Nidanganye danganye tu... Ukiniambia ukweli mie ntaumia ...........!!!!!!!!! hahahahaaaaa Na wewe ni muumini mmoja wapo eeh!!!!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. .poooleeee
Ndio hivyo mwenzako athari VIMBISHI zishaniumbia mwenzio hivyoooo!!!!
Sawa binti popo..Ouuuups!!nenda mtaa wa swahili na mtaa wa narung'ombe kuna maulid hapo, uende na pilipili, ndizi, toothpick, opena ya kufungulia soda na kichupa kidogo cha maji ya kunawa. Utakula ubwabwa huko hadi uzimie, BYE!!!
Ha ha ha ha.hebu nipe somo vimekuumbuaje jamaniiii. ..
wee bado mpya, bi.ki.ra bado haijatoka eeehh!! polee
''The hardest things to choose in life are Career and a Perfect Wife'' Why Mkuu?
kweli mkuu huu ni utafiti wangu binafsi ingawa sina chapisho lolote, wengi tumechukua au kuchagua career ambazo hatukuwahi kuzifikiria, tumejikuta tukiangukia huko tu bila kutegemea kutokana na hali za maisha. Matokeo yake hatuko productive katika kazi zetu, hapa nazungumzia general pengine hata mimi nimo ktk kundi hili.
Pia mke ni kazi sana kuchagua, wengi tunakimbilia wanawake wenye sura nzuri na maungo ya kuvutia, kumbe siyo.
Hivyo ktk kila chaguo unalotaka ni bora kumtanguliza Mungu akuongoze, upate chaguo zuri. Maana uzuri wa nje siyo ule wa ndani na hasa kwa mke.
:hail: