Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Mi nadhani Mwadhama kardinari ana kazi rahisi sana. Kama ameiona list na anajua aliyeandika hiyo list,yeye au kanisa wamshtaki mara moja kwa kumchafua na kulichafua kanisa na amtake alete ushahidi. Bila hivyo uongo ukiongelewa sana watu watajua ni kweli!
 
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE

Serikali ikithibitisha kuhusu dawa na kuhusu wale watoto wawili aliozaa Tunduru atakuwa tayari KUJIUZULU ASILINAJISI KANISA?
 
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE

Mmmmmh
 
oooohooo alaaniwe vipi? mlisema Rais kakalia majina aliyopewa,yupo Mbowe pia,sasa wakamatwe? acheni siasa majitaka nyie,hii biashara haina dini,chama wala rangi ya mtu. ni tatizo la dunia nzima,sasa mnaitumia hii kwenye siasa ndio maana wanatajwa watu kama Muadhama hapo, inakuwa mchezo wa attack and defend

Ila kwenye club ya Mboe (YAN NYUMBA INANAYOMILIKIWA NA MWENYEKITI WA CDM TAIFA)watu walikuwa wanatumia live MADAWA
M,naona sikuhizi imepungua kidogo wanaanza saa 8 usiku kwa kujifichaficha.
 
Hakuna Ukristo unaotawaka Tanzania .... Ukristo unatawala MBINGUNI na DUNIANI usiutafute katika sehemu ndogo km Tanzania Anzia MBINGUNI

Hata nchi zinazojiita za Kiislam zinatawaliwa na Ukristo .... hakuna silaha yoyote ya kivita zaidi ya Jambia ambayo ni ya Kiislam au hata utamafuni wa majengo ya ghorofa na barabara za lami ambazo ni Uislam yote haya wanaiga jamii zenye Ukristo ..... sasa Uislamu unabakia kwenye UFITINI tu!

We jipe moyo tu! Eti ukristo unatawala dunia!
Hizi bangi bila msosi ni balaa!
We ngoja tuanze kutembeza bakora! Hapa tz ndio akili zitawasogea kidogo!

Wale waliouleta huo ugalatia hapo kwenu wameanza kusilimu kwa wingi saana!
Bado nyie wenye akili kuambiwa! Siku zenu haziko mbali!
Mfumo kristo umekufa nchi nyingi saaana!
Umebaki huko kwenye ulimwengu wa tatu! Lkn tunaufanyia kazi sasa!
Hauna muda tena!
 
MPUUZI KWELI WEWE....unaema acha kuropoka halfu unaropoka kuwa CDM ni pure galatians ukidhani huropoki.Mfumo Kristu mmeshindwa utetea kule ktk thread zaidi zaidi nimeonyesha kinachowasumbua ni majinn mnayoyafuga yanahitaji damu mfululizo bila hivyo yawatafune...ndio maan mpo tayari kuuwa watu ili kuliko kuondolewa machinjioni......ndio maana tarehe ya kuchunja lazima mchinje kitu......


Hii ndio inayofanyika hadi na serikali.......mtatoa sababua za kijinga sana..kule zenj watasema ni muungao kuvunjwa..ila hamuwapigi viongozi wenu kwa vile shetani hatoipenda hiyo damu yao kwa vile tayari ni mali yake..Damu ya wakrsitu sasa kwenu in thamani km ya Albino........kwa magamba.

CHADEMA NI SUMU KWA TAIFA! NA NI PURE EVIL!
Hao Ccm wametuchosha lkn wana afadhali!
SIKU CHADEMA IKICHUKUA NCHI! WATU WATACHINJANA KIMBWA MBWA!
Hakuna promotion ya peace yyt mnayofanya! Zaidi ni domo kaya tu!
Kuanzia kiongozi wenu mpaka wapiga deki woote GALATIANS!

2015 LAZIMA MPINDUKE MIGUU JUU!
Kanisa chafu kabisa! Linalotaka damu za wananchi zimwagike!
 
Kuna tofauti ktk ya wahubiri binafsi na wa kanisa katholic ktk karne hii.....pengo hapandi private jet wala kusafiri mwenyewe..hapokei hela binafsi ,wala kubeba mzigo binfsi. hajipangii nguo zake.Kw akisi kikubwa bata kikiwekwa kitu kibaya ktk mizigo yake hawezi kuwa anajua, na si salama sana kwa wasaidiszi wake.


Si mara ya kwanza CCM kukosa adabu....nadhani ni gia ya kuzima olasity....naona mtajaa sana hapa mlio desperate km mlivyojaa kuwashawish CDM kuwa Rwakatare anaweza kuwa gaidi, na hivyo CDM wamwache ili chama kischafuliwe..sasa naon amnajenga kwa Pengo...tukisema maskehikh hapa mnaanza ruka vihunzi...na matusi.


ILA TUNASHUKURU INTELIGENTIA YA KANISA,IMELING`AMU AMAPEMA KM MENGI AIVYOSHTUKIA MWANAE ALISHAPANGIWA DILI YA KUBEBESHWA UNGA............HII NI WAZI SASA ISSUE YA OLASITY INANYEMELEA SERIKALI N AMAUAJI YA MAPADRE SASA TIMU YA VIONGOZI WA KIISALAM WAHUNI...WANATAKA SASA JENGE MAZINGIRA YA DRAW MATCH ILI MAMBO YAJADILIWE.

JK ATAMALIZIA KM IDD AMIN.......SASA NI ZAMU YETU KIONGOZI KUONDOLEWA KM TULIVYOMUONDOA IDD AMIN.IDD AMILI ALINAZA KUWA KIPENZI CH AMATAIFA KM JK.AKITAKS ULUHISHA MAMBO YA WATU HUKU AKIWAUZA KWA KULAZIMISHA RAFIKI YAKE KTK UOVU ASHINDE, AMA YEYE ANASAIJIA KIGAIDI..HADI ALIPOUMBUKA KWA WAISRAEL KUJA CHUKUA WATU WAO.NDIO AKAJITANGAZA RASMI KUWA YEYE NI NANI.JK TAYARITIBU ATAJITANGAZA WATAKAPOANZA DAKWA WATU FULANI.

We ni mnafiki mkubwa!
Unatuletea hoja hapa kutuonyesha kuwa CHADEMA ni bora na CCM hawana maana!!
Unachanganya siasa na dini PURE CHADEMAS FLAG FOLLOWER!

We na huo mfumo kristo siku zenu ni chache tu zimebaki!
KAMA HAMTOWE KUACHA UNAFIKI WENU!
BASI ITATEMBEA MIKWAJU MPAKA AKILI IWARUDI!
manake wakati mwingine pinda bila marungu na viboko HAENDI!
 
hebu ona raisi wa nchi mgalatia? makamu wake naye?ZANZIBAR JE WAGALATIA? IGP,USALAMA WA TAIFU, JAJI MKUU tafuta pia majina ya kamati kuu ccm 70% ni waislam so kiujumla ni mfumo kislam sema baadhi ya waislam chuki na wakristo hayajaanza leo ila ujue kwa misingi ya imani yenu hata mkibaki wenyewe hamtakuwa salama ona somalia,sudani ,afugastan,syria,misri nk ni mogogoro tu kubaguani nihitimishe hv Yesu ni mfalme wa amani ni Mungu anayejitetea na kuwapigania wote wanaomwamini ni ndiye atakaye kuhukumu wewe mwenye chuki na wakristo soma habari za paulo alikuwa anawaua wakristo alibadilishwa acha kufuata mkumbo jitathmini ipo siku utakuwa peke yako na kutoa hesabu ya matendo yako
 
kwel viongoz wa dini mnatudhaIiIisha hadi askofu kaaah! sheria ichukue mkondo wake mda sio mrefu tutawabaini wote
 
Siamini uzushi huo hasa kwa mtu kzma Pengo, ccm wanaweza fanya lolote ili ajenda yao ipite na ukweli wanamchukia sana Pengo, Malasusa na Mokiwa. Subirni kama hamjawasikia niliowataja ...
 
Pengo uza unga tu, maana sasa hivi TANZANIA NDIO SOKO KUU NA NJIA KUU YA MADAWA. Mpaka njia haijafungwa na mataifa makubwa na UN, ENDELEA KWA BIDII SANA. We mjanja!!!

Wewe ulifungua njia sasa hivi vijana wote wamepata ajira ya uuzaji wa unga, kwani hilo mbaya si Kikwete mwenyewe aliahidi ajira milioni moja kila mwaka.

Hongera PENGO UMEFANYA VIZURI, usiwasikie wanaokupigia kelele, kwanza mwaga pesa ya Roba moja tu watakaa kimya.
 
Ndiyo Waislam wana upenda ugaidi wala siyo Uongo.... Kuna Muislam gani hakufurahia 9/11 ukimpata basi huyo kabadili dini-tabia ni matokeo ya unachokipenda Mlevi lazima apende Pombe nk .... Uislam kwa hivi karibuni umeruhusu watu wengi kuufia ili kuukuza kwa waumini kupewa fedha za kuendesha familia zao watakapo jiua.....!

Wewe ni muongo Waislam ni masikini? Huo ni utoto wa maono biashara ya mafuta Tanzania 90% inaendeshwa na Waislam na hakuna bidhaa inayochangia umasikini wa watanzania km Mafuta ... yakipanda kidogo tu yanachangia umasikini wa watanzania kwa 100% leo unasema Waislam masikini!??

Jarida la FOBES lilitoa majina ya watanzania matajiri kuliko wote katika majina 10 Mkristo ni mmoja tu, wote wengine ni waislam ukianza Bahresa, kina Ali Mfuruki, Mohamed Enterprises, Yusuph Manji nk

Unanikera sana unapo singizia waislamu ni masikini....Waislam mnapenda sana mbakie pekeenu Tanzania ndio maana mnatunga kila aina ya fitina kwa imani yenu kumfitini mtu siyo dhambi...ndio maana hakuna mafanikio

We dada au sijui kaka!
Unaposema hakuna muislamu aliyekasirishwa na 9/11 we unafahmu waislamu wangapi walikufa katika tukio hilo?? Au unaropoka tu! Sasa familia za hao waliouwawa pia watafurahia sio??
Hii mijiti mingine yenye chuki na waislamu ambayo hayana hata elimu ni hatari kuliko nyok wa sumu!
Halafu unasema waislamu wanataka kubaki peke yao Tanzania! Nakuuliza je! uneshaona waislamu wanaanzisha mifumo kama MFUMO KRISTO!
Mnasambaza sumu ya mfumo kanisa mpaka kwenye shule za serikali! Utafikiri hii nchi ya kwenu peke yenu!
Na huyo kadinali wenu anazidi kuchochea huo mfumo!
Nyie mpaka siku mje mfanyiwe kweli ndio mtakuwa na nidhamu na adabu ya kufahamu kuwa waislamu wakitaka haki zao huwa hawaombi! Wanazichukua.!
Mnnssssssssss!
 
Uaskofu au ukardinali sio kazi ya siasa!kama anajihusisha na biashara hiyo na ushahidi upo akamatwe afikishwe panapohusika, Hana kinga ya kushitakiwa! Ila kumtajataja halafu kumuacha huru ni UPUUZI , na huu umekuwa Kama ugonjwa kwa watanzania kupenda kutajataja majina ya watu wanaohisiwa ni wahalifu bila kuwashugulikia kisheria,.
 
We jipe moyo tu! Eti ukristo unatawala dunia!
Hizi bangi bila msosi ni balaa!
We ngoja tuanze kutembeza bakora! Hapa tz ndio akili zitawasogea kidogo!

Wale waliouleta huo ugalatia hapo kwenu wameanza kusilimu kwa wingi saana!
Bado nyie wenye akili kuambiwa! Siku zenu haziko mbali!
Mfumo kristo umekufa nchi nyingi saaana!
Umebaki huko kwenye ulimwengu wa tatu! Lkn tunaufanyia kazi sasa!
Hauna muda tena!

lafa wewe mkoa w mar unatosh kuwsambalatisha wote lafa mkubw
 
lafa wewe mkoa w mar unatosh kuwsambalatisha wote lafa mkubw

Ongea lugha ya taifa! Matatizo yenu nyie wakurya mkipanda jazba mnaongea kiluga!
Sasa huyo lafa ndio mnyama gani!!
We subiri tu! Sindano inachemshwa! Ikiiva utashindiliwa nayo kwenye makalio mpaka uume meno!

Mkurya! Tato isokoroboke!!
Mbuya hoire!!

Teh teh teh teh teh
 
inawezekena kweli wamefanikiwa kumnyamazisha mbona siku hizi sisikii kutoa waraka? au inasubiliwa uchaguzi 2015?
 
Back
Top Bottom