Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #121
Ivi mm nauliza ukitembea na mwanamke siku ya sita ya hedhi anaweza pata mimba?
ngoja wajuvi waje mkuu
Ivi mm nauliza ukitembea na mwanamke siku ya sita ya hedhi anaweza pata mimba?
Mkuu kwa sisi waafrika tunaruhusiwa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja tamaduni zetu zinaruhusu kabisa kama unaweza kuwamiliki wote bila upendeleo oa tu.
Sawa kijana onyesha uanamume wako kwa kufanya maamuzi magumu...sasa......
Vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Mtoa maada umeikosea nafsi yako,umemkosea mkeo, umemkosea pia Mungu wako aliyeibariki nyumba yako na ndoa yako.
Vp kabla hujajiingiza kwenye mahusiano na huo mchepuko uliwahi kujiuliza haya maswali?
> kwann aliyezaa naye hajamuoa?
> inamaana wanaume woote hapo anapoishi hawajamuona? Kwann mpaka sasa bado ni single mom?
Kaka unaweza kujifarii kuwa mwanamke ni mzuri kumbe kuna wanyamwez wamekaa pemben wanakucheki tu jins ulivyojiingiza chakike.
Sometime wanaume tumekuwa chanzo cha migogoro. Hvi mkeo akipata hizo taarifa nayeye akaamua kukuletea mimba utalalamika?
siwezi kukushauri utoe mimba.....
Unakunywa kinywaji gani mkuu
Maana mleta mada kwa juhudi zake binafsi...ana/ameharibu ndoa yake
Mwanamke hawezi kupata mimba kwa kutembea nae hata hapa na kigoma mwisho wa reli.....Ivi mm nauliza ukitembea na mwanamke siku ya sita ya hedhi anaweza pata mimba?
ukistaajabu ya womanity utayaona ya Kozo
Mmmmh..... akat mmekutana hukutuambia lakin..... haya njia nzuri lea hiyo mimba na mkeo mwambie ajue ulichepuka na matokeo yake mtoto kapatikana maana bora nusu shari kuliko shari kamili.... usipomwambia leo akaja kujua mwenyew kesho ... jiandae kwa the Third word war kwa mkeo na mchepuko.... nawe jiandae kukatwa masikio
''siwezi kumwambia haiwezekani pia nakosa uwezo wa kumuondoa katika maisha yangu''
Kwa sentensi hiyo bado unataka ushauri?!!!
yeah,lishanitumbukia nyongo hili
Polemo lkn nawee ukome michepuko waga sio mizur jmn..... ukicheza utashangaa kabeba virago huyooo ndan mwako kwa mkeo nae ohoooo..... hv unatujua wanawake au unatusikia
usiniombee hivyo wangu,si unajua tumbo joto
Fool at around 40!!
Ok.... pole sasa na maamzi mema baba kijacho🙂🙄
kazi ninayo,but nitakuwa mchoyo wa fadhila kutokukushukuru kwa kunifariji japo kwa muda mfupi
yani hukutumia condom mmmh
Mfyuuuuuuuuuuu. ........
Anyway, nitarudi