Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!

Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba.

Inaonekana Mo amelipa hela nyingi sana ili tamasha litangazwe na Clouds ili kusudi lisidode, Haji Manara ameonekana pengo lake.

Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba
 
Siku zote huwa nasema wezi wa kuku huku mtaani kama mleta mada walikimbia umande sasa issue ya marketing ataijulia wapi ndio maana timu yao imeingia mkataba wa kuutangaza mt.kilimanjaro na z'bar kimataifa wakati jumapili wanaaga mashindano rasmi sasa sijui wataivalia wapi hiyo jezi
 
Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!

Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba.

Inaonekana Mo amelipa hela nyingi sana ili tamasha litangazwe na Clouds ili kusudi lisidode, Haji Manara ameonekana pengo lake.

Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba
Ni sawa pia na Nyumba bila choo,Kufuli bila funguo,Gari bila matairi,Giza bila jua
 
[mention]Renzo Barbera [/mention] yaani kwa ubinadamu sijapenda alichosema Boban dhidi yako kasema hauna akili japo nimejaribu kumuunga mkono nikasema wewe ni mwehu, lakini kiukweli kamjibu jamaa atasemaje hauna akili hata kama nimemuunga mkono lakini sijapenda alichokisema juu yako
 
Mbona siku zote clouds hutangaza mechi kubwa za Simba huyu mwamba atakua mkoani kwake clouds ilikua haishiki. Mbali na radio clouds wanakampuni ya promotion. Hata alipokuwepo huyu manara Bado ilikua inafanyika.
 
mtu anasema Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba, huyo ni mzima?
 
Mbona siku zote clouds hutangaza mechi kubwa za Simba huyu mwamba atakua mkoani kwake clouds ilikua haishiki. Mbali na radio clouds wanakampuni ya promotion. Hata alipokuwepo huyu manara Bado ilikua inafanyika.
Hivi huyo Manara, alikuwa anazunguka mitaani na loudspiker kutangaza taarifa za Simba?
 
Kweli nimeamini wana uto na mama J. wamevulugwa kweli kweli. Simba sports club 1936 ndiyo ya kuhitaji nguvu ya promo kutoka clouds?

Acheni utani clouds wanafahari kubwa kufanya kazi na Simba
 
Ni sawa kabisa,mpira ni biashara mashabiki wakija kwa wingi ndo pesa inaingia.
Wewe ndo tunakushangaa.
 
Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!

Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba.

Inaonekana Mo amelipa hela nyingi sana ili tamasha litangazwe na Clouds ili kusudi lisidode, Haji Manara ameonekana pengo lake.

Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba
Kuna baadhi yenu hapa mkiwa mnaambiwa ni Wapumbavu msiwe ama mnakataa au mnabisha pia.

Kwa Msiojua Kihistoria tokea Simba SC ianzishe Simba Day yake CMG wamekuwa Washirika wa Promotion.

Na ukaribu huu ulizidishwa sana na Marehemu Boss Ruge ambaye alikuwa ni mwana Simba SC lia lia.

Hii Promo ya Simba Day hata mwaka Juzi na Jana pamoja na uwepo wa Haji Manara badi CMG walifanya.

Halafu ungekuwa umesoma vyema ama PR au Marketing wala usingeshangaa kwa Company / Insitutuon / Corporate kutumia Media Kubwa Kiushawishi kama sehemu yake ya Promotion.

Tatizo lenu Kubwa mlizaliwa kama Sisi wengine ila hamkunyonya vyema Maziwa ya Mama zenu ili muwe very Intelligent matokeo leo mnatusumbua wenye Akili Kubwa kwa Upumbavu na Ushamba wenu.

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael ( Raia wa Belgium ) hakukosea pale aliposema kuwa Yanga SC wengi ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe.
 
Back
Top Bottom