nelaizer
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 818
- 284
nashukuru mkuu,kuna tatizo lingine hapa ambalo nashindwa nilisolve vipi,ana ujauzito tayari wa miezi 2 sasa.
Kiruuuuu
nashukuru mkuu,kuna tatizo lingine hapa ambalo nashindwa nilisolve vipi,ana ujauzito tayari wa miezi 2 sasa.
dah mkuu kwanza umeniogopesha sana kwa hiki kicheko chako,manake cjui umefurahi au unanicheka?
Mkuu kwa sisi waafrika tunaruhusiwa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja tamaduni zetu zinaruhusu kabisa kama unaweza kuwamiliki wote bila upendeleo oa tu.
Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
Hili jukwaa unajua maudhui yake? Peleka MMU kama utaniona mnaacha kuwaza vitu vya msingi kutwa kuzungumzia ujinga badilikeni mnakera bwanaa.
Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
Umevuna ulichopanda. mbegu zako ziko active sana. Ikiwa dini hairuhusu kuengeza mke mhalalishie uhawara.
sitoi ushauri hapa