Pengo amtolea uvivu Kikwete

Kwani ni lazima awataje yeye rais, Pengo kwa kuwa ni kiongozi wa hao viongozi wa dini kwa nini asiwataje maana na yeye anawajua, huku mtaani tunawajua.
Yaani jinsi avator yako ilivyo kaa kaa kinafiki nadhani inasadifu jinsi ulivyo...!
 
Sasa wewe msomi uchwara Akili yoke yote imejaa Pushkin whisky!
Eti wazungu wanaita Insanity huyu msomi uchwara anadhani wazungu wote wanaongea Kingereza!
Hizi nchi ni za wazungu, Belgium, Germany, France, Russia, Portugal, Poland, Netherlands, kwa uchache tu nimekutajia hawa Insanity hawajui ni nini. Teh teh teh teh
kazi kubwa..! sasa wewe umeshindwa nini kuelewa niliposema wazungu wanaiita hiyo kitu insanity...nilitegemea unge relate moja kwa moja na kiingereza! Ninajua wazungu wana lugha nyingi tu lakini hapa tanzania tuna mazoea ya kusema kiingereza kama kizungu... kwa sababu lugha kubwa ya wazungu inayozungumzwa hapa tanzania ni kiingereza ! hebu google hili neno 'kizungu cha kuombea maji' !

mada hapo juu ni ..'PENGO AMTOLEA UVIVU KIKWETE'.
 
ʞontɹact Sniper;2363557 said:
.

Ujauzito wa mwanamke ni jambo la kiasili sana ni matokeo ya mahusiano yanayopelekea kuzaliwakwa kiumbe kipya, ambacho ni mwanzo au muendelezo wa kukua kwa taasisi familia, taaisisi ambayo ni muhimu katika ustawi wa jamii yoyote kama itatunzwa na kulelewa katika maadili mema.
Ni jamii na familia ambayo viongozi hawa wa dini wanatarajiwa kuotesha mafunzo na mbegu za uadilifu. Hivyo katika kuifahamu unapaswa kufahamu namna mimba inavyotungwa, na utalijua hilo kwamsaada wa sayansi, na hatua mama mjazito na ujasiri wake utalifahamu tu kwa kuwa wewe ni sehemu ya jamii.
Na ufahamu wa huo juu ya mama mjamzito haukwepeki kwasababu halihitaji elimu ya darasani, bali unahitajika kuwa sehemu ya jamii tu.
Ni urithi usiokwepeka.
wape busara mkuu!
 
INA MAANA PENGO ALISHAWAHI AU ANAO WATOTO? MWANAMKE MJAMZITO KAMWONA WAPI? SI MUOE JAMANI...YA NINI KUJITESA NA KUCHAFUA MASHUKA USIKU...UNAJUA USIPOLALA NA MWANAMKE MIAKA MINGI UNAATHIRIKA KISAIKOLOJIA? HUYU MZEE AMEATHIRIKS KISAIKOLOJIA NAMSAMEHE BURE
Nilifikiri kopo lina kitu ndani yake.
 
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kikwete katamka kuwa viongozi wa dini wanahusika na biashara ya madawa ya kulevya halafu kasemea kwenye shughuli ya wakatoliki. Mbaya zaidi kaambiwa awataje hadi sasa anazungukazunguka. Hata kama kanuna sababu ya urais lakini hii hoja isingeachwa ipite hivi hivi kwa kuogopa kuambiwa umenuna.

hapa kaambiwa kiustaarabu aanze kujisafisha ndani

kama anashindana time will tell na asubiri kidogo tu

hii ni vita na Mafia kali sio unavamia tu

angalia hapa The Mafia, The CIA, And The Vatican's Intelligence Apparatus
 
Kwani hao viongozi ni mitume?, mbona bado mmenuna, mlitaka mtajie mkatajiwa sasa mnabaki na nongwa tu. Mwambieni Pengo atanuna hadi lini, ajipange upya kumtafuta padri mwingine yule wa mwanzo hauziki.

Sijui kichwani kwake kuna nini?
 
Hao ndio waichilamu bana!! Mnajua jamani madarasa yaliwekwa ili watu wasome wafute ujinga. Sasa kama utayaangalia madarasa kama mama mkwe ndo utajikuta unatukana badala ya kujadili hoja, unajadili watu badala ya kujadili hoja. Yaani ukisoma hii thead mwanzo mwisho utagundua wanaotuangusha (Watanzania) ni kina nani na ni kwasababu gani. Tujadili hoja kwa kuzingatia matakwa ya utawala bora ya Transparency and Openness otherwise kama umechoka si lazima kuandika upuuzi wako humu ambao hata wenye akili na elimu ya kutosha ambao ni wa imani yako wanakushangaa.
 
Ukiangalia sana wanaomtetea Kikwete ni ushabiki tu unawaongoza, aliyesema kuna viongozi wauza unga ni Kikwete tena kasema mbele ya Maaskofu wa Kikatoliki.......Pengo kwa vile ni kiongozi kamwambia well wataje basi......Kikwete kimya sasa kati ya hawa wawili Pengo anakosa gani kumwambia awataje huo kama si ushabiki ni kitu gani.

Lakini jueni kuwa urais wa Kikwete umebaki miaka mitatu lakini Uaskofu wa Pengo ni wa milele Kikwete alimkuta Pengo na atakwenda bench na kusahaulika kama Mkapa atamwacha Pengo na ataendelea kuwa Askofu.
 
nyinyi watu kwa kweli mnachosha sana.....sasa hiyo link hapo juu ndiyo nini? mada inasema 'Pengo amtolea uvivu kikwete'!
angalia links nilizoziiweka hapo chini....je ni halali kusema jumuiya yote ya waislam inajihusisha na huo uchafu ambao uko kwenye hizo links kwa sababu al shaabab na al qaeda wanajihusisha na huo uchafu?? tubaki kwenye mada!

Drug trafficking, kidnapping fund al Qaeda « Drug Busts Worlwide
Opium production in Afghanistan - Wikipedia, the free encyclopedia
Al Qaeda and Opium | The Canyon - Malibu, California
Holy War - Al Qaeda's Luton & Dunstable War front: Heroin: The Golden Sword of Jihad
Piracy ransoms funding Somalia insurgency | Reuters
 
Usilazimishe wote tuwe na utumwa wa kununa, uchaguzi mwingine 2015 sasa hivi tujenge maendeleo.

JK ni kiongozi wa nchi, kama ana uhakika kuwa kuna kundi la watu ambalo limenuna kutokana na ushindi wake, alichotakiwa kufanya ni kuvunja hayo makundi kwa kauli za busara na ziletazo umoja, kama wafanyavyo viongozi makini pote duniani, na si kuanza kuimba mafumbo-mafumbo kama alivyofanya, hii inapunguza credibilty zake mbele ya jamii aiongozayo na hata ile ya kimataifa, jaribu kuangalia mtiliko wa matukio haya, ni kama analazimisha kushusha credibilty zake ili jamii imuone kuwa ni mtu duni asiye na msaada........Kwa hiyo mkuu kuwa makini unaposhabikia kauli kama hizi, kwani zinamlevya mtoaji wake na hazijengi zaidi ya kuendelea kutugawa.
 
mmmhh...sikulaumu tena nimekumbuka kuwa sio kosa lako bali ni la wazazi wetu kwa kutupeleka madrasa badala ya
shuleni...hivi uliwezaje kuingia humu...kwani ni kipi ambacho huelewi mpaka uandike offpoint kiasi hiki...!!!!!..au basi soma
alichokujibu sweke34..LABDA UTAELEWA KIDOGO..hapa juu,,

nami namshukuru sana mungu kwa kutonipeleka Sunday school kwani huko nisingeruhusiwa kuuliza masuala yaliyoenda shule kama hili kwani ningeuliza tu ningeambiwa SINA ROHO MTAKATIFU.

Suala langu linarudi pale pale Je kuna sehemu sehemu yoyote inayosema UKRISTO ni DINI. Kwani hata ukisoma katiba inasema wazi kuwa Tanzania ni nchi na nikisoma Katiba ya Znz inasema Znz ni nchi na hivyo kuitofautisha na mkoa ama wilaya.

Qur'an imenena uislam ni Dini na nimekupa andiko vile vile kutoka kwene bible kuonyesha Uyahudi ni Dini. sasa vp Ukristo?

Tuanzie hapo kabla kurudi kumjadili pengo na kauli zake
 
Hao ndio waichilamu bana!! Mnajua jamani madarasa yaliwekwa ili watu wasome wafute ujinga. Sasa kama utayaangalia madarasa kama mama mkwe ndo utajikuta unatukana badala ya kujadili hoja, unajadili watu badala ya kujadili hoja. Yaani ukisoma hii thead mwanzo mwisho utagundua wanaotuangusha (Watanzania) ni kina nani na ni kwasababu gani. Tujadili hoja kwa kuzingatia matakwa ya utawala bora ya Transparency and Openness otherwise kama umechoka si lazima kuandika upuuzi wako humu ambao hata wenye akili na elimu ya kutosha ambao ni wa imani yako wanakushangaa.
hapa mimi naona tatizo la wale wote wanotetea kauli ya Pengo ni wale waliopitia Sunday school na wao kwa sababu walikatazwa kudadisi na hata kuuliza kwani kwa kufanya hivyo wanakuwa hawana roho mtakatifu.

lakini kwa mtu yoyote aliyekwenda shule na kuelimika lazima utatilia mashaka kauli ya Pengo. Kwani yeye si muhusika kabisaaaaaaa ila tu anapenda kudandia mambo kwa kutaka umaarufu kama sio mfadhili mkuu.
 
nyinyi watu kwa kweli mnachosha sana.....sasa hiyo link hapo juu ndiyo nini? mada inasema 'Pengo amtolea uvivu kikwete'!
angalia links nilizoziiweka hapo chini....je ni halali kusema jumuiya yote ya waislam inajihusisha na huo uchafu ambao uko kwenye hizo links kwa sababu al shaabab na al qaeda wanajihusisha na huo uchafu?? tubaki kwenye mada!

Drug trafficking, kidnapping fund al Qaeda « Drug Busts Worlwide
Opium production in Afghanistan - Wikipedia, the free encyclopedia
Al Qaeda and Opium | The Canyon - Malibu, California
Holy War - Al Qaeda's Luton & Dunstable War front: Heroin: The Golden Sword of Jihad
Piracy ransoms funding Somalia insurgency | Reuters

HIYO AL QAIDA UNAFIKIRI NI NANI KAIANZISHA

Ex-Congressman: U.S. Government Created Al-Qaeda, Involved In 9/11Author of San Francisco Chronicle piece warning of internment camps says government bombed its own citizens

Paul Joseph Watson
Prison Planet
Friday, February 22nd, 2008

A former Congressman says that the U.S. government created Al-Qaeda and was involved in bombing its own citizens on 9/11, telling a national radio show that elements of the Bush administration assisted the attacks on the WTC and the Pentagon.
Daniel Hamburg is a former Democratic Congressman who was elected to the 1st Congressional District of California in 1992 and also subsequently ran for Governor of California, finishing in 3rd place

SOMA NA HII

BBC's killer documentary called "The Power of Nightmares". Top CIA officials openly admit, Al-qaeda is a total and complete fabrication, never having existed at any time.

The Bush administration needed a reason that complied with the Laws so they could go after "the bad guy of their choice" namely laws that had been set in place to protect us from mobs and "criminal organizations" such as the Mafia. They paid Jamal al Fadl, hundreds of thousands of dollars to back the U.S. Government's story of Al-qaeda, a "group" or criminal organization they could "legally" go after. This video documentary is off the hook…
 
nami namshukuru sana mungu kwa kutonipeleka Sunday school kwani huko nisingeruhusiwa kuuliza masuala yaliyoenda shule kama hili kwani ningeuliza tu ningeambiwa SINA ROHO MTAKATIFU.

Suala langu linarudi pale pale Je kuna sehemu sehemu yoyote inayosema UKRISTO ni DINI. Kwani hata ukisoma katiba inasema wazi kuwa Tanzania ni nchi na nikisoma Katiba ya Znz inasema Znz ni nchi na hivyo kuitofautisha na mkoa ama wilaya.

Qur'an imenena uislam ni Dini na nimekupa andiko vile vile kuonesha Uyahudi ni Dini. sasa vp Ukristo?

Tuanzie hapo kabla kurudi kumjadili pengo na kauli zake
hapo kwenye bold anzisha thread yake !
hauwezi kuanza kumjadili Pengo bila kujadili kauli ya Kikwete aliyoitoa kwa viongozi wa dini! Ni kauli ya kikwete ndiyo imesababisha Pengo atoe kauli yake! Sasa swali...kama Kikwete anajawajua ..kwa nini asiwataje wakachukuliwa hatua? Kikwete alisema viongozi wa dini wanajihusisha na madawa ya kulevya.......sasa wewe hebu niambie ..unafikiri kikwete alikuwa anamaanisha dini zipi? au kwa uelewa wako kuna dini za aina ngapii hapa tanzania?
 
Back
Top Bottom