Watu kama Muadhama Pengo; ni viongozi wa dini ambao hawawezi kuwa kama Paulo! au hata kina Askofu Mkuu Oscar Romero.. wanavutia lakini.
Most rev. Archbishop Romero alikuwa assasnated akiendesha misa,siku moja baada ya kuiambia serikali Yake ya el salvador (sawa na ya mkwwere) kuheshimu haki za watu,majeshi yaache kuua,kama ilivyo hapa,pia alikemea bila kuremba ufisadi na uhuni kama ufanyikavyo leo. Alikuwa hamung'i maneno. So MMj alimaanisha hivyo..hope umeipata..Umepita juu sana Mkuu MM, hebu sema neno moja tu.........ili mjadala huu unoge!
Hujui unachosema ww,unashabikia umasikini wako wa fikra.nwe pia ni msaliti''Kuna walioandaa wagombea wao, na taasisi zao ambazo ni taasis za heshima zikagharamia uchapishaji wa majarida, wakaandaa semina, makongamano, na kufanya kampeni kwenye kila ibada. Lakini hawakufanikiwa kupenyeza mtu wao kwenye nafasi walioitaka, sasa hii tunayoishuhudia ni kuchanganyikiwa kwao na ndio maana nilieleza kule Dodoma wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM kuwa, kuna baadhi yetu bado wamenuna na matokeo ya uchaguzi. Kwa bahati mbaya hata wakiendelea kununa, rais wa nchi hii ataendelea kuwa yule yule, hakuna mwingine, na shida zao watakuja kuniambia mimi hawana pakwenda.'' Huu ndio ujasiri wake Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne, Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Ofisi ya RAIS ni kielelezo cha utaifa wa Tanzania. Ni vyema viongozi wa kidini kama Mhashamu Pengo akaiheshimu hii ofisi kwa sababu ni kilelezo cha utaifa wa Tanzania, taifa isiyofungamana na dini yoyote.
Lugha inayotumiwa na viongozi wa kidini wa Tanzania ni lugha kali na ni lugha inayobeza utaifa wetu. Sijawahi kumsikia Baba Mtakatifu akitoa lugha kali dhidi ya kiongozi yoyote duniani kama zinazotolewa na baadhi ya viongozi wetu wa kidini hapa Tanzania.
Hii lugha haikuwepo kabisa wakati wa Urais wa Baba wa Taifa. Endapo viongozi wa kidini hawampendi Jakaya Mrisho Kikwete kama mwananchi angalau tuiheshimu OFISI YA RAIS ambayo ni kielelezo cha utaifa wetu. Ingawa tunawaheshimu sana viongozi wa kidini, tukumbuke kuwa sisi wengine hatujui ni nani kawachagua VIONGOZI WA KIDINI kuongoza taasisi zao na vigezo vilivyotumika kuwachagua.
RAIS wa JAMHURI yetu tulimchagua na tunajua utaratibu uliotumika kumpata RAIS. Tusitumie majukwa ya kidini kubeza UTAIFA wetu. RAIS, BUNGE na MAHAKAMA ni VIELELEZO VYA UTAIFA WETU UNAOTIMIZA MIAKA 50.
Nilishtushwa sana jana Gazeti la TANZANIA DAIMA la tarehe 14 AGOSTI 2011 lilimuita Rais MSALITI. Hii ni lugha iliyojaa hasira dhidi ya Rais kama kielelezo cha utaifa wetu. Huu sio Uhuru wa Habari. Ni UHURU ULIOPINDUKIA MIPAKA. Lugha hii haitumiki hata hizo nchi kama Uingereza ambazo wengi tunadhani kuwa zina UHURU wa HABARI wa KUPINDUKIA. Hata Uingereza machafuko ya Juzi yamefanya waangalie upya UHURU wa HABARI upya na kuangalia mapungufu yanayochochea uvunjifu wa Amani kupitia. Na Maandamano YANAYOPINDUKIA MIPAKA ndio yanafanya watu wengine WAJENGE HOJA za kurudisha nyuma HAKI ZA KUKUTANA na kushirikiana na wengine zilizopatikana kwa taabu tangu mwaka 1992.
Matumizi mabaya ya UHURU hurudisha nyuma mazuri yaliyopatikana.
VIONGOZI WA KIDINI WAKUMBUKE KUWA TANZANIA NI SECULAR STATE NA KWA MATAMHI YAO WATUSAIDIE ILI TUENDELEE KUMHESHIMU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BILA KUJALI YEYE NI WA DINI YAKE.
Most rev. Archbishop Romero alikuwa assasnated akiendesha misa,siku moja baada ya kuiambia serikali Yake ya el salvador (sawa na ya mkwwere) kuheshimu haki za watu,majeshi yaache kuua,kama ilivyo hapa,pia alikemea bila kuremba ufisadi na uhuni kama ufanyikavyo leo. Alikuwa hamung'i maneno. So MMj alimaanisha hivyo..hope umeipata..
Tena anamwita Rais Msaliti wakati wao ndo walimsaliti Yesu. PILATO si ndo hao warumi...Kayafa...Agustus etc. Isitoshe sasa wanawasaliti watu kwa kuwasalisha bikira maria aliyewaambia MSINILILIE MIMI JILILIENI NAFSI ZENU NA WATOTO WENU. Wagonga pombe tu hawa hawana lolote...Ofisi ya RAIS ni kielelezo cha utaifa wa Tanzania. Ni vyema viongozi wa kidini kama Mhashamu Pengo akaiheshimu hii ofisi kwa sababu ni kilelezo cha utaifa wa Tanzania, taifa isiyofungamana na dini yoyote.
Lugha inayotumiwa na viongozi wa kidini wa Tanzania ni lugha kali na ni lugha inayobeza utaifa wetu. Sijawahi kumsikia Baba Mtakatifu akitoa lugha kali dhidi ya kiongozi yoyote duniani kama zinazotolewa na baadhi ya viongozi wetu wa kidini hapa Tanzania.
Hii lugha haikuwepo kabisa wakati wa Urais wa Baba wa Taifa. Endapo viongozi wa kidini hawampendi Jakaya Mrisho Kikwete kama mwananchi angalau tuiheshimu OFISI YA RAIS ambayo ni kielelezo cha utaifa wetu. Ingawa tunawaheshimu sana viongozi wa kidini, tukumbuke kuwa sisi wengine hatujui ni nani kawachagua VIONGOZI WA KIDINI kuongoza taasisi zao na vigezo vilivyotumika kuwachagua.
RAIS wa JAMHURI yetu tulimchagua na tunajua utaratibu uliotumika kumpata RAIS. Tusitumie majukwa ya kidini kubeza UTAIFA wetu. RAIS, BUNGE na MAHAKAMA ni VIELELEZO VYA UTAIFA WETU UNAOTIMIZA MIAKA 50.
Nilishtushwa sana jana Gazeti la TANZANIA DAIMA la tarehe 14 AGOSTI 2011 lilimuita Rais MSALITI. Hii ni lugha iliyojaa hasira dhidi ya Rais kama kielelezo cha utaifa wetu. Huu sio Uhuru wa Habari. Ni UHURU ULIOPINDUKIA MIPAKA. Lugha hii haitumiki hata hizo nchi kama Uingereza ambazo wengi tunadhani kuwa zina UHURU wa HABARI wa KUPINDUKIA. Hata Uingereza machafuko ya Juzi yamefanya waangalie upya UHURU wa HABARI upya na kuangalia mapungufu yanayochochea uvunjifu wa Amani kupitia. Na Maandamano YANAYOPINDUKIA MIPAKA ndio yanafanya watu wengine WAJENGE HOJA za kurudisha nyuma HAKI ZA KUKUTANA na kushirikiana na wengine zilizopatikana kwa taabu tangu mwaka 1992.
Matumizi mabaya ya UHURU hurudisha nyuma mazuri yaliyopatikana.
VIONGOZI WA KIDINI WAKUMBUKE KUWA TANZANIA NI SECULAR STATE NA KWA MATAMHI YAO WATUSAIDIE ILI TUENDELEE KUMHESHIMU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BILA KUJALI YEYE NI WA DINI YAKE.
Sioni ajabu kwa mropokaji kumtetea mropokaji mwenzake,kama uliye andika ni mkristo unasababu ya kwenda kuulizia historia ya kanisa lako huenda ni yale Makanisa yanayoanzishwa Marekani na makachero FBI wanaotumia mbinu chafu ambazo nyingine hata wewe umeamua kuwa nazo ikupingana na nguvu za kanisa Katoliki ambalo limeanzishwa katika misingi ya YESU mweyewe kwa kupitia Petro. Cha msingi katika halishindwi na wala halitashindwa kusimama katika ukweli licha ya changamoto mbalimbali
serikali haina dini...short n clearmbona umekuja kwa nguvu sana tuliza mizuka hata kama hukubaliani na pengo kwa kumwambia kikwete msaliti wa taifa lake uje kwa hoja si kupinga ukardinali wake. Tujengee basi hoja kwa nini hukubaliani naye kuliko kututajia maaskofu mliokunywa nao pombe that is out of topic.
we jamaa kiazi kweli....kichwani huna kitu unajifanya unajua lakini ni mweupe kabisa......wala hujui maana ya maneno hayo ''msinililie mimi ila lilieni watoto wenu'' na si bikira maria aliyesem maneno hayo.....sikurupuke nyang'au wewe.....Tena anamwita Rais Msaliti wakati wao ndo walimsaliti Yesu. PILATO si ndo hao warumi...Kayafa...Agustus etc. Isitoshe sasa wanawasaliti watu kwa kuwasalisha bikira maria aliyewaambia MSINILILIE MIMI JILILIENI NAFSI ZENU NA WATOTO WENU. Wagonga pombe tu hawa hawana lolote...
Wana mfano wa utawa lkn wakikana nguvu zake. Ameshindwa kuokoa roho za watu anaanza siasa. Si achukue fomu akagombee urais. Au si akachague jimbo kwao Rukwa? Huyu mzee ni mzushi sana hana lolote huyu bora hata marehemu Rugambwa. Yeye ndo msaliti wa nchi...
NCHI YETU NI TANZANIA NA SERIKALI YETU HAINA DINI...Baba wa Taifa alimgomea Askofu Makarius alipoleta ujumbe wa kumwomba amwachie mgiriki aliyesema serikali ya Tanzania ameiweka mfukoni mwake.
Most rev. Archbishop Romero alikuwa assasnated akiendesha misa,siku moja baada ya kuiambia serikali Yake ya el salvador (sawa na ya mkwwere) kuheshimu haki za watu,majeshi yaache kuua,kama ilivyo hapa,pia alikemea bila kuremba ufisadi na uhuni kama ufanyikavyo leo. Alikuwa hamung'i maneno. So MMj alimaanisha hivyo..hope umeipata..
Tofauti ya Archbishop Romero na Huyu Kardinali Pengo, ni kuwa wakati Romero hatazami mtu usoni na anasema yale anayoyaamini. Kardinali Pengo anatazama sura na kuamua aseme nini.
Halafu mbaya zaidi, ametumia lugha kali kwa kumuita mkuu wa nchi MSALITI. Mi sisemi kwamba JK hana mapungufu au kauli yake ilikua muafaka, au ilitolewa sehemu muafaka. Mi nataka nimuulize Kardinali Pengo, kama kweli anaamini kwenye USALITI kwa wanachi maskini?
Alikua wapi kipindi cha Awamu ya tatu yote(maana ni kama alikua likizo ya miaka 10), ambapo wachimbaji wadogo walifukiwa wakiwa hai Bulyanhulu? Alikua wapi wakati serikali inaingia mikataba ya damu ya madini inayotufunga kwa miaka mingi na vizazi chetu? Alikua wapi wakati wa EPA iliyoidhinishwa na Awamu ya tatu? Alikua wapi wakati Meremeta wanachota mabilioni ya watanzania BoT? Alikua wapi wakati wa kashfa ya kulanguliwa Radar?
Kama anataka hawezi jibu? Basi ni haki na sisi kuuliza. Maana chokochoko za Kanisa Katoliki zilishawagawa watu nchi za wenzetu( Kumbuka: Rwandan Genocide 1994 and the role of Catholic Church), na hata ukiisoma hiyo kauli yake utaona bado anaamini in "Catholic Supremacy" kwa kuita makanisa mengine vikanisa vidogovidogo.
Wewe ndo kiatu bora kiazi ni chakula hata hujaelewa..unaonyesha assignment ulikuwa unaanguka sana maana hujanielewa kbs pamoja na kutumia kiswahili kukujuza. Ni hivi...NI YESU NDO ALIMWAMBIA MARIA...we jamaa kiazi kweli....kichwani huna kitu unajifanya unajua lakini ni mweupe kabisa......wala hujui maana ya maneno hayo ''msinililie mimi ila lilieni watoto wenu'' na si bikira maria aliyesem maneno hayo.....sikurupuke nyang'au wewe.....
ina maana pengo alishawahi au anao watoto? Mwanamke mjamzito kamwona wapi? Si muoe jamani...ya nini kujitesa na kuchafua mashuka usiku...unajua usipolala na mwanamke miaka mingi unaathirika kisaikolojia? Huyu mzee ameathiriks kisaikolojia namsamehe burejk kaambiwa awe na ''ujasiri wa mwanamke mjamzito'' mfikishieni hili na aelewe maana yak
INA MAANA PENGO ALISHAWAHI AU ANAO WATOTO? MWANAMKE MJAMZITO KAMWONA WAPI? SI MUOE JAMANI...YA NINI KUJITESA NA KUCHAFUA MASHUKA USIKU...UNAJUA USIPOLALA NA MWANAMKE MIAKA MINGI UNAATHIRIKA KISAIKOLOJIA? HUYU MZEE AMEATHIRIKS KISAIKOLOJIA NAMSAMEHE BURE