Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

Money answerith everything.rich will be ruler over the poor.na as mwanamke anakuwa sex kwa muonekano wake ndivyo hivyo mwanaume anakuwa sex kwa mshiko wake.niukweli kwamba wanawake wanaopendaga tu kwa kuangalia muonekano Wa mwanaume bila kuangalia vitu vingine mbelen huwa wanasafa
 
Kweli bana, wanasafa kinoma mbele ya safari, muonekano unadanganya sana, inaelekea miss chaga anaililia hii kweli kweli

no am the one who control money and not money control me

Majanga

I should be smarter and creative than it...

U can't be smarter than anything, only God can do that asap!!
 
Kweli bana, wanasafa kinoma mbele ya safari, muonekano unadanganya sana, inaelekea miss chaga anaililia hii kweli kweli

Majanga

U can't be smarter than anything, only God can do that asap!!
God give me brain to use it and i should be smart
 
mwanaume ukiwa na pesa mapenzi yanakuja tu yenyewe
 
[QTE=miss chagga;10236665]Are u okey? Yani uelewi hela imeingiaje hapo? ngoja nilkufundishe .... kutokana na uh aba wa baadhi ya vitu maeneo fulani wakabidi watafute means of exchange wakaanza na kubadilisha na vitu kwa vitu baada ta mda wakagundua baadhi ya bidhaa ni ghali kuliko vingene au uhitaji wake mkubwa sana ndipo wenye akili zaidi wakugundua kitu pesa so money used as a means of echange... naona bado utakuwa unielewi ni hivi si kwamba tunataka hela ila tunamahitaji yanayohitaji pesa hapo upo? ... so money facilitate our needs okey..... nahitaji hela kwenda saluni ... kwenda kununua wanja etc[/QUOTE]

Hehehe.. Anataka turudi kwenye Zama za mawe uyo. Itabidi akutengeneze nywele mwenyewe maana yy huoni umuhim wa pesa ati.. Hahah.
 
Umenikumbusha discussion moja huko ...

Wanaijeria wanalalamika kuwa Wasouth Africa wanawachukia...

Katika sababu zilizotolewa (including utapeli na madawa ya kulevya) mmoja akaleta kali anasema tokea Nigerians wajazane huko South wanawake wa Ki South wamekuwa hawashikiki na huwaambii kitu...maana Nigerian men ni wazuri kwenye kuhonga...kitu ambacho SA hakikuwepo kabisa....

Wamevuruga kuanzia ma girlfriend mpaka wake za wa South...

Afu kuna mdada mwingine (superstar wao) akaanza kuwananga kaka zao kuwa hawajuhi mapenzi wala nini wanajua kuhonga tu ila hawako romantic...

So most women don't know what they want...ukihonga wanakuita ATM, buzi, -----,...usipohonga unaitwa bahili...
 
Back
Top Bottom