Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Hapa naona unalenga kuwa kanisa linajenga shule na mahospitali, HUO NI UZUSHI ! tunasikia makanisa yanapata ruzuku ya tsh BILLION 91 KWA MWAKA ! KWA AJILI YA KUIPA KANISA ! na ni mkataba uliopo katika ya kanisa na serikali na ndio kitu leo waislamu nao wanalilia wapewe hizo ruzuku nao wajenge mashule na hospitali!

Nani kakwambia hao wanaowajengea waislamu misikiti wanashindwa kujenga mashule na hsopitali?

Waislamu wamelilia kuingia katika soko la jumuia ya kiislamu wamezuiwa na mpiga kelele ni KANISA.

Tumeshuhudia majina mengi ya watu wengi yanayo saidia waislamu wajikomboe kutoka katika umasikini kwa kuleta misaada wakisemwa ni "MAGAIDI" ...

KIla muislamu wa nchi za mashariki au popote mradi jina lake limekaa kiislamu na mradi anapeleka misaada kwa waislamu ANAITWA GAIDI NA MARA MOJA jina hilo litatumwa kila benki KUFREEZE ACCOUNT HIYO !

usibwabwaje tu ,na hilo la kusema RAis amekurupuka ni upuuzi ! Rais mzima na akili zake hawezi kusimama akasema kitu ambacho hana uhakika nacho ! MMESHIKWA PABAYA!

Yeye kwanini asingoje kwanza wamshitaki na tu atoke akurupuke ! na kama ana siri kwanini ASIZITOE WOTE SISI TUSIKIE! Maana zitaleta manufaa makubwa sana kwetu Watanzania bila kujali dini wala rangi!

NAdhani imefika wakati sasa haya madawa ya kulevya yapigwe marufuku na wanaoingiza awe muislamu au mkristo wakamatwe na kufunguliwa mashitaka mazito kabisa. kwa kuwa watoto wengi wanaharibika!

Ndiyo Waislam wana upenda ugaidi wala siyo Uongo.... Kuna Muislam gani hakufurahia 9/11 ukimpata basi huyo kabadili dini-tabia ni matokeo ya unachokipenda Mlevi lazima apende Pombe nk .... Uislam kwa hivi karibuni umeruhusu watu wengi kuufia ili kuukuza kwa waumini kupewa fedha za kuendesha familia zao watakapo jiua.....!

Wewe ni muongo Waislam ni masikini? Huo ni utoto wa maono biashara ya mafuta Tanzania 90% inaendeshwa na Waislam na hakuna bidhaa inayochangia umasikini wa watanzania km Mafuta ... yakipanda kidogo tu yanachangia umasikini wa watanzania kwa 100% leo unasema Waislam masikini!??

Jarida la FOBES lilitoa majina ya watanzania matajiri kuliko wote katika majina 10 Mkristo ni mmoja tu, wote wengine ni waislam ukianza Bahresa, kina Ali Mfuruki, Mohamed Enterprises, Yusuph Manji nk

Unanikera sana unapo singizia waislamu ni masikini....Waislam mnapenda sana mbakie pekeenu Tanzania ndio maana mnatunga kila aina ya fitina kwa imani yenu kumfitini mtu siyo dhambi...ndio maana hakuna mafanikio
 
Wacha kuropoka kijana!
Chadema ni pure GALATIANS. NA CCM wamechangia sana huo MFUMO KRISTO!

Na huyo Mgalatia mwingine mtikila nae ni uchuro tu!
Yaani wagalatia wametapaa kama panya mtaani!
LKN haya yana mwisho! We are watching you!

wagalatia wametapakaa..kwani wamekaa wakicheza bao..?Kweli si dunia tuu inahitaji new world order hata Tanzania inahitaji new National order..

Naona wacheza bao mmeajiachia sana ktk kula.....km kawaida huwa hooligans hawana heshima kwa yeyote asiye din ya hooligans.
 
Kwani nani au chombo kipi kimemtaja? Kiwekwe wazi chombo kilicho mtaja na kibainishe kwa ushahidi kuhusika kwake.
Simtetei,lakini kwa sasa uhasama wa kanisa ni mkubwa mno,hivyo ni vyema na kwa maslahi ya watanzania,hao waliomtaja waweke ushahidi wao wazi ili ikibainika hatua zichukuliwe.

Yatakuwa ni yale magaziti yaliyoanzishwa kupigana na mengi, kupigana CDM , kupigana na kanisa, kupigana na wote wanaoshukia biashara ya talibani ya sembe...

watu wakiichezea hii biashaa itaanza fund ugaid sana.
 
wagalatia wametapakaa..kwani wamekaa wakicheza bao..?Kweli si dunia tuu inahitaji new world order hata Tanzania inahitaji new National order..

Naona wacheza bao mmeajiachia sana ktk kula.....km kawaida huwa hooligans hawana heshima kwa yeyote asiye din ya hooligans.

Why kuchukiana? Kweli dini ni opium kwa binadamu
 
Wacha kuropoka kijana!
Chadema ni pure GALATIANS. NA CCM wamechangia sana huo MFUMO KRISTO!

Na huyo Mgalatia mwingine mtikila nae ni uchuro tu!
Yaani wagalatia wametapaa kama panya mtaani!
LKN haya yana mwisho! We are watching you!

Hakuna Ukristo unaotawaka Tanzania .... Ukristo unatawala MBINGUNI na DUNIANI usiutafute katika sehemu ndogo km Tanzania Anzia MBINGUNI

Hata nchi zinazojiita za Kiislam zinatawaliwa na Ukristo .... hakuna silaha yoyote ya kivita zaidi ya Jambia ambayo ni ya Kiislam au hata utamafuni wa majengo ya ghorofa na barabara za lami ambazo ni Uislam yote haya wanaiga jamii zenye Ukristo ..... sasa Uislamu unabakia kwenye UFITINI tu!
 
Haswaa,wala hujakosea! Wangapi wanamkumbuka Leonard Bhonke mhubiri wa kimataifa? Alikuwa anakusanya maelfu ya watu viwanja vya wazi,pia alihubiri live kwenye radio na tv akiwa uwanjani,lakini akanaswa na shehena ya madawa ya kulevya. Kikwete kwenda kuwaambia maaskofu kuwa viongozi wa dini waache kuuza madawa ya kulevya we unadhani alikurupuka? Na alipopewa masiku ili akanushe au adhibitishe na yeye kukaa kimya ulidhani yeye *****? Alijua akiwasema hadharani kuwa ni fulani na fulani hali ya nchi itakuwa hatarini kwani watu wa madawa hujipanga kwa njia zote. Mfano ikipangwa JK auwawe,na mpango ukafanikiwa basi ujue yale ya Rwanda yatakuja Tanzania lakini itakuwa baina ya Waislam na Wakristo.

Kuna tofauti ktk ya wahubiri binafsi na wa kanisa katholic ktk karne hii.....pengo hapandi private jet wala kusafiri mwenyewe..hapokei hela binafsi ,wala kubeba mzigo binfsi. hajipangii nguo zake.Kw akisi kikubwa bata kikiwekwa kitu kibaya ktk mizigo yake hawezi kuwa anajua, na si salama sana kwa wasaidiszi wake.


Si mara ya kwanza CCM kukosa adabu....nadhani ni gia ya kuzima olasity....naona mtajaa sana hapa mlio desperate km mlivyojaa kuwashawish CDM kuwa Rwakatare anaweza kuwa gaidi, na hivyo CDM wamwache ili chama kischafuliwe..sasa naon amnajenga kwa Pengo...tukisema maskehikh hapa mnaanza ruka vihunzi...na matusi.


ILA TUNASHUKURU INTELIGENTIA YA KANISA,IMELING`AMU AMAPEMA KM MENGI AIVYOSHTUKIA MWANAE ALISHAPANGIWA DILI YA KUBEBESHWA UNGA............HII NI WAZI SASA ISSUE YA OLASITY INANYEMELEA SERIKALI N AMAUAJI YA MAPADRE SASA TIMU YA VIONGOZI WA KIISALAM WAHUNI...WANATAKA SASA JENGE MAZINGIRA YA DRAW MATCH ILI MAMBO YAJADILIWE.

JK ATAMALIZIA KM IDD AMIN.......SASA NI ZAMU YETU KIONGOZI KUONDOLEWA KM TULIVYOMUONDOA IDD AMIN.IDD AMILI ALINAZA KUWA KIPENZI CH AMATAIFA KM JK.AKITAKS ULUHISHA MAMBO YA WATU HUKU AKIWAUZA KWA KULAZIMISHA RAFIKI YAKE KTK UOVU ASHINDE, AMA YEYE ANASAIJIA KIGAIDI..HADI ALIPOUMBUKA KWA WAISRAEL KUJA CHUKUA WATU WAO.NDIO AKAJITANGAZA RASMI KUWA YEYE NI NANI.JK TAYARITIBU ATAJITANGAZA WATAKAPOANZA DAKWA WATU FULANI.
 
Wacha kuropoka kijana!
Chadema ni pure GALATIANS. NA CCM wamechangia sana huo MFUMO KRISTO!

Na huyo Mgalatia mwingine mtikila nae ni uchuro tu!
Yaani wagalatia wametapaa kama panya mtaani!
LKN haya yana mwisho! We are watching you!

MPUUZI KWELI WEWE....unaema acha kuropoka halfu unaropoka kuwa CDM ni pure galatians ukidhani huropoki.Mfumo Kristu mmeshindwa utetea kule ktk thread zaidi zaidi nimeonyesha kinachowasumbua ni majinn mnayoyafuga yanahitaji damu mfululizo bila hivyo yawatafune...ndio maan mpo tayari kuuwa watu ili kuliko kuondolewa machinjioni......ndio maana tarehe ya kuchunja lazima mchinje kitu......


Hii ndio inayofanyika hadi na serikali.......mtatoa sababua za kijinga sana..kule zenj watasema ni muungao kuvunjwa..ila hamuwapigi viongozi wenu kwa vile shetani hatoipenda hiyo damu yao kwa vile tayari ni mali yake..Damu ya wakrsitu sasa kwenu in thamani km ya Albino........kwa magamba.
 
Why kuchukiana? Kweli dini ni opium kwa binadamu

Msigw anaona umenichagua mimi kwa vile umeona ndipo upande salama kwako....na upo sahihi..mimi sina dini ni habari njema.Ukristu si dini ..ni Habari Njema,ni Neno la Mungu, ni Wokovu na Umasih.....wenye dini wana mila na desturi, wana matambiko.....


Hii ni ziadi ya opiuma ni maagano na mashinikizo......nikulipiza visasi..ni vita za kiroho....Amini nakuambia km vile shetani achomwapo Jehanum wafuasi wake nao watafnaya duniani ili kumshinikiza Mungu wa walio wa wahaki kumwachia mungu wao.

Baada ya Albino sasa naona damu ya wakristu ni Ghali zaidi kwa vampires. Ndio maana kule zanzibar hawadaia muungano uvunjwe kw akuwanyim akina shein au kuwamwagia tindikali ili waache dai kuwa muunganoupo imara na utaendelea kuwepo,na hawataki serikali tatu.....wanakwenda dai kw akuwaua na kuwajeruhi wakristu..shetani anajua kuwa wale tayari ni mali yake na ni reserve ya kipindi cha ukame.Kipidi hawajalipa sadaka ndipo wakamue mwenyewe.

sabau nyingin zozote si za kweli , na hiyo itabaki hivyo forever hadi upaepo ubadilike Tanzania...watadai mfumo kristu na kila kitu na hakuna muislam anayelinda sheria atasimama kwa ukweli kukemea kitu.
 
mimi mwenyewe ni mkristu lakini nilifurahi sana ile september 11 kwani marekani ameshaziseptember nchi ngapi mpaka leo.na badi anatamani kuendelea kuziseptember zingine.palipo haki tuongee haki mimi nilifurahi sana na nitafurahi wakipasuliwa siku ingine
 
mimi mwenyewe ni mkristu lakini nilifurahi sana ile september 11 kwani marekani ameshaziseptember nchi ngapi mpaka leo.na badi anatamani kuendelea kuziseptember zingine.palipo haki tuongee haki mimi nilifurahi sana na nitafurahi wakipasuliwa siku ingine

Mkristu wa kwenye keyboard.
 
Mbona pengo alishindwa kusema ukweli wakati Mkapa yupo madarakani? juu ya watu kupiga kelele ufisadi mkubwa aloufanya?

mh! ni walewale akina kalagha bao bila kutamka Mkapa na ukristo bado siku aijapita.
 
Heeee! We Bornvilla wewe! Ni kweli Leonard Bhonke alikamatwa na haya makitu! Tafadhali thibitisha ni lini na wapi? Ni TZ hii hii yetu au wapi.
Tafadhali fafanua kabla maombi ya FIRE hayajaanza kwa kumchafua mtumishi wa Mungu.
Kuhusu Mhe. Pengo nina hakika KANISA katoliki litatoa maelezo juu ya hili. We shall know the TRUTH and the TRUTH shall set us free.
Bila KUJALI dini zetu, tuungane kukemea suala hili la madawa ya kulevya. Nani anataka Mwanae awe teja? God forbid. Watoto wetu watafundishwa na Bwana na AMANI yao itakuwa KUBWA.

Queen Esther

kanisa haliwez kusema anahusika,ila ukwel ndo huo kuwa pengo ni mtu wa mapouder
 
Ya nini kuhangaika list ya waliowatuma kina Masogange si anayo Kamanda Nzowa na Lukuvi??? Wameanza kuwatetea!!!
 
pengo kashikwa pabaya kwahyo anajitetea. yeye akamatwe hata kama kadinali japokuwa ataacha pengo kama lilivyo jina lake.
 
Mimi nafikiri hapa ndio penye kujadiliwa kwani wale wanaotoa vitisho ni lazima wajulikane na watambuliwe.

Pili hao viongozi wa dini ambao labda mzee Pengo ni mmojawao pia ni lazima wajulikane.

Halafu ndio tufahamu juu ya magenge hayo ambao yanafanya hizo shughuli za uuzaji na usambazaji wa hayo madawa na madudu mengine yasiyo na maana ambayo yanaondoa kabisa neno maadali kwenye jamii yetu.

Utaratibu huu ukifuatwa hapatakuwa na haja ya majadiliano kama haya ambayo yanakuwa yakizungukazunguka.

Biashara ya madawa ya kulevya inalipa sana na bado kuna magenge yanajishughulisha na biashara hiyo haramu duniani na inafanywa kwa uangalifu mkubwa sana.

kwa ishu ya Pengo watu mnalialiaaaaa,,,ila kwa shekh Ponda mnatukana vya kutukana,,,,,unadhan kuna mtu ameshakiri kuwa anauza unga?????
 
mpe mtu mwema jina baya ili uweze kumuua kama polis wasemavyo tumeua majambazi na si binadamu au watu
 
Back
Top Bottom