Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
Upinzani hakuna mkuu.
Lakini Samia ni mwepesi, bandari pekee inatosha kumtosa kilindini
We jamaa unaweza kuwa Muhu mbishi wewe🤣🤣🤣Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui na sikupingi, hofu, haki, nauli,Unaelewa tofauti ya maneno "fear", "fair", na "fare"?
Kiswahili huwezi na Kiingereza hujui.
soma comments za watu mwanzo mpaka mwisho utaelewa tuu!Mkuu samahani ila sijapata point yako katika hili, labda unisaidie.
Fair na fare ,mtamko wake mmoja yanamana tofauti,lala ukifanyia kazi HiloSijui na sikupingi, hofu, haki, nauli,
Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ana umaarufu gani wa kurudisha wanachama waliopotea mkuu?Mkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%
So lazma warudishe watu kama makonda kwenye system
Sasa unasema hana umaarufu halafu wew unamjua mkuu hauko serious 😅😅 mkuu wa mkoa Mstaafu mwenye scandel nyingi hasa Ya D.A.B.Makonda ana umaarufu gani wa kurudisha wanachama waliopotea mkuu?
Tecc vilaza tu,mikwara yao wawatishie nyie mazuzu waoWazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani Mdude?utawala huu mwisho wake ni 2025 imeshaamuliwa hivyo na wakijifanya wabishi yatawakuta yaliyomkuta bosi wao uhuru kenyata, 2025 kuna raisi mpya imeshapangwa hivyo …
Mkataba na DP World😀Miaka 30 kwa mkataba upi sasa? Tuwekeeni mkataba huo..
Habari ya Paul imefanyika sambamba na Habari ya Dp-World.Wajanja tushaelewaWazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi na wewe ulikuwemo kwenye Dili la DP world? Mbona povu jingi sana?Tecc vilaza tu,mikwara yao wawatishie nyie mazuzu wao
Hana kitu huyo ni chuki na njaa tu inamsumbua. Anadhani watu wana muda wa kusoma uzi mreeefu usioeleweka.Mkuu samahani ila sijapata point yako katika hili, labda unisaidie.