Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

Pesa ni adui wa hisia za kweli za mapenzi

point ni unataka kwenda wapi ila sio pesa inakufanya uende wapi,pesa hapo ni sawa na mafuta yanachomwa gari likitembea

je lengo lako ni pesa au ufike tegeta?unaweza pia ukawa unahela na pia usifike tegeta na unaweza usiwenayo na bado ukafika
vizuri!
 
Naona watu wapo tayari kuuza utu wao ili wapate pesa..! Money cannot be everything in life, if that was so, tusio na pesa tungesikia neno "upendo" kwa wenye pesa tu..!
 
REALITY your not real embu fikiria nipo magimeni nataka kwenda tegeta mkUu panahitajika hela kwa ajili ya usafiri.. si wakati wa hunters and gatherer my dear now we have cars which need money to have one or to use my dear.... money is every thing kasoro kifo ndiyo tumeshindwa japo tunajaribu kuweka airbags na oxygen machine

njoo nikupe pesa

i deny money cant buy love,money cant cure cancer,money cant make you a genious if you are dull,money cant give you joy if the one you trully love doesnt want you,money cant stop disasters,money cant wash your sins,money cant do anything in the middle of a jungle or desert
GOD-1
KNOWLEDGE IS EVERYTHING
miss chagga

This is humanity

Naona watu wapo tayari kuuza utu wao ili wapate pesa..! Money cannot be everything in life, if that was so, tusio na pesa tungesikia neno "upendo" kwa wenye pesa tu..!

Mungu mwenyewe hakuumba UPENDO kwny pesa tu...Shetwain kai vice versa matokeo yake wanatokea watu wanaojali pesa, wanachama wa shetwain hao wasiojijua!!!
 
Last edited by a moderator:
njoo nikupe pesa

This is humanity

Mungu mwenyewe hakuumba UPENDO kwny pesa tu...Shetwain kai vice versa matokeo yake wanatokea watu wanaojali pesa, wanachama wa shetwain hao wasiojijua!!!

Nakuja kuchukua
 
Naona watu wapo tayari kuuza utu wao ili wapate pesa..! Money cannot be everything in life, if that was so, tusio na pesa tungesikia neno "upendo" kwa wenye pesa tu..!

miss chagga hapa atabisha
 
Last edited by a moderator:
pesa haina thamani ila vitu ndo vinathamani,pesa ni utumwa,pesa ni adui wa haki,upendo,amani,mapenzi na furaha,pesa ni exchange ya uhuru na muda basi,ukitaka upate uhuru na muda wa kuexplore nature inabidi upoteze uhuru na muda as well.

watu wamejisahau kuwa wanahisia za kweli katika ulimwengu wa mapenzi na hii ni kutokana na athari za uwepo wa fedha,vitu kama dharau,kejeli,mihangaiko,mifarakano,ugomvi simply ni pesa,ndoa kuvurugika at high rate ni pesa.Watu mnajisahau pesa ni mfumo wa kumtendea kazi mtu mmoja huku watumiaji tukiwa na lost of freedom and time.

Mapenz yamekuwa interfed na pesa,yani pesa imekuwa a judge to prove who loves and cares,while in viceverser is not supposed to be that way,mmetekwa kiakili na pesa mkashindwa kuilewa mkabaki kuipenda na kuiabudu,bila kuilewa principles zake,imefika stage no feelings kwa mtu bali pesa

take money as a path to what you like but not as a key for every door

LOVE IS FREE NATURE IS WE LIVE AS NO MONEY EXISTS YOU WILL BE FREE AND HAPPY INSIDE YOU

Unaelezaje semi hizi:

Pesa ni sabuni ya roho
Kwenye kadhia tia rupia
 
Unaelezaje semi hizi:

Pesa ni sabuni ya roho
Kwenye kadhia tia rupia

huo ni msemo wa kishetani wakuteka fahamu za watu,pesa na roho ni vitu viwili tofauti tena kwa umbali sana,na huu ni usemi wa watu wajinga
 
Tatizo binadamu ni wanafki hakuna mwenye uthubutu wa kuwahoji viongozi wa dini zote ni kwa nini sadaka inayopendwa ni ya pesa tu?

Tutawalaumu bure wanawake tuongeze bidii kutafuta pesa ndio suruhisho la yote. hata kwenye kitabu cha mithali imeandikwa ila nimerahau ni aya gani.
 
kwanini ufikiri hilo ndo suluhisho??embu tafuta huo mstari maana bible haisupport pesa.

Hivi unajua maana ya pesa??
 
mimi sikubaliani na wewe hata kidogo money is love love is expensive...

huo ni ushetani na mapenzi yaliyo kuwa hayajasimama

define love

define money

give me concrete evidences to prove love is expensive
 
huo ni msemo wa kishetani wakuteka fahamu za watu,pesa na roho ni vitu viwili tofauti tena kwa umbali sana,na huu ni usemi wa watu wajinga

Kumbe unaishi maisha ya kishetani maana bila pesa maisha yako hayataenda. Ili uweze ku post humu unahitaji pesa japo si nyingi lakini ni pesa. Ili usome ilihitajika pesa. Vitu vingapi utafanya dunia hii bila pesa?
 
kwanini ufikiri hilo ndo suluhisho??embu tafuta huo mstari maana bible haisupport pesa.

Hivi unajua maana ya pesa??

Nenda kwa mchungaji wako bila fungu la 10 ndio utajuwa bible inasupport pesa au hapana.
 
Back
Top Bottom