REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,966
- Thread starter
- #61
Kumbe unaishi maisha ya kishetani maana bila pesa maisha yako hayataenda. Ili uweze ku post humu unahitaji pesa japo si nyingi lakini ni pesa. Ili usome ilihitajika pesa. Vitu vingapi utafanya dunia hii bila pesa?
maisha yangu yanategemea nachokitaka sio pesa,pesa ni barabara tu
ni vitu vingi huwezi fanya bila pesa nikuambie??