Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Kosa ulifanya tokea mara ya kwanza,ukishaoa hupaswi kuanzisha mahusiano ya kudumu mahai popote,kwingine,na haya magonjwa ya sasa hivi!Na je unapokuwa kwako na mkeo usiku unajua yeye anakuwa wapi?Mimi kwa uzoefu wangu wanawake wa aina hiyo huwa ni waongo na kama sikosei umesema ni single mother,kwanini aliyemzalisha hakumuoa?Jiulize sana na iko siko utakuja uona ukweli.Inawezekana ni mzoefu wa kuvunja nyumba za watu,thats why aliyemzalisha pia may be alikuwa mume wa mtu.Nakueleza hivyo kwani hata mimi nilikutana na hali kama hiyo na iliniletea sana shida mke wangu alipojua ila nashukuru mungu nimeweza kuachana naye mwaka sasa na nimejifunza kutokana na hilo,na pia uzinzi si kitu kizuri kabisa wapende wanao na mkeo.

asnte sana mkuu,ushauri wako umenifaa sana koz naupata kutoka kwa mtu aliyepitia situation kama yangu.we ni mwalimu tosha.thanx alot
 
nimekusoma mkuu, lakini ulichoandika hakieleweki unataka ushauri gani...

ukiambiwa acha utasema yeye ni mchepuko wenye heshima na amekubali kuwa second wife; ukiambiwa endelea utasema unampenda mkeo na wanao

to me, it was more of FYI than anything else


YOu nailed it ALL. Sina la kuongeza.
 
katika umri wa miaka 38 sasa nina mke na watoto watatu,sometimes najuta why she came into my life,this single mom, very cute,beautiful,sexy and sweet.

Kama ningekutana nae kabla ya kuoa,lakini ndo basi tena. I have another life to live, iam tied to somebody tena kanisani tangu tukutane amenionyesha kunipenda sana,siyo siri nami nimefall kwake vibaya.

amekuwa anaiba na amekiri ni ngumu kuachana na mimi, yuko tayari hata kuwa mke wa pili, siwezi kumwambia haiwezekani pia nakosa uwezo wa kumuondoa katika maisha yangu kwa kuwa nampenda.

seriously nahitaji ushauri, kwa akina baba wenzangu uzoefu wenu utanisaidia sana, kwa akina mama pia siyo mbaya kama una la kusema.


sasa tunakushauri nn hapa
 
Sasa ushauri wa nini mkuu, maana ushaoa tayari, hata condom hutumii unataka kushauriwa nn??Nenda kapime kama mko salama mjengee nyumba, mpatie usafiri ili asipate shida mtaani!Hongera

asante mkuu,karibu tena siku nyingine
 
A gentleman advice.
P'se UWE MWAMINIFU KWA MKE WAKO. Kama unaona kuna hitaji la kuchepuka na mwanamke mwingine, basi jitahidi usiwe na permanent lover and Dont promise any woman. Kumbuka watoto 3 ni serious case km ikitokea umeachana na mke wako. Pls be kind and trustworthy kwa mke wako. Achana na huyo single mom.
 
Nachokiona toka kwako kuwa unasukumwa sana na tamaa ya MOYO wako kuliko kupenda kwa kutumia AKILI.
Ukifuata Moyo utaona uko sawa lakini Ukifuata Akili utajiona umekua mkosefu mkubwa sana kwa Mke wako
 
Saa nyingine w/ume tuwe na huruma na wake zetu tena mama watoto wako, Dada wa watu anaungua jikoni au kukunyooshea nguo akisema Mume wangu aende kazini amependeza kumbe anawapendezeshea watu.
Machozi ya mwanamke yoyote uliyemtenda naamini kama ni laana hivi.
1.Mpende mkeo
2.Mheshimu
3.Mjali
 
nakubaliana na kauli yako mkuu,ila uanaume kazi pia.........

Kakulisha libwata limekukolea mkeo ndo mtamu hata hiyo mimba kakushikia masikio always legal wife ndo anakupenda mkuu mchepuko yuko after something acha hiyo tabia sio nzuri baba wa watoto watatu mshahara wa dhambi ni mauti aziniye na mwanamke ni mp..... Tena Hana akili hadi mimba kwa kweli acha hiyo tabia sio nzuri lazima unataka kuisambaratisha Familia acha Tampa mwogope Mungu.
 
Saa nyingine w/ume tuwe na huruma na wake zetu tena mama watoto wako, Dada wa watu anaungua jikoni au kukunyooshea nguo akisema Mume wangu aende kazini amependeza kumbe anawapendezeshea watu.
Machozi ya mwanamke yoyote uliyemtenda naamini kama ni laana hivi.
1.Mpende mkeo
2.Mheshimu
3.Mjali

Ubarikiwe!!
laiti wanaume wote wangejua visasi na ukatili wanaotengeneza kwenye mioyo ya wake wanaowaumiza now and then hakika wangeacha!!
taraaaatibu unajikura tyu unakuwa ligegelemahi Deo Corleone au Peter Mselewa mkuje kufasili huli
 
Last edited by a moderator:
Katika umri wa miaka 38 sasa nina mke na watoto watatu,sometimes najuta why she came into my life,this single mom, very cute,beautiful,sexy and sweet.

Kama ningekutana nae kabla ya kuoa,lakini ndo basi tena. I have another life to live, Iam tied to somebody tena Kanisani tangu tukutane amenionyesha kunipenda sana,siyo siri nami nimefall kwake vibaya.

Amekuwa anaiba na amekiri ni ngumu kuachana na mimi, yuko tayari hata kuwa mke wa pili, siwezi kumwambia haiwezekani pia nakosa uwezo wa kumuondoa katika maisha yangu kwa kuwa nampenda.

Seriously nahitaji ushauri, kwa akina baba wenzangu uzoefu wenu utanisaidia sana, kwa akina mama pia siyo mbaya kama una la kusema.
Kaka acha kujidanganya sisi si malaika, hivo hata huyo mtamu, sijui lovely, n.k kwa kuwa u mbali naye ukikaa naye utatambua mapungufu yake mengi tu, utamwona si kitu, na hayo uyaonayo sasa ni mazao ya mahangaiko ya kisaikolojia hasa baada ya kuwa na matarajio tofauti kwa mwenzi wa kwanza hivo automatically huyo amekuwa bomba kwako. Penzi huweza kuvunda inategemea unalitunzaje kama si mtunzaji wa penzi hata huyo ukipewa baada ya muda fulani atakuwa si kitu, penzi litavunda, na utamwona mwingine utampenda huyo. Hebu achana na huyo mwizi wa penzi la shemeji yetu, hivi hujajiuliza uzuri wote huo hana jamaa mwenye malengo naye mpaka akudandie wewe, na wewe ukiwa naye kama mkeo baadaye nini kitamzuia kutoka na mwingine njen maana huyo ana roho ya kuingilia penzi la mwingine na hiyo roho ni endelevu, utajitia presha, na je amewezaje kukupa kirahis hivyo, au wangapi umekutana nao. Cha muhimu MKUU weka ufahamu kuwa wanawake wazuri kupindukia wapo na hutawamaliza maana kuna mwingine yuko mbioni kukutana nawe naye ni mkali kwako kuliko huyo wa sasa, vp hapo napo, usikifatishe hiki kijamaa kilichotufanya tuitwe wanaume uwa hakitosheki, hivo kinakupa visingizio kibaoooo. Rudisha nyuma kumbukumbu na baby wako mlipoanza, shuka chini mtaanza kama zamani yaani utashangaa penzi motomoto linarudi, huyo mwingine kwa status yako ni kiruka njia tu, ana vijifaida kwako hata vya kijifariji tu baada ya kuonekana bomu kwa wengine. NB: UKIENDESHWA NA JINSI WAREMBO WALIVYO SIKU MOJA UTAMTAMANI JIRANI, SHEMEJIO, DADA AKO MAANA NAYE NI MREMBO TENA KULIKO HUYO UMSEMAYE, BAADAYE MAMAKO MDOGO, AU WAPWA ZAKO NA UZEENI WATOTO WAKO. TAKARI CHUKUA HATUA.
 
Telekeza mke wako na wananao nenda kwake mwisho wa siku utaona matokeo yake! yaani mambo kama haya mwanaume ukifanya hata haitakiwi kusimulia wenzio ni aibu.. ngoja niondoke niende zangu nikanywe bia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom