Penzi la daktari tamu jamani

Penzi la daktari tamu jamani

Pamoja na kula ujana kwangu kote hapa nimeweka kituo. Hebu muangalie alivo handsome, hasa hizo mvi ndo zinanimaliza Kasinde mie.
Tized...!!! Bodaboda man you rock baby. Tabasamu la kuibia...... daaahView attachment 179424View attachment 179424

Kasindeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

Unataka kuiba mume wa mwenzio!!!!!!!!!!!

ina maana Dr. Ben Carson hana mke kweli????

Au wewe ni mke wa pili ?????

Hongera..........
 
Umesharud bongo kutoka Amerika? au mmekutana hukuhuko majuu, inawezekana ni yule rafiki yake na mwenyeji wako wa U.SA mliyegegedana siku ile mmetoka out

Hata huelewi kinachoendelea humu ni bora ukatumia muda kusoma na kuelewa ndo uchangie kuliko unasoma comment ya mwenzako na kuchangia, utaaibika sku moja.
 
Kasindeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

Unataka kuiba mume wa mwenzio!!!!!!!!!!!

ina maana Dr. Ben Carson hana mke kweli????

Au wewe ni mke wa pili ?????

Hongera..........

Hata wewe mwana falsasa hujaelewa??? mpenz Tized nsaidie kumuelewesha na huyu, nani kakwambia doctor Tized ameoa na anamke? huoni hiyo picha niliyoweka hapo ni ya Tized? na ndo huyo ninayemuongelea. Kama hadi hapo bado hujanisoma basi tena................
 
Last edited by a moderator:
kuna thread ukiona tittle tu, basi wajua aloandika atakuwa ni nani.
So Tized ndo yule kibamia ulokuwa wamsifia? ni popobawa? Au ni yule wa USA?
Tized ni doctor, he doctored me and am horojekaring...........
He is neither kibamia nor popobawa nor Sean he is Tized my one and only..........
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa Dada yangu Karucee nashukuru na nafurahi sana kukusikia best yangu!!!
Its long time!!!! Ntakutafuta chemba dadaangu! We've plenty to talk!!!!!
Tized mie nimeninginizwa Kikasinde Kasinde!!! I am barely breathing but its okay!!!!

I am trully missing you Karucee!! Ofcourse you know that more than I do!!

I love u Tized wangu wa moyo, njoo nikupet pet hapa upate raha za dunia, kwa nini upate shida bana dunia yenyewe duara hii haina hata matawi ya kushikilia usianguke akaaaaa, kula raha na Kasinde kwa raha zako babuuu ntakupakulia, ntakulisha, ntakukogesha, ntakubeba mgongoni shurti miguu haigusi chini weeehh!! ukitoka hapo hukumbuki hata jina lako la utoto utamu utamuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Nipo nakemea vikali kwa maombi lile popo liondoke, tafadhali join hands apo. otherwise she feels more than a queen!!!!

Yaani mpenz tangu ni crush na wewe hata najishangaa mwenyewe, yaani muda wote nakuwaza wewe tuu, nataka kukaa karibu yako muda wote niegemee bega lako, popo keshakimbia hayupo tena, you have take over baby, you concur, you win my lord!!
 
More a believer n judgemental!!!!

Achana nao hao mpenz si unajua maneno ya wakosaji, wanakuonea gele tuu hapo wanashangaa wao hawapati raha kama hizi wapenz wao wanawashit tuu ndani hakuna mahabat matokeo yake wanatukana tukana watu tuu bila kujielewa
 
NONE of the bellow!!!! Brand new one... Amemfungua mwenyewe kwenye karatasi lake!!!!

Mpenz hapo kwenye red umenikosha!!!! hujui tuu yaani tabasamu halikauki nikisoma maneno yako mujuruba, mmmuahhh!!!! luv u!! :busu:busu
 
Tized ni doctor, he doctored me and am horojekaring...........
He is neither kibamia nor popobawa nor Sean he is Tized my one and only..........

dyyhhh, kweli hapa town. Tized ukikubali hilo jina la 1 and only hiloooo, ntakuwa na shaka. maana limekuja baada ya booongeeeee ya list
 
Last edited by a moderator:
Thanks sweet you... Can't waittttttttt !
I love u Tized wangu wa moyo, njoo nikupet pet hapa upate raha za dunia, kwa nini upate shida bana dunia yenyewe duara hii haina hata matawi ya kushikilia usianguke akaaaaa, kula raha na Kasinde kwa raha zako babuuu ntakupakulia, ntakulisha, ntakukogesha, ntakubeba mgongoni shurti miguu haigusi chini weeehh!! ukitoka hapo hukumbuki hata jina lako la utoto utamu utamuuuuuu
 
Nidanganye danganye tu... Ukiniambia ukweli mie ntaumia ...........!!!!!!!!! hahahahaaaaa Na wewe ni muumini mmoja wapo eeh!!!!!
dyyhhh, kweli hapa town. Tized ukikubali hilo jina la 1 and only hiloooo, ntakuwa na shaka. maana limekuja baada ya booongeeeee ya list
 
Hahahahaaaaa... Funny you!!!!!!
Nichomoke niende wapi tena ndugu yangu, yaani Tized doctor wangu anavyo nikorombezea hata hao wanaonisumbua sumbua humu siwaoni, crush zote tupa kuleeeee najikuta tuu katikati ya ibada ile nasema SHKAMOO Tized....................!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom