so for that case money is love ..and love is money this this thing depend to each other.... kama ni kijijini basi kuna vitu vinafacilitate love to be active .... oooh My God u want tell us without money we can love... this is stupid idea ever nitakupinga mpka kufa... pesa and love are in relationship how can u separate them or escape them no way out my dear REALITY
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu ongea yote pesa ikitokea mlangoni mapenzi yanatokea dirishani.... hakuna mapenzi na njaaa.... hakuna jamiii inayopenda shida .... tunavumilia shida tukijua one day tutapata raha..... so foe that case money is love ..and love is money this this depend to each other.... kama ni kijijini basi kuna vitu vinafacilitate love to bw active .... oooh My God i want tell us without money we can love... this is stupid idea ever nitakupinga mpka kufa... pesa and love are in relationship how can u escape them no way out

wengine wanasema
 
Attachments

  • 1407096379868.jpg
    1407096379868.jpg
    38.9 KB · Views: 708
Mkuuu ongea yote pesa ikitokea mlangoni mapenzi yanatokea dirishani.... hakuna mapenzi na njaaa.... hakuna jamiii inayopenda shida .... tunavumilia shida tukijua one day tutapata raha..... so for that case money is love ..and love is money this this thing depend to each other.... kama ni kijijini basi kuna vitu vinafacilitate love to be active .... oooh My God u want tell us without money we can love... this is stupid idea ever nitakupinga mpka kufa... pesa and love are in relationship how can u separate them or escape them no way out my dear REALITY

what was before in relationship with love before money was invented
 
Last edited by a moderator:
what was before in relationship with love before money was invented

walikuwa wawindaji wachimbaji mizizi na kutungua matunda na wanawake wanasubiria wanaume home wanapokea chakula dude stop cheat yourself my dear... nature its their and environmental change so go with it my dear men mnamajukumu tunawasaidia tu kutokana na maisha kuwa ghali out of that REALITY unaenda kuwinda mkeo miss chagga nasubiria kupokea nipike ... mkuu that is nature u cant change Work hard bwana acha hizo
 
sasa hapo pesa imeingia vipi?hivyo wote ni sawa we unataka kutunzwa ,ule ,ufurahi au unataka pesa
 
Last edited by a moderator:
sasa hapo pesa imeingia vipi?hivyo wote ni sawa we unataka kutunzwa ,ule ,ufurahi au unataka pesa

Are u okey? Yani uelewi hela imeingiaje hapo? ngoja nilkufundishe .... kutokana na uh aba wa baadhi ya vitu maeneo fulani wakabidi watafute means of exchange wakaanza na kubadilisha na vitu kwa vitu baada ta mda wakagundua baadhi ya bidhaa ni ghali kuliko vingene au uhitaji wake mkubwa sana ndipo wenye akili zaidi wakugundua kitu pesa so money used as a means of echange... naona bado utakuwa unielewi ni hivi si kwamba tunataka hela ila tunamahitaji yanayohitaji pesa hapo upo? ... so money facilitate our needs okey..... nahitaji hela kwenda saluni ... kwenda kununua wanja etc
 
unachotaka ni pesa au kwenda saloon??
 
Back
Top Bottom