Pengo amtolea uvivu Kikwete

Haya sasa tunasubiri tamko toka BAKWATA. Tuone upande wa pili nao wanasemaje kuhusu jambo hili.?
kaka puuu hapa umenena..hata mimi nitashangaa sana kama viongozi wetu wa bakwata wasipokoment kwa kauli hii chafu
inayowaweka wateule wote wa dini kuhisiwa kuwa si waadilifu...tena ningependa kama watatoa tamko kabla mheshimiwa hajataja
majina ili tusijeonekana kama vile tulimshauri...au sisi waislam hatujahusishwa na uchafu huu...!!!!!!!.

Mwadhama Policarp Kadinali Pengo

JK msaliti - Pengo

• ATAKA AWE NA UJASIRI WA MWANAMKE MJAMZITO

KWA mara nyingine, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ameonyesha kukerwa na kauli ya kufumbafumba aliyoitoa Rais Kikwete akiwahusisha viongozi wa dini na biashara ya dawa za kulevya. Baada ya kufanya hivyo katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Kardinali Pengo alirejea tena wito wake jana, akimtaka Rais Kikwete kuwataja hadharani viongozi wa dini ambao aliwatuhumu kujihusisha na biashara hiyo. Tofauti na ilivyokuwa wakati alipozungumza kwa mara ya kwanza, katika kauli yake ya jana, Pengo alikifananisha kitendo cha Rais Kikwete kushindwa kuwataja kwa majina viongozi wa kiimani anaowashutumu na usaliti.

"Kiongozi mwenye uchungu na mzalendo kwa taifa hana budi kutaja majina ya watu wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali kwa masilahi ya taifa na wananchi kwa ujumla… yeye kushindwa kufanya hivyo ni msaliti wa nchi," alisema. Kiongozi wa nchi wa kweli haoni haya kutaja mafisadi, au wala rushwa hadharani. Endapo anaona haya kuwataja ni msaliti ndani ya nchi yake," alisema Pengo.

Pengo alikwenda mbali zaidi na akamfananisha kiongozi mwenye uzalendo na nchi kuwa sawa na mwanamke mjamzito anayeshikwa na uchungu wa kuzaa wakati akiwa mbele ya nyoka mwekundu. Alisema kuwa mwanamke wa namna hiyo huendelea na uzazi pasipo kujali au kuhofia hatari ya nyoka aliyeko mbele yake. Pengo alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa akizungumza katika ibada maalumu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme, Tabata jijini Dar es Salaam jana. Kardinali Pengo, mmoja wa viongozi wa dini wanaoheshimika, alisema kitendo cha Kikwete kutoa tuhuma hizo nzito wakati akiwa katika shughuli ya Wakatoliki kinaweza kutafsiriwa kuwa alikuwa akiwalenga wao ambao walikuwapo katika hafla hiyo.

Rais Kikwete alitoa tuhuma hizo ambazo zimeibua manung'uniko ya wazi kutoka kwa viongozi wa Kikristo wakati wa ibada maalumu ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo. "Rais Kikwete hakupaswa kutumia jukwaa la Wakatoliki kutoa kauli hiyo. Angeweza kutumia sehemu nyingine ili tuliokuwepo tusijione kuwa walengwa wa ujumbe," alisema Kardinali Pengo.

Pengo anakuwa ni kiongozi wa pili wa juu wa Kikristo kutoa kauli hiyo kali, baada ya Umoja wa Maaskofu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania, (CCT) kumpa Rais Kikwete saa 48 za kuwataja kwa majina viongozi wanaotuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya. Tamko hilo la maaskofu wa CCT ambalo hata hivyo halikujibiwa na Kikwete hadharani zaidi ya majibu yasiyo na majina kutolewa na viongozi wengine, lilisomwa mbele ya wanahabari mwanzoni mwa mwezi Julai na Mwenyekiti wao, Askofu Peter Kitula. "Tunampa saa 48 rais awataje kwa majina viongozi hao ambao yeye anadai wanajihusisha kuuza dawa za kulevya na kama atashindwa kufanya hivyo tutatafsiri kuwa ni kiongozi mwongo na mzushi. "Tunasikitishwa na kushangazwa kwa kauli hiyo na tunamheshimu kama kiongozi wa nchi, hivyo tunampa muda huo (saa 48) awataje kwa majina," alisema Askofu Kitula.

Akiwa Mbinga wakati wa sherehe hizo za kuwekwa wakfu kwa askofu mpya, Rais Kikwete alieleza kusitikitishwa na hatua ya viongozi wa kidini kujihusisha na biashara hiyo ya dawa za kulevya. "Inasikitisha sana na kutisha biashara hii haramu sasa inawavutia hata watumishi wa Mungu. Taifa letu litaharibika tusipokuwa makini katika hili, baadhi yenu tumewakamata. "Kwa kauli zenu kemeeni jambo hili kwa kuelimisha jamii hususan vijana waweze kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya," alisema Kikwete pasipo kufafanua.

Tanzania Daima

Kikwete aangalie sana, anaweza kuleta michafuko ya kidini kwa kauli zake. Atoe ushahidi sio kuongea tu.

Nafikiri ukichukulia Kauli ya Rais wenu Kikwete ni kuwatuhumu kuwa viongozi wa Dini ......

Sasa ili mtu alalame ni lazima a fall kwenye category ya DINI. Kwani ukisoma kwenye Quran 3:103-104 zimesema wazi kuwa Uislam ni DINI. sasa nauliza upande wa pili je kuna andiko lolote ndani ya Bible linalonena wazi wazi kuwa Ukristo ni DINI.

Na Uyahudi ni dini soma
[SUP]Matendo 2:9-10.[/SUP]
[SUP]9[/SUP]Hapa kuna Waparthi, Wamedi, Waelami, wakazi wa Mesopotamia, Yudea Kapadokia, Ponto na Asia, [SUP]10[/SUP]Frigia, Pom filia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene; na wageni kutoka Rumi, Wayahudi na watu walioingia dini ya Kiyahudi

Suala langu je Ukristo ni Dini. naomba andiko kuthibitisha hilo .
Ili sasa tujue malalamiko ya Pengo
....wewe acha upupu wewe au una mtindio wa udini..!!!!...Elewa kwanza unachotakiwa kuchangia hapa ni nini..
alafu pia ufikiri kidogo kabla hujaanza kutapika huo utumbo na uchafu wake....get this into your thick heard...

tufanye kama sudan yaani tugawae
kisha tuandamane kikabila huko kwenye vinchi tulivyogawana ili tugawane tena

Hahaha....mimi nitabadili kabila faster niwe msukuma, maana jamaa wapo kibao siku kikinuka lazima watashinda.

Nafikiri ukichukulia Kauli ya Rais wenu Kikwete ni kuwatuhumu kuwa viongozi wa Dini ......

Sasa ili mtu alalame ni lazima a fall kwenye category ya DINI. Kwani ukisoma kwenye Quran 3:103-104 zimesema wazi kuwa Uislam ni DINI. sasa nauliza upande wa pili je kuna andiko lolote ndani ya Bible linalonena wazi wazi kuwa Ukristo ni DINI.

Na Uyahudi ni dini soma
[SUP]Matendo 2:9-10.[/SUP]
[SUP]9[/SUP]Hapa kuna Waparthi, Wamedi, Waelami, wakazi wa Mesopotamia, Yudea Kapadokia, Ponto na Asia, [SUP]10[/SUP]Frigia, Pom filia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene; na wageni kutoka Rumi, Wayahudi na watu walioingia dini ya Kiyahudi

Suala langu je Ukristo ni Dini. naomba andiko kuthibitisha hilo .
Ili sasa tujue malalamiko ya Pengo

Kweli nyinyi ni mapepo/majini tu! Sasa Kikwete alipowatuhumu viongozi wa dini kujihusisha na madawa ya kulevya alikuwa na maana ya viongozi wa dini gani?
wewe unasema ukristo siyo dini......sasa je Kikwete alikuwa anawaambia viongozi wa dini ya kiislam tu kuwa wanajihusisha na madawa ya kulevya? maana uislam ndiyo dini halali peke yake kwa mtazamo wako!
haisaidii kitu...wala haitabadilisha kitu ...tumeshazoea kuwasikia kwenye mihadhara yenu mkisema vitu kama hivyo.....mi naona mnazidi kuishushia hadhi dini yenu!

....wewe acha upupu wewe au una mtindio wa udini..!!!!...Elewa kwanza unachotakiwa kuchangia hapa ni nini..
alafu pia ufikiri kidogo kabla hujaanza kutapika huo utumbo na uchafu wake....get this into your thick heard...

kama haijamgusa Pengo sasa analalama nini. ndio maana nilivyo makini nataka kujua kauli ya Rais na majibu ya pengo.

Au tujiulize pilipili inaliwa shamba , pengo inamuwashia nini? Au ni muhusika mkuu au mfadhili mkuu wa dili?

Tanzania inataka viongozi thabiti kama hawa siyo Mkuu anakwenda kwao na maneno ya kusadikika,angesema ukweli,mbona Nyerere alikuwa anaongea wazi wala haogopi mtu.

kama haijamgusa Pengo sasa analalama nini. ndio maana nilivyo makini nataka kujua kauli ya Rais na majibu ya pengo.

Au tujiulize pilipili inaliwa shamba , pengo inamuwashia nini? Au ni muhusika mkuu au mfadhili mkuu wa dili?

You are a classic example ****** and people who believe in what you believe

Kwani ni lazima awataje yeye rais, Pengo kwa kuwa ni kiongozi wa hao viongozi wa dini kwa nini asiwataje maana na yeye anawajua, huku mtaani tunawajua.

Sasa kama Rais anawafahamu kwa nini asiwataje mwenyewe? Actually alitakiwa awakamate badala ya kuwataja!! Halafu na wewe unayejidai unawajua mbona unashindwa kuwataja pamoja na kutumia jina la badia humu!!!

kama haijamgusa Pengo sasa analalama nini. ndio maana nilivyo makini nataka kujua kauli ya Rais na majibu ya pengo.

Au tujiulize pilipili inaliwa shamba , pengo inamuwashia nini? Au ni muhusika mkuu au mfadhili mkuu wa dili?
mmmhh...sikulaumu tena nimekumbuka kuwa sio kosa lako bali ni la wazazi wetu kwa kutupeleka madrasa badala ya
shuleni...hivi uliwezaje kuingia humu...kwani ni kipi ambacho huelewi mpaka uandike offpoint kiasi hiki...!!!!!..au basi soma
alichokujibu sweke34..LABDA UTAELEWA KIDOGO..hapa juu,,

kama haijamgusa Pengo sasa analalama nini. ndio maana nilivyo makini nataka kujua kauli ya Rais na majibu ya pengo.

Au tujiulize pilipili inaliwa shamba , pengo inamuwashia nini? Au ni muhusika mkuu au mfadhili mkuu wa dili?
hii kitu wazungu wanaiita Insanity! Rais JK anaficha majina ya wahusika na madawa ya kulevya ambayo anasema anawajua...! Pengo anamuomba awataje..ili .wachukuliwe hatua ..maana ndiyo haki.. halafu wewe unasema Pengo ndo anahusika na dili? Kwa akili nyepesi tu...yule mtu anayekumbatia majina ya wanaohusika na madawa ya kulevya bila kuwakuchukulia hatua yeyote na yule mtu ambaye anataka hao wahusika watajwe ili wachukuliwe hatua ni nani kati ya hao wawili anayeonekana ni mhusika mkuu au mfadhili mkuu wa dili? nyinyi watu shule inawasumbua sana!

Pengo (mwanya) aache unafiki...mwanamke mjamzito yupi anaemjua? kwani yeye ameshawahi kumpa mwanamke ujauzito?... mtu mwenyewe sijui bw..b.wa. Aaache kuchafua shuka usiku.

acha pumba!

Ili kumaliza hili tatizo ni lazima raisi awe wazi wahusika wajulikane na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Raisi anazifahamu Sheria za Nchi kama kuna watu wanuza madawa ya kulevya kwanini sheria isichukue mkondo wake?
Wafikishwe kwenye vyombo vya sheria mara ngapi? Tusome taarifa za alichosema Rais, Rais alisema "baadhi yenu tumewakamata."

Pengo(7).jpg

Mwadhama Policarp Kadinali Pengo

JK msaliti - Pengo

• ATAKA AWE NA UJASIRI WA MWANAMKE MJAMZITO

KWA mara nyingine, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ameonyesha kukerwa na kauli ya kufumbafumba aliyoitoa Rais Kikwete akiwahusisha viongozi wa dini na biashara ya dawa za kulevya. Baada ya kufanya hivyo katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Kardinali Pengo alirejea tena wito wake jana, akimtaka Rais Kikwete kuwataja hadharani viongozi wa dini ambao aliwatuhumu kujihusisha na biashara hiyo. Tofauti na ilivyokuwa wakati alipozungumza kwa mara ya kwanza, katika kauli yake ya jana, Pengo alikifananisha kitendo cha Rais Kikwete kushindwa kuwataja kwa majina viongozi wa kiimani anaowashutumu na usaliti.

"Kiongozi mwenye uchungu na mzalendo kwa taifa hana budi kutaja majina ya watu wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali kwa masilahi ya taifa na wananchi kwa ujumla… yeye kushindwa kufanya hivyo ni msaliti wa nchi," alisema. Kiongozi wa nchi wa kweli haoni haya kutaja mafisadi, au wala rushwa hadharani. Endapo anaona haya kuwataja ni msaliti ndani ya nchi yake," alisema Pengo.

Pengo alikwenda mbali zaidi na akamfananisha kiongozi mwenye uzalendo na nchi kuwa sawa na mwanamke mjamzito anayeshikwa na uchungu wa kuzaa wakati akiwa mbele ya nyoka mwekundu. Alisema kuwa mwanamke wa namna hiyo huendelea na uzazi pasipo kujali au kuhofia hatari ya nyoka aliyeko mbele yake. Pengo alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa akizungumza katika ibada maalumu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme, Tabata jijini Dar es Salaam jana. Kardinali Pengo, mmoja wa viongozi wa dini wanaoheshimika, alisema kitendo cha Kikwete kutoa tuhuma hizo nzito wakati akiwa katika shughuli ya Wakatoliki kinaweza kutafsiriwa kuwa alikuwa akiwalenga wao ambao walikuwapo katika hafla hiyo.

Rais Kikwete alitoa tuhuma hizo ambazo zimeibua manung'uniko ya wazi kutoka kwa viongozi wa Kikristo wakati wa ibada maalumu ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo. "Rais Kikwete hakupaswa kutumia jukwaa la Wakatoliki kutoa kauli hiyo. Angeweza kutumia sehemu nyingine ili tuliokuwepo tusijione kuwa walengwa wa ujumbe," alisema Kardinali Pengo.

Pengo anakuwa ni kiongozi wa pili wa juu wa Kikristo kutoa kauli hiyo kali, baada ya Umoja wa Maaskofu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania, (CCT) kumpa Rais Kikwete saa 48 za kuwataja kwa majina viongozi wanaotuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya. Tamko hilo la maaskofu wa CCT ambalo hata hivyo halikujibiwa na Kikwete hadharani zaidi ya majibu yasiyo na majina kutolewa na viongozi wengine, lilisomwa mbele ya wanahabari mwanzoni mwa mwezi Julai na Mwenyekiti wao, Askofu Peter Kitula. "Tunampa saa 48 rais awataje kwa majina viongozi hao ambao yeye anadai wanajihusisha kuuza dawa za kulevya na kama atashindwa kufanya hivyo tutatafsiri kuwa ni kiongozi mwongo na mzushi. "Tunasikitishwa na kushangazwa kwa kauli hiyo na tunamheshimu kama kiongozi wa nchi, hivyo tunampa muda huo (saa 48) awataje kwa majina," alisema Askofu Kitula.

Akiwa Mbinga wakati wa sherehe hizo za kuwekwa wakfu kwa askofu mpya, Rais Kikwete alieleza kusitikitishwa na hatua ya viongozi wa kidini kujihusisha na biashara hiyo ya dawa za kulevya. "Inasikitisha sana na kutisha biashara hii haramu sasa inawavutia hata watumishi wa Mungu. Taifa letu litaharibika tusipokuwa makini katika hili, baadhi yenu tumewakamata. "Kwa kauli zenu kemeeni jambo hili kwa kuelimisha jamii hususan vijana waweze kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya," alisema Kikwete pasipo kufafanua.

Tanzania Daima

hii kitu wazungu wanaiita Insanity! Rais JK anaficha majina ya wahusika na madawa ya kulevya ambayo anasema anawajua...! Pengo anamuomba awataje..ili .wachukuliwe hatua ..maana ndiyo haki.. halafu wewe unasema Pengo ndo anahusika na dili? Kwa akili nyepesi tu...yule mtu anayekumbatia majina ya wanaohusika na madawa ya kulevya bila kuwakuchukulia hatua yeyote na yule mtu ambaye anataka hao wahusika watajwe ili wachukuliwe hatua ni nani kati ya hao wawili anayeonekana ni mhusika mkuu au mfadhili mkuu wa dili? nyinyi watu shule inawasumbua sana!
Sasa wewe msomi uchwara Akili yoke yote imejaa Pushkin whisky!
Eti wazungu wanaita Insanity huyu msomi uchwara anadhani wazungu wote wanaongea Kingereza!
Hizi nchi ni za wazungu, Belgium, Germany, France, Russia, Portugal, Poland, Netherlands, kwa uchache tu nimekutajia hawa Insanity hawajui ni nini. Teh teh teh teh

Pengo kanipa mashaka kidogo kasema anataka JK awe na ujasiri wa mwanamke mjamzito.
Pengo kajuaje kama mwanamke mjamzito ni jasiri wakati ana Mke wala mtoto?

Nyie watu ndo mana tunawaambia hamna hata kigodo..ww umejuaje kama wajerumani hawajui neno insanity, umejuaje kama akili ya mtu ikijaa whisky inakuwaje? Anayejua uchungu wa kujifungua ni mwanamke mwenyewe aliyewahi kujifungua, waliobakia wote wanahadithiwa au wanasoma .

Pengo kanipa mashaka kidogo kasema anataka JK awe na ujasiri wa mwanamke mjamzito.
Pengo kajuaje kama mwanamke mjamzito ni jasiri wakati ana Mke wala mtoto?

Ujauzito wa mwanamke ni jambo la kiasili sana ni matokeo ya mahusiano yanayopelekea kuzaliwakwa kiumbe kipya, ambacho ni mwanzo au muendelezo wa kukua kwa taasisi familia, taaisisi ambayo ni muhimu katika ustawi wa jamii yoyote kama itatunzwa na kulelewa katika maadili mema.
Ni jamii na familia ambayo viongozi hawa wa dini wanatarajiwa kuotesha mafunzo na mbegu za uadilifu. Hivyo katika kuifahamu unapaswa kufahamu namna mimba inavyotungwa, na utalijua hilo kwamsaada wa sayansi, na hatua mama mjazito na ujasiri wake utalifahamu tu kwa kuwa wewe ni sehemu ya jamii.
Na ufahamu wa huo juu ya mama mjamzito haukwepeki kwasababu halihitaji elimu ya darasani, bali unahitajika kuwa sehemu ya jamii tu.
Ni urithi usiokwepeka.

Back
Top Bottom