Penzi la daktari tamu jamani

Penzi la daktari tamu jamani

NN ni vile tuu Tized hajaniruhusu kutiririka, nacholishwa hapa ni zaidi ya tende na halua. Aint adollar thing its a Doctor thing, halla!!!

Kasinde Kasinde Kasinde....do you want to end up being a high mileage sexual vehicle?
 
Last edited by a moderator:
Kasome ile thread vizuri niliyoandika nikiwa marekani, utajua mimi na Sean tuliishia vipi. All my threads here are real, and this is Kasinde
Yule ulonasa kwake states keshakumwaga au ni mambo ya UWONGO NJOO UTAMU KOLEA!!!!!!
 
Tized hapa atapata mambo ya kinyamwezi, asali na karanga mbichi ndo mid meal yake, raha iliyoje. Tatizo langu sitaki kushare ukipewa tiba nnayopewa utachonga mzinga looh!! Ishia hapo hapo shosti.

kasinde umtunze Tized.... ila shemeji unachotibu na mimi nataka unitibu
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yako mapenz hayana formula

Kasinde penzi jipya linakuzingua, ukweli wa kunasa huwa haupimwa kwa kungonoka ila unatoka uvunguni mwa moyo wa mtu, kwasasa ngonokeni weeee then tupe matokeo baada ya mwaka yaani mrejesho wa thread yako na dr wako wa ngono.
 
Tized is my doctor, look the picture that is Tized I mean not the one in US
Yaani umeenda US tu mara moja, unafall in lov na watu wa kwenye tv? Dr Ben Carson is a role model, too good for a love material bwana. Hebu muwache
 
Last edited by a moderator:
Mbona husomi vizuri bana? Tizama picha zao nami nimemtaja doctor Tized ndo sweetisto wangu, huyo wa US sina hata habari nale

donbeny
Pamoja na kula ujana kwangu kote hapa nimeweka kituo. Hebu muangalie alivo handsome, hasa hizo mvi ndo zinanimaliza Kasinde mie.
Tized...!!! Bodaboda man you rock baby. Tabasamu la kuibia...... daaahView attachment 179424View attachment 179424[/QUOTE?}

Huyu ni Dr Ben Carson ,Pediatric neurosurgeon of america now he is retired ,,,,,,don't lie to us
 
Last edited by a moderator:
Umesharud bongo kutoka Amerika? au mmekutana hukuhuko majuu, inawezekana ni yule rafiki yake na mwenyeji wako wa U.SA mliyegegedana siku ile mmetoka out
 
kuna thread ukiona tittle tu, basi wajua aloandika atakuwa ni nani.
So Tized ndo yule kibamia ulokuwa wamsifia? ni popobawa? Au ni yule wa USA?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom