Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 364
Yaani jinsi avator yako ilivyo kaa kaa kinafiki nadhani inasadifu jinsi ulivyo...!Kwani ni lazima awataje yeye rais, Pengo kwa kuwa ni kiongozi wa hao viongozi wa dini kwa nini asiwataje maana na yeye anawajua, huku mtaani tunawajua.