Ni dhahiri kuwa Raisi alikosea kusema vile kama hakuna watuhumiwa ndani ya kanisa Katoliki,ni dhahiri kuwa Raisi alikosea kama Binadamu yeyote akoseaye cha msingi asilichukulie hili kisiasa au akachukulia kiubabe CCM kwa mara nyingi kauli zao zimekuwa ni zakuponda Kanisa pale wanapobanwa. Raisi ametumia Membari vibaya tunajua si mara ya kwanza kwa KIKWETE kuropoka kumbukeni yale aliyoyasema wakati wa akipinga mgomo wa Walimu kama kweli yalikuwa maneno ya Raisi au aliropoka KIUHALISIA SI MARA YA KWANZA LEO KWA RAISI KUROPOKA.
PENGO ninamfahamu pengine kuliko unavyomfahamu. Hupenda kuamini kile anachoamini. Suala la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aliyechaguliwa na wewe na mimi akashinda na anayetawala kidemokrasia. ...Ki Peoples Authority{tafsiri yake} kuonya viongozi juu ya dawa iweje ligeuke agenda na Pengo ashupalie? Sababu alizotoa ni nyepesi mno. Tatizo linaloonekana hapa ni la kisiasa zaidi...kwani JK anazungumza na kutenda kufuatia katiba ya nchi na misingi ya sheria za Tanzania ambayo ni neithet east nor west political alligned...Pengo yeye anawakilisha capitalists nchini if not imperialist. Katika Mazishi ya Anthony Mayala alisema wazi kabisa yeye ni pro capitalism.anadai anawapenda
Hivi kupenda captalism ni kosa? kwani kikwete anachukia ubepari? kwani mada hapa ni ubepari hivi unajua unachoandika? kwa namna hii kweli watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa mara msiba wa mayala, ooh mara captalism Unatakiwa kujibu hoja na sio kudandidandia.PENGO ninamfahamu pengine kuliko unavyomfahamu. Hupenda kuamini kile anachoamini. Suala la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aliyechaguliwa na wewe na mimi akashinda na anayetawala kidemokrasia. ...Ki Peoples Authority{tafsiri yake} kuonya viongozi juu ya dawa iweje ligeuke agenda na Pengo ashupalie? Sababu alizotoa ni nyepesi mno. Tatizo linaloonekana hapa ni la kisiasa zaidi...kwani JK anazungumza na kutenda kufuatia katiba ya nchi na misingi ya sheria za Tanzania ambayo ni neithet east nor west political alligned...Pengo yeye anawakilisha capitalists nchini if not imperialist. Katika Mazishi ya Anthony Mayala alisema wazi kabisa yeye ni pro capitalism.anadai anawapenda
.PENGO ninamfahamu pengine kuliko unavyomfahamu. Hupenda kuamini kile anachoamini. Suala la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aliyechaguliwa na wewe na mimi akashinda na anayetawala kidemokrasia. ...Ki Peoples Authority{tafsiri yake} kuonya viongozi juu ya dawa iweje ligeuke agenda na Pengo ashupalie? Sababu alizotoa ni nyepesi mno. Tatizo linaloonekana hapa ni la kisiasa zaidi...kwani JK anazungumza na kutenda kufuatia katiba ya nchi na misingi ya sheria za Tanzania ambayo ni neithet east nor west political alligned...Pengo yeye anawakilisha capitalists nchini if not imperialist. Katika Mazishi ya Anthony Mayala alisema wazi kabisa yeye ni pro capitalism.anadai anawapenda
Mbona umekuja kwa nguvu sana tuliza mizuka hata kama hukubaliani na Pengo kwa kumwambia Kikwete msaliti wa taifa lake uje kwa hoja si kupinga ukardinali wake. Tujengee basi hoja kwa nini hukubaliani naye kuliko kututajia maaskofu mliokunywa nao pombe that is out of topic.PENGO ninamfahamu pengine kuliko unavyomfahamu. Hupenda kuamini kile anachoamini. Suala la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aliyechaguliwa na wewe na mimi akashinda na anayetawala kidemokrasia. ...Ki Peoples Authority{tafsiri yake} kuonya viongozi juu ya dawa iweje ligeuke agenda na Pengo ashupalie? Sababu alizotoa ni nyepesi mno. Tatizo linaloonekana hapa ni la kisiasa zaidi...kwani JK anazungumza na kutenda kufuatia katiba ya nchi na misingi ya sheria za Tanzania ambayo ni neithet east nor west political alligned...Pengo yeye anawakilisha capitalists nchini if not imperialist. Katika Mazishi ya Anthony Mayala alisema wazi kabisa yeye ni pro capitalism.anadai anawapenda
.Hivi kupenda captalism ni kosa? kwani kikwete anachukia ubepari? kwani mada hapa ni ubepari hivi unajua unachoandika? kwa namna hii kweli watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa mara msiba wa mayala, ooh mara captalism Unatakiwa kujibu hoja na sio kudandidandia.
Sioni ajabu kwa mropokaji kumtetea mropokaji mwenzake,kama uliye andika ni mkristo unasababu ya kwenda kuulizia historia ya kanisa lako huenda ni yale Makanisa yanayoanzishwa Marekani na makachero FBI wanaotumia mbinu chafu ambazo nyingine hata wewe umeamua kuwa nazo ikupingana na nguvu za kanisa Katoliki ambalo limeanzishwa katika misingi ya YESU mweyewe kwa kupitia Petro. Cha msingi katika halishindwi na wala halitashindwa kusimama katika ukweli licha ya changamoto mbalimbaliWewe sio Pengo...mwenyewe akiona anaelewa...wewe hujui bado mdogo ukikua utaelewa tu...unadandia gari kwa mbele utagongwa..humjui padre hata mmoja ktk wote niliowataja...unatetea tu kwa ajili ya misingi ya kiimani kwa kuwa dini umeirithi kwa wazee wako..ungewakuta sunni ungekuwa huko....sabath ungekuwa huko pia...kasome ufunuo wa Yohana 21 utambue unayemwabudu ni Mungu au Satan....Upooooooooooo?
Raisi anazifahamu Sheria za Nchi kama kuna watu wanuza madawa ya kulevya kwanini sheria isichukue mkondo wake? kwani hakun aliye juuu ya sheria hata viongozi wa dini? kwanini Raisi anaongelea zaidi umbea ona sasa anasutwa dawa ya mbea ni kusutwa sasa na asutwe?Uko logic kidogo ila unapungukiwa neno moja tu
Sheria za nchi juu ya mambo mbalimbali...alisema viongozi wa Dini....siyo viongozi wa makanisa au misikiti...lengo lilikuwa kuli alert kanisa juu ya jambo hilo ambalo pengine Pengo hakuwa aware..sasa...Pengo akiambiwa Father Son of Africa anauza chalasi {unga} ili yeye afanyaje? Ni sehemu ya sheria huyo? Pengo naye namwania kuwa ndio waliosalia kumbe...ila namsamehe kwa kuwa ndio anaanza leo kunikwaza
tena katumwa huyu ni usalama kuendelea kumujibu tunapunguza umaarufu wetu ni bora kumuucha aendeleee kuonesha ujinga wakeʞontɹact Sniper;2361421 said:.
Huyu jamaa haelewi anachokifanya hapa, anajaribu kuthibitisha madai yake kwa kuvuruga mada badala ya kutotoa hoja na vielelezo.......anafanana na hiyo avatar yake ya akina Merilyn
sishangai mropokaji kumtetea mropokaji mwenzakeTatizo Pengo aka mwanya! anafikiri akitumia masaburi. ila huyu jamaa ovyo kabisa na mnafiki wa hali ya juu, hana cha uzalendo wala nini? Makovju ya uchaguzi haya, na wafadhili wanauliza kulikoni padri kushindma uchaguzi.
hata mamlaka ya Idi Amini na Hitler yalitoka kwa Mungu, una hakika unahitaji roho matakatifu akufunilie. Je ni nguvu ipi Cardinal amepinga? kuna mamlaka iliyotaoka kwa Mungu haitakiwi kuambiwa ukweli? Je hivi umehau Yohane Mbatizaji alifanya nini mpaka akuawa? yesu naye alifanya nini kwa viongozi? SASA NAHAKIKA WATU WAMEBINAFSISHA HATA KUFIKIRI kitu ambacho ndio kibaya zaidi.JK ni kiongozi wa nchi Pengo ni msomaji mzuri wa biblia akumbuke kuwa hakuna mamlaka isiyo toka kwa Mungu
kwa uhakika hawatafutu udhaifu ila wanabambikizia udhifu i mean wanchakachua hawataweza na hawatakuja kuweza kosa ni lawazi na kila mwenye akili timamu ameona, na hata wakifanikiwa hawawezi kumaliza kanisa lote There is generation with holy spirit in which no human evil technic will overcomehii picha inavyoenda nathani itaelekea kulee kwa Baba Robert Mugabe tusishangae picha za Askofu Pengo akiwa katika mambo yaliyo kinyume na maadili ya kanisa lake kama kiongozi (kama yapo)! maana nawajua wanasiasa hutafuta upenyo hasa kwenye udhaifu wa anayewapinga!
JK ni kiongozi wa nchi Pengo ni msomaji mzuri wa biblia akumbuke kuwa hakuna mamlaka isiyo toka kwa Mungu