Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Huyu mzee alitajwa pia kwenye ile list ya wale waliopata ule mgao wa pesa za Escrow if not mistaken.
Why yeye tu?? Anatatizo ajichunguze
 
Nakumbuka JK alitamka kuwaambia Maaskofu kuwa kwa mujibu wa taarifa alizonazo. miongoni mwao wanauza Ngada, Maaskofu kutoka hapo wakaendesha kampeni kwa waumini wao eti Rais Apuuzwe!
Yaani badala ya Hao maaskofu kukaa chini, kujiuliza na kumsaidia raisi kwa manufaa ya Taifa, wao wanaendesha kampeni ya kumdescredit!. Nadhani unapata picha ya ugumu wa kutawala nchi alioupata JK.
 
Hivi huyu askofu ana mali gani mpaka wanamsingizia kuwa anauza madawa
 
Hahahaaa kumbe yumo kwa list?
Sasa Makonda mbona hajamuita?
 
Najua but sisi wote si ni watu sawa mbele ya sheria?
au Pengo ni binadamu zaidi kuliko kina Gwajima?
Pengo si binadamu tofauti lakini Pengo ni kiongozi wa taasis, kushutumiwa Pengo kama Kadinali ni lazima Baba Mtakatifu afahamishwe na yeye pia atoea msaada wa kisheria, na kama atakutwa na hatia basi itabidi Baba Mtakatifu ateue Kadinali mwingine.
 
Sasa kwakuwa Gwajima na Manji hawana hiyo kinga its okay kuwashutumu hata kama evidence hakuna?
 
Sasa kwakuwa Gwajima na Manji hawana hiyo kinga its okay kuwashutumu hata kama evidence hakuna?
La hasha, sijasema hayo, lakini inawezekana hawajapata ushawishi wa kutosheleza kumuita Pengo.
 
Pengo ni ccm acha aumbuliwe vilivyo anastahili kbs kiongozi gani wa dini una tetea chama kimoja ili kikandamize wananchi ?unajijali ww tu badala ya kujali taifa? Ss ndo atajua ccm co kijani tu inampaka ranging ya kigeugeu.na pia km askofu unayelijua neno hata km kidogo hapo ndipo Mungu anapopishanisha kauli zenu,ili mctende maovu zaidi ktk nchi.kumbuka ilivyokua babeli.
 
Pengo si binadamu tofauti lakini Pengo ni kiongozi wa taasis, kushutumiwa Pengo kama Kadinali ni lazima Baba Mtakatifu afahamishwe na yeye pia atoea msaada wa kisheria, na kama atakutwa na hatia basi itabidi Baba Mtakatifu ateue Kadinali mwingine.
.
Baba mtakatifu?
Kwa mujibu wa imani ya kikristo baba mtakatifu ni mmoja tu nae ni Mungu.
 
Double standard ndo jibu sahihi
Mkuu the Boss, unafahamu kuwa Pengo akiitwa tu kituo cha polisi, mashirika yote ya habari yatakuwa na coverage yake, hii itakuwa shughuli nzito sana, na kama ni hear say itakuwa aibu gani kwa serikali.
 
.
Baba mtakatifu?
Kwa mujibu wa imani ya kikristo baba mtakatifu ni mmoja tu nae ni Mungu.
Imani ya ki-Katoliki tunaamini Yesu alimwachia Peter uongozi wa kanisa na baada ya Peter kuna kiongozi anaechaguliwa ambae tunamwita baba Mtakatifu.
 
Imani ya ki-Katoliki tunaamini Yesu alimwachia Peter uongozi wa kanisa na baada ya Peter kuna kiongozi anaechaguliwa ambae tunamwita baba Mtakatifu.
.
Acha ushabiki wa kimapokeo. Hebu lete hilo andiko ku saport hayo unayosema
 
Back
Top Bottom