Ni lazima kuwaweka wazi hawa, ni wauza Madawa wakubwa na 40 ZAO ZIMEFIKA. sAFARI HII MAPAMBANO YATAANZIA Kanisani. Huwezi kurtumia Biblia kuuza madawa ya kulevya.
-----------------------
Exactly tunachokitaka sisi wakatoliki! Awaweke wazi...umesema mwenyewe kwa maneno yako..! Na sisi tunataka afanye hivyo ..siyo anakuja kwenye ibada yetu halafu anasema baadhi yenu tumewakamata mnajihusisha na madawa ya kulevya lakini mwisho wa siku inakuja kujulikana aliyekamatwa ni mchungaji wa kanisa la kijiweni waki Nigeria! Naona sasa tumefikia pazuri maana naona na baadhi ya waislam mnmtaka kikwete awaweke wazi hao watu! Tunamkaribisha sana aanzie kanisani kuwaweka wazi na kuwashughulikia hao watu akimaliza aendeleze zoezi lake sehemu nyingine....! Kikwete awe na ujasiri wa mwanamke mjamzito..period!
kaka una swaumu kali? hebu niambie pengo atajisafishaje kwa hilo kabla ya kuumbuliwa?? Hii si issue ya kuumbuana...ni issue ya kuwataja,kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaohusika na mdawa ya kulevya! Sasa hayo mambo ya kutoa tahadhari ndo pengo hayataki....ndiyo maana anasema JK awe na ujasiri wa mwanamke mjamzito!Mbona ameshaweka mambo wazi ndio maana Pengo anajikanyaga.
Sasa ni wajibu wa Pengo na wenzake kujisafisha kwa hilo kabla kuumbuliwa.
Kwani Rai ametumia njia ya kiungwana kufikisha ujumbe. Ni kama vile polisi wanapotoa hadhali kuwa wenye silaha wote zisizo halali wazisalimishe polisi na kutakuwa hakuna kesi lakini wakija na kukukamata nayo basi watakuchukulia kama mwalifu.
Hongera Kikwete
kaka una swaumu kali? hebu niambie pengo atajisafishaje kwa hilo kabla ya kuumbuliwa?? Hii si issue ya kuumbuana...ni issue ya kuwataja,kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaohusika na mdawa ya kulevya! Sasa hayo mambo ya kutoa tahadhari ndo pengo hayataki....ndiyo maana anasema JK awe na ujasiri wa mwanamke mjamzito!
Wizi mkubwa mkubwa a.k.a ufisadi ndio uliomwingiza Jk madarakani na akilifahamu hilo aliamua kuvunja sheria za nchi kwa kuwapa fursa wezi kurudisha na kuungama kwake kisiri kukwepa kuchukuliwa hatua za kisheria. Hili kila mwenye akili timamu anafahamu ujanja huu ulitumiwa kwa sababu ni ukweli usiopingika kwamba pesa ya kagoda ni sehemu ya pesa chafu zilizoiingiza ccm madarakani hasa mgombea urais. Kwa hili nalo la madawa ya kulevya tuseme labda nalo ni la mazingira kama ya ufisadi wa epa? Hata walengwa kupewa fursa ya kuungama kisiri kinyume na sheria za nchi? Kama mkulu alikuwa anafahamu hivyo kulikuwa hakuna sababu ya kulitumia hilo kama fimbo ya kisiasa dhidi ya mahasimu wake katoliki. Ona sasa linavyomgharimu, kutakiwa awataje ama kuwakamata huku dhamira yake ikimsuta kwamba kufanya hivyo ni kuhatarisha zaidi ama yeye binafsi au washiriki wake wa karibu wa harakati za kuingia ikulu.
Jambo hili linanikumbusha kauli aliyowahi kutoa mwalimu siku za nyuma kwamba 'kuna watu wanaotaka kuingia ikulu kwa pesa za bangi'
.
Wako juu ya sheria wao? mbona vibaka wadogo hawapewi muda? Ni jela tu!!pamoja na yote uliyoandika. sasa ni ipindi muafaka pengo na wenzake kama wapo wajisafishe kabla mkono wa sheria kuwafikia. habari ndio hiyo.
<br /><br />pamoja na yote uliyoandika. sasa ni ipindi muafaka pengo na wenzake kama wapo wajisafishe kabla mkono wa sheria kuwafikia. habari ndio hiyo.
BuruBuru siku zote nakuona una akili etc etc, lakini kusemwa mtu wa dini yako au anayejifanya ni dini yako basi ustaarabu na werevu wako wote umekuruka? au umepitiwa?Nafikiri unahitaji usome lama za nyakati. Rais ni mkuu wa nchi na anaweza kutumia njia yoyote ile kufikisha ujumbe kwa jamii au wananchi wake. Sasa hapo JK ameamua kutumia njia ya kistaharabu ya kutoa hadhari. sasa nashangaa Pengo ana wasi wasi gani kama yeye na wenzake kanisani ni safi sasa anapapatika nini?
ndio tunasema bila shaka amejihisi sasa anataka kujikosha kwa jamii. kama haimuhusu inamshughulisha nini?
Au pilipili yaliwa shamba yeye inamuwashia nini?
BuruBuru siku zote nakuona una akili etc etc, lakini kusemwa mtu wa dini yako au anayejifanya ni dini yako basi ustaarabu na werevu wako wote umekuruka? au umepitiwa?
suala la msingi ni kwamba Raisi wa nchi mwenye nafasi nyingi za kutoa ujumbe kama hotuba za mwisho wa mwezi, shughuli nyingine za kitaifa nk nk ameshindwa kutoa ujumbe huo katika nafasi hizo? na kama tatizo ni hao wakatoliki kama yeye ana ujasiri.wa mamlaka ya uraisi ...... mbona ameshindwa kuwataja? muhula wa kwanza hadithi ilikuwa hiyo hiyo, muhala wa pili unaongelea makanisa sijui madogo madogo kwa mgongo wa kanisa au dhehebu kubwa nia yako nini hasa? kuongoza watu au kuleta mfarakano? leo hii mtu asiye dini yako aongele mapungufu ya dini nyingine itakuwaje? kama sio hukumu ya kifo inayotolewa kwa hasira kwa baadhi yetu? bila kufuata ukweli wa mambo? je jk orijinale aliwahi kushutumu dini isiyo yake ? licha ya kuwa kiongozi wa nchi kwa miongo miwili? mimi mwenyewe kwa ustaarabu tuliofundishwa wakati wa orijino tulikuwa na tuna chinja kuku, ili kiwe tunu kwa marafiki zangu, majirani zangi nk nk, iweje ili jirani akija siku ya noeli au pasaka ajione nyumbani na anakaribishwa, sasa leo hii baada ya kuishi vizuri miaka yote hiyo tunaona fahari ya kuutukuza udini? leo hii uta watenga wakatoliki, kesho walutheri, kesho kutwa wasabato, na siku za mbeleni kakobe. lwakatare, mwingira nk nk, baada ya hapo watabaki sunni, shite , kojani, bohora, agha khan nk nk itakuwaje?
nafikiri wewe burabura ni mtu muelewa ukipingana na mwenz\io pingana kwa kitu cha haki nk nk