Haji Manara na Watu wako 'wanaokusapoti' unajua kuwa kama Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na CEO Barbara 'wakikushtaki' unaozea Jela?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,864
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa.

Jana 'Umeropoka' kadri uwezavyo baada ya Kutumwa na Waliokutuma kutoka Kariakoo na Mbagala na mwishoni ukasema kuwa unaomba upatiwe Ulinzi ukisema kuwa unatuhumiwa Kuhujumu huko ulikokuwa.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nakuuliza Haji Manara kati ya Shutuma zako zisizo na Ushahidi kwa Maadui zako na zile zako Kubwa Mbili za hivi karibuni ni nani unadhani ndiyo anatakiwa aseme anahitaji Ulinzi?

Kauli yako kwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba ukimwambia kuwa Utamdhalilisha kwakuwa una Meseji zake nyingi ( tena ukimwambia mbele ya Waandishi wa Habari Wenzake ) unadhani Mtangazaji huyu akiamua 'Kukushtaki' kwa Makosa ya Kimtandao, Kumdhalilisha na Kumtishia leo hii utakuwa nasi Uraiani?

Kauli yako mbele ya Waandishi wa Habari ( na ambayo ipo katika Mitandao mbalimbali ) na mpaka katika 'inserts' za Redio nyingi ukimtishia CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuwa utamkomesha na kumuonyesha Wewe ni nani na jana tena katika Press Conference yake ukasema una Meseji zake nyingi unadhani Mwanadada huyu akiamua 'Kukushtaki' leo hii utaendelea Kufaidi huko 'Kutumikishwa' Kwako na hao Azam Media, ASAS na GSM?

Haji Manara unajiita 'Mtoto wa Mjini' hivi leo hii umesahau wale Watanzania ( Watu ) baadhi waliokuwa 'Wakitumika' Kuwachafua Wenzao nchini Tanzania ( hasa wa Maslahi ya Kisiasa ) na hata 'Kiumaarufu' mwisho wao uko wapi?

Labda nikuambie na tena nikutahadharishe tu kuwa hakuna Watu ambao Tanzania hii 'Wametumika' ama iwe Kisiasa, Kidemokrasia, Kijamii na Kiuchumi walibaki kuwa Salama na hata Kuyafurahia Maisha yao. Mifano juu ya hii ipo mingi tu najua hata Wewe unayo na unaijua pia.

Wanaokushauri na kukupa hicho Kiburi, Nyodo na Jeuri zote ulizonazo sasa huku wakikutuma kufanya ulichokifanya nakuhakikishia Haji Manara ndiyo hao hao muda si mrefu 'Watakugeuka' na kukuacha peke yako 'Ukitaabika' kwani hakuna Mwanaume anayeirudia 'Condom' aliyoitumia na Kumpa Utamu wa Tendo la Ndoa.

Unatumika kama 'Condom' ila hujui tu!!!
 
Jibuni hoja zake watu waelewe mnapata hasara au faida? Na kwa nini jezi yenu imejaa matangazo kibao pande zote na jezi ziko kama za sudani kusini?
 
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa...
Soma haya ukiyoyaandika ukimtukuza Manara.

" Ni Wasemaji wazuri na bahati nzuri wote kuanzia Nugaz, Bumbuli na hata huyu Jimmy Kindoki ni Marafiki zangu na sina Uadui nao ila huwa tunaamua tu Kucharurana ili Kunogesha Mpira wetu ila kuna aliyewahi kuwa Msemaji wao Jerry Muro sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru alivuka mipaka na hivi karibuni kabla ya Mechi yetu nao waliyotufunga alikuwa akizunguka katika Media mbalimbali Kunitukana, Kunishambulia huku akinidhalilisha mno...
 
Jibuni hoja zake watu waelewe mnapata hasara au faida? Na kwa nini jezi yenu imejaa matangazo kibao pande zote na jezi ziko kama za sudani kusini?
Manara ni Mhuni tu kama Wahuni wengine soma hapa
Screenshot_20210805-155340.jpg
 
Wanasimba wamemkataa second time..alivotoa clip na hii press alidhani atapata kuungwa mkono..Timu iko kwenye mafanikio it's hard kuharibu....wote wanaompa kiburi walimpenda na kumpa contract coz Yuko Simba..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo wanaweza kumshtaki na yeye atatangaza maji ya uhai akiwa selo😂
Nalog off
 
Jibuni hoja zake watu waelewe mnapata hasara au faida? Na kwa nini jezi yenu imejaa matangazo kibao pande zote na jezi ziko kama za sudani kusini?
Tunapata faida sisi mashabiki kwa kupata furaha,kushangilia kuchukua makombe ya ligi mara nne mfululizo,kombe la FA mara mbili mfululizo,na kuingia robo fainal mara mbili ndani ya miaka mitatu.

Faida nyingine ni simba kuitangaza nchi yetu kila inapoenda kushiriki mashindano ya kimataifa,na pia ligi yetu kupanda viwango kutoka nafasi ya thelathini hadi nafasi ya nane kwa ubora Africa,na kupata nafasi nne za uwakilishi.
Timu yetu ya Simba kuwa namba kumi na mbili kwa ubora wa vilabu africa na namba moja africa mashariki,hizo faida mashabiki wa Simba tunapata,suala la muekezaji kupata faida bado hapati faida uwekezaji sio kama kunya ni process.
 
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa.

Jana 'Umeropoka' kadri uwezavyo baada ya Kutumwa na Waliokutuma kutoka Kariakoo na Mbagala na mwishoni ukasema kuwa unaomba upatiwe Ulinzi ukisema kuwa unatuhumiwa Kuhujumu huko ulikokuwa.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nakuuliza Haji Manara kati ya Shutuma zako zisizo na Ushahidi kwa Maadui zako na zile zako Kubwa Mbili za hivi karibuni ni nani unadhani ndiyo anatakiwa aseme anahitaji Ulinzi?

Kauli yako kwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba ukimwambia kuwa Utamdhalilisha kwakuwa una Meseji zake nyingi ( tena ukimwambia mbele ya Waandishi wa Habari Wenzake ) unadhani Mtangazaji huyu akiamua 'Kukushtaki' kwa Makosa ya Kimtandao, Kumdhalilisha na Kumtishia leo hii utakuwa nasi Uraiani?

Kauli yako mbele ya Waandishi wa Habari ( na ambayo ipo katika Mitandao mbalimbali ) na mpaka katika 'inserts' za Redio nyingi ukimtishia CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuwa utamkomesha na kumuonyesha Wewe ni nani na jana tena katika Press Conference yake ukasema una Meseji zake nyingi unadhani Mwanadada huyu akiamua 'Kukushtaki' leo hii utaendelea Kufaidi huko 'Kutumikishwa' Kwako na hao Azam Media, ASAS na GSM?

Haji Manara unajiita 'Mtoto wa Mjini' hivi leo hii umesahau wale Watanzania ( Watu ) baadhi waliokuwa 'Wakitumika' Kuwachafua Wenzao nchini Tanzania ( hasa wa Maslahi ya Kisiasa ) na hata 'Kiumaarufu' mwisho wao uko wapi?

Labda nikuambie na tena nikutahadharishe tu kuwa hakuna Watu ambao Tanzania hii 'Wametumika' ama iwe Kisiasa, Kidemokrasia, Kijamii na Kiuchumi walibaki kuwa Salama na hata Kuyafurahia Maisha yao. Mifano juu ya hii ipo mingi tu najua hata Wewe unayo na unaijua pia.

Wanaokushauri na kukupa hicho Kiburi, Nyodo na Jeuri zote ulizonazo sasa huku wakikutuma kufanya ulichokifanya nakuhakikishia Haji Manara ndiyo hao hao muda si mrefu 'Watakugeuka' na kukuacha peke yako 'Ukitaabika' kwani hakuna Mwanaume anayeirudia 'Condom' aliyoitumia na Kumpa Utamu wa Tendo la Ndoa.

Unatumika kama 'Condom' ila hujui tu!!!

Mzee upo busy tu na Manara,umekomaa kweli kweli!
 
HAJI kwa watu wanao mjua wala hawahangaiki naye kabisa wanamjua A to Z tabia yake.

Kwa HAJI alivyo kuwa na Ukaribu na Mheshimiwa yule aliye kuwa kiongozi mkuu angeweza kupata nafsi yoyote ktk SERIKALI awamu hii lkn ujiulizi WHY NOT!!!
 
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa.

Jana 'Umeropoka' kadri uwezavyo baada ya Kutumwa na Waliokutuma kutoka Kariakoo na Mbagala na mwishoni ukasema kuwa unaomba upatiwe Ulinzi ukisema kuwa unatuhumiwa Kuhujumu huko ulikokuwa.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nakuuliza Haji Manara kati ya Shutuma zako zisizo na Ushahidi kwa Maadui zako na zile zako Kubwa Mbili za hivi karibuni ni nani unadhani ndiyo anatakiwa aseme anahitaji Ulinzi?

Kauli yako kwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba ukimwambia kuwa Utamdhalilisha kwakuwa una Meseji zake nyingi ( tena ukimwambia mbele ya Waandishi wa Habari Wenzake ) unadhani Mtangazaji huyu akiamua 'Kukushtaki' kwa Makosa ya Kimtandao, Kumdhalilisha na Kumtishia leo hii utakuwa nasi Uraiani?

Kauli yako mbele ya Waandishi wa Habari ( na ambayo ipo katika Mitandao mbalimbali ) na mpaka katika 'inserts' za Redio nyingi ukimtishia CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuwa utamkomesha na kumuonyesha Wewe ni nani na jana tena katika Press Conference yake ukasema una Meseji zake nyingi unadhani Mwanadada huyu akiamua 'Kukushtaki' leo hii utaendelea Kufaidi huko 'Kutumikishwa' Kwako na hao Azam Media, ASAS na GSM?

Haji Manara unajiita 'Mtoto wa Mjini' hivi leo hii umesahau wale Watanzania ( Watu ) baadhi waliokuwa 'Wakitumika' Kuwachafua Wenzao nchini Tanzania ( hasa wa Maslahi ya Kisiasa ) na hata 'Kiumaarufu' mwisho wao uko wapi?

Labda nikuambie na tena nikutahadharishe tu kuwa hakuna Watu ambao Tanzania hii 'Wametumika' ama iwe Kisiasa, Kidemokrasia, Kijamii na Kiuchumi walibaki kuwa Salama na hata Kuyafurahia Maisha yao. Mifano juu ya hii ipo mingi tu najua hata Wewe unayo na unaijua pia.

Wanaokushauri na kukupa hicho Kiburi, Nyodo na Jeuri zote ulizonazo sasa huku wakikutuma kufanya ulichokifanya nakuhakikishia Haji Manara ndiyo hao hao muda si mrefu 'Watakugeuka' na kukuacha peke yako 'Ukitaabika' kwani hakuna Mwanaume anayeirudia 'Condom' aliyoitumia na Kumpa Utamu wa Tendo la Ndoa.

Unatumika kama 'Condom' ila hujui tu!!!
Sasa kwanini usuwaambie hao prisca na barbara wamshitaki basi,uone nguvu itakayokuwa nyuma ya haji,kama hamkujamba cheche

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom