Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

mkuu.naomba tu uvune ulichokipanda.....hiyo mimba usiitoe......mlee na mtoto azaliwe.....muda ukifika mueleze mkeo ukweli....ingawa itauma lakini hiyo ndiyo hali halisi.......

Kwa mfano we ndo ungekuwa mke wangu, afu usikie nimezaa na Heaven on Earth utanifanyaje kwa mfano?

Au tuoane kabisa??
 
Last edited by a moderator:
mkuu,ultimatum umeitoa mapema sana mkuu,hivi hakuna ushauri sahihi naoweza kuupata kutoka katika jumuiya yetu hii kabla ya kunipa ultimatum?huoni kwamba jumuiya inanitenga bado mapema?
Jumuia imezingatia kuwa kwa umri wako ungetakiwa uwe umeshalipatia ufumbuzi mapema sana.....kwani ni jambo jepesi ambalo hata wavulana huwa wanalimaliza kimya kimya...........
 
Seriously nahitaji ushauri, kwa akina baba wenzangu uzoefu wenu utanisaidia sana, kwa akina mama pia siyo mbaya kama una la kusema.

USHAURI WANGU;
1_Chukua maamuzi ya kumuacha huyo mchepuko kwa sababu upo kwenye ndoa na huwezi kumuoa kama mke wa pili.

2_Kapime magonjwa usije kumuambukiza mkeo ,mkaacha watoto yatima buree.

3_Tulia katika ndoa. Ukishaingia kwenye ndoa hakuna excuse kuwa ulikosea kuchagua.

I WISH YOU A HAPPY MARRIAGE
 
Kiongozi, tulia ulee familia yako. Wanawake hawaishi duniani na kila unaepishana nae njiani ni mzuri sana. Your kids need you, your family needs you. Ukibeba maradhi yasiyotibika utawaacha watoto wadogo na yatima na ndio mwanzo wa laana ndani ya nyumba yako.

Kuhusu hiyo mimba, ilee na mwambie huyo mchepuko kuwa utamhudumia mtoto coz ni wako, lakini kuhusu mahusiano tafadhali achana nae. Haya mambo hayaishi, yapo siku zote.

thanx mkuu eli,hata mimi nilifikiria kitu kama hicho ila panapo wakati ukipata ushauri bora zaidi ya huu plz,usisite kunipa mkuu,niko tayari kuupokea muda na mwakati wowote
 
USHAURI WANGU;
1_Chukua maamuzi ya kumuacha huyo mchepuko kwa sababu upo kwenye ndoa na huwezi kumuoa kama mke wa pili.

2_Kapime magonjwa usije kumuambukiza mkeo ,mkaacha watoto yatima buree.

3_Tulia katika ndoa. Ukishaingia kwenye ndoa hakuna excuse kuwa ulikosea kuchagua.

I WISH YOU A HAPPY MARRIAGE

thanx mkuu, i take 100% of your advice,usisite kunishauri endapo utapata mawazo mazuri zaidi ya haya
 
Vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Mtoa maada umeikosea nafsi yako,umemkosea mkeo, umemkosea pia Mungu wako aliyeibariki nyumba yako na ndoa yako.

Vp kabla hujajiingiza kwenye mahusiano na huo mchepuko uliwahi kujiuliza haya maswali?

> kwann aliyezaa naye hajamuoa?

> inamaana wanaume woote hapo anapoishi hawajamuona? Kwann mpaka sasa bado ni single mom?

Kaka unaweza kujifarii kuwa mwanamke ni mzuri kumbe kuna wanyamwez wamekaa pemben wanakucheki tu jins ulivyojiingiza chakike.

Sometime wanaume tumekuwa chanzo cha migogoro. Hvi mkeo akipata hizo taarifa nayeye akaamua kukuletea mimba utalalamika?
 
Jumuia imezingatia kuwa kwa umri wako ungetakiwa uwe umeshalipatia ufumbuzi mapema sana.....kwani ni jambo jepesi ambalo hata wavulana huwa wanalimaliza kimya kimya...........

i take the blame mr chairman,let me try to right the wrong
 
Vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Mtoa maada umeikosea nafsi yako,umemkosea mkeo, umemkosea pia Mungu wako aliyeibariki nyumba yako na ndoa yako.

Vp kabla hujajiingiza kwenye mahusiano na huo mchepuko uliwahi kujiuliza haya maswali?

> kwann aliyezaa naye hajamuoa?

> inamaana wanaume woote hapo anapoishi hawajamuona? Kwann mpaka sasa bado ni single mom?

Kaka unaweza kujifarii kuwa mwanamke ni mzuri kumbe kuna wanyamwez wamekaa pemben wanakucheki tu jins ulivyojiingiza chakike.

Sometime wanaume tumekuwa chanzo cha migogoro. Hvi mkeo akipata hizo taarifa nayeye akaamua kukuletea mimba utalalamika?

Asante mkuu,ila umeniumisha roho tu,najuta kwa nilichokifanya
 
nashukuru mkuu,kuna tatizo lingine hapa ambalo nashindwa nilisolve vipi,ana ujauzito tayari wa miezi 2 sasa.

Mkuu kwa sisi waafrika tunaruhusiwa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja tamaduni zetu zinaruhusu kabisa kama unaweza kuwamiliki wote bila upendeleo oa tu.
 
Tyta tunahitji msaada wako hapa....maelezo ya mtuhumiwa hayajajitosheleza kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kwa mfano we ndo ungekuwa mke wangu, afu usikie nimezaa na Heaven on Earth utanifanyaje kwa mfano?

Au tuoane kabisa??

Babu lazma niumie kiukweli lakini hakuna maumivu yanayokaa milele kuna muda maumivu yataisha na maisha yataendelea........lakini kutoa hukumu kwa mtoto ambae hana kosa lolote hilo unalionaje....?

mwisho wa siku nitakusamehe kama mme....mana ni sawa na mtoto wako wa kike kuzalia nyumbani....utamfanyeje?
 
Asante sana sister kwa jibu lenye hekima ya juu sana. Ubarikiwe sana. Kama tungekuwa na wanawake wengi wa hivi hakika migogoro kwenye familia na ndoa ingekuwa inatatulika kirahisi. Wanaume pia tupunguze au tusiendekeze tamaa,

kumbuka wazuri wanazaliwa kila siku je utapenda wote?? Mwisho wa siku unajikuta umepoteza mali, heshima, nguvu za mwili na hata utulivu wa kufanya masuala mengine muhimu.
 
Mmmmh mbona mtihani huu kiufupi ndio kashakuganda huyo....

Vipi moyo wako unasemaje kwani?

Tatizo hata moyo wake mwenyewe nao haulewewi unataka nini...nahisi ndio maana kaja huku. Hivi na uzazi wa mpango ni kwa wanawake tu? Manake si ajabu na mkewe walikubaliana kuwa watoto watatu mwisho...
 
Asante sana sister kwa jibu lenye hekima ya juu sana. Ubarikiwe sana. Kama tungekuwa na wanawake wengi wa hivi hakika migogoro kwenye familia na ndoa ingekuwa inatatulika kirahisi.

Wanaume pia tupunguze au tusiendekeze tamaa, kumbuka wazuri wanazaliwa kila siku je utapenda wote?? Mwisho wa siku unajikuta umepoteza mali, heshima, nguvu za mwili na hata utulivu wa kufanya masuala mengine muhimu.

asante sana .....nawe ubarikiwe.

ndiyo changamoto za dunia hii....lazima tukabiliane nazo.
 
siyo kwamba sina msimamo farkhina,much as am in love with her,kuna maamuz ambayo siyo rahisi kama kuchinja kuku vile,yataka moyo kuwa na familia mbili,at the same time how do i part ways with her na tayari yuko preg?ndiyo maana nikaomba the best advice how to deal with this situation

Mmmmh..... akat mmekutana hukutuambia lakin..... haya njia nzuri lea hiyo mimba na mkeo mwambie ajue ulichepuka na matokeo yake mtoto kapatikana maana bora nusu shari kuliko shari kamili....

usipomwambia leo akaja kujua mwenyew kesho ... jiandae kwa the Third word war kwa mkeo na mchepuko.... nawe jiandae kukatwa masikio
 
''siwezi kumwambia haiwezekani pia nakosa uwezo wa kumuondoa katika maisha yangu''

Kwa sentensi hiyo bado unataka ushauri?!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom