Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #101
Sasa ndugu maisha gani unayo Ya sema? Coz kupeana mawazo ktk kutatu matatizo ndiyo maisha yenyewe unathani maisha gani mengine?
Tatizo unalo kua nalo wewe siyo analokuanalo mwenzio na unapo jiona Wewe unatatizo la fedha usidhani na mwezio analo!
Jaribu kuchangia kwa fikra pana zaidi
nashukuru kwa kuliona hilo mkuu,alikuja na matusi makali sana tena usiku wa manane ila nikamchukulia kama alivyokuja.watu wa aina hii hawanipi tabu sana kudili nao