Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Nikuhadharishe ndugu yangu,

kwenye Siasa hakuna cha heavy weight! Nijuavyo mimi hata akigombea hatashinda kwani hakuna atakae kuwakilishwa na wale wenye sifa ya kuwaletea vurugu na maandamano ya kila mara yasiyo na tija. Majimbo yote kwa sasa yanayoongozwa na wenye kupenda vurugu wananchi wamechka na wana waasa wanachi wengine wasiingie kwenye kubahatisha kwa kukichagua chama chenye maslahi na vurugu!

Umetumwa!! Nani achague ccm wewe, hakika hat iweje ccm hawana tena nafasi, kumbuka yule kija na Nassary alianza kampeni muda ukiwa umeisha na hakwenda sehemu zote lakini huweziamini kuwa alikaribia kumpiga chini. unasema vurugu . wenye vurugu ni CDM au Magamba? tunavyojua Magamba aka ccm ndio waanzilishi wa wizi na vurugu
 
Da wakuu hata marehemu hajazikwa tunajadili mrith,haaaaahha cdm hamna busara mara zote


Aliyekudanganya kuwa wanaochangia hapa wote ni CDM ni nani? Magamba ufahamu mmeibiwa na shetani baada ya kumtumikia kwa saana, hiyo ndiyo kazi ya shetani, mtumishi wake mwema humtunukia kifo kama alivyokitunukia chama cha mafisadi [ccm]
 
Jamani subirini ndugu yetu Sumari azikwe kwanza, mbona kwa Regia hatukuanzisha threads za mwelekeo huu?


Jamani kwani kwa Regia kuna jimbo liko wazi? sisi tunawajua ccm kuwa kabla hata ya Sumary kufa walikuwa wameshaanza kumtafuta mrithi na pesa ilishaanza kiliwa, na tukikaa kimya tutapigwa kwa kushtukizwa ahdi tukome.
A%20S%20465.gif
 
tumuombee marehemu sumari apumzike kwa amani. huyu nassari aliyegombea ubunge mwaka jana simfahamu vizuri lakini vishindo vyake nilivisikia. hebu turushieni statistics za matokeo ya ubunge arumeru mashariki mwaka jana.
 
Nikuhadharishe ndugu yangu,

kwenye Siasa hakuna cha heavy weight! Nijuavyo mimi hata akigombea hatashinda kwani hakuna atakae kuwakilishwa na wale wenye sifa ya kuwaletea vurugu na maandamano ya kila mara yasiyo na tija. Majimbo yote kwa sasa yanayoongozwa na wenye kupenda vurugu wananchi wamechka na wana waasa wanachi wengine wasiingie kwenye kubahatisha kwa kukichagua chama chenye maslahi na vurugu!
Weka mifano hai mama tau,kama wapi vile hayo unayo adithia yamejiri???naona kama ni hadith njoo,uwongo,ukweli potea vile...ebu niwekee mifcano hai nami nisipigie kura tena iko chama cha vurugu,maana jimboni kwangu naona iki chama kila kukicha wafuasi waongezeka,watoto wakimaliza shule za secondary wanatiririka tu,na wanavyuo wafanyakazi ndio usiseme,sasa sijui hawa wenzangu wanapenda vurugu zaidi ya maendele....elimu yao walisoma ili wanufaike na vurugu badala ya maedeleo nini?
 
?rais atakiwi kugombea ubunge

Hizo ni fikira potofu, hata Mrema aliwahi kugombea Urais akapata kura nyingi tu lakini sasa ni Mbunge; kwa hiyo hakuna cha ajabu kwa Dr Slaa kurudi jimboni na kugombea Ubunge.
 
Ushasema ni heavy weight kiti hicho c saizi yake kabisa ni sawa na dagaa kummeza papa! Tunzeni heshoima yake dr slaa ni mgombea urais mstaafu!
 
tumuombee marehemu sumari apumzike kwa amani. huyu nassari aliyegombea ubunge mwaka jana simfahamu vizuri lakini vishindo vyake nilivisikia. hebu turushieni statistics za matokeo ya ubunge arumeru mashariki mwaka jana.
Mkuu mimi naamini matendo yetu hapa duniani ndio yatafanya tupumzike kwa amani huko tuendako na si kwa maombi ya wanadamu,kwa hiyo hata mzee sumary matendo yake ndio hukumu yake,na si kwake ni kwa wanadamu wote
 
Hizo ni fikira potofu, hata Mrema aliwahi kugombea Urais akapata kura nyingi tu lakini sasa ni Mbunge; kwa hiyo hakuna cha ajabu kwa Dr Slaa kurudi jimboni na kugombea Ubunge.

Acha mawazo ya kichawi.Yaani bila haya unamlinganisha Dr Slaa na huyo limbukeni wa TLP?
 
Acha mawazo ya kichawi.Yaani bila haya unamlinganisha Dr Slaa na huyo limbukeni wa TLP?

is dk slaa a God or wat?mbona ni kama sasa mnataka kukufuru kwa kumpenda kupita kiasi huku wakati huo huo mkitumiwa na watu wanaokinyemelea kiti cha arumeru kumpinga kiaina!yani mnataka kusema slaa si binadamu wa kawaida na hakuna kama yeye wala wa kulingana nae!
 
mwambie JK aache urais aende akagombee ubunge arumeru ili akaongeze nguvu ya kupambana na Tundu Lissu bungeni.
 
Jamaa Mzushi sana wewe. Dr Slaa amekuwa Mbunge tangu mwaka 1995 na Arfi ameingia Bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2005 halafu unasema Arfi alikuwa anaitesa CCM wakati Dr Slaa bado hajulikani? Labda wewe ndio ulikuwa humkui lakini Patrick Tsere wa Karatu anamfahamu vizuri sana. Wazo la Slaa kugombea Areumeru halikubali, sio muafaka, ni kichochezi na linaashiria agenda binafsi kama sio uoga wa nguvu zake anazoelekeza kuijenga CDM. Hebu rudi kaendeleze hoja yako ya Mrithi wa marehemu Regia Mtema hapa umechemsha sana

Halafu wewe hiyo avatar yako siipendi,ok kuteleza si kuanguka,slaa ni mmoja wa vijana waliopikwa na ndani ya TANU YOUTH LEAGUE kama kina kikwete,alikipenda sana chama kiasi cha hata alipokua italy akawa katibu wa chama foreigm branch pale ROME!CCM walikuja kumuudhi baada ya jina lake kutorudi kama mgombea ubunge wa ccm hapo kwake,alikasirika sana kwa kuwa alishatumia resources nyingi sana kuwaweka sawa wananchi wa pale wamchague ndio akaangukia mikononi mwa cdm!
 
mwambie JK aache urais aende akagombee ubunge arumeru ili akaongeze nguvu ya kupambana na Tundu Lissu bungeni.
umewahi ku take trouble ya angalau kuidurusu katiba tuliyonayo?au ni katika wale wanaotaka tu katiba mpya bila ya kwanza kuijua hii tuliyonayo nayo iko vipi na mapungufu yake...hoja yako hapo inakudharirisha sana na kukuonyesha ni mtupu sana kwenye suala la kujisomea hususan katiba!
 
Hii itamvurugia mikakati yake 2015. Nafasi ni kubwa sana ya kuchukua nchi.

Ina maana cdm imekua kama cuf siku hizi kwa kuwa na wagombea wa maisha wa nafasi ya urais au?otherwise utuambie ujasiri wa kuvinyang'anya vikao vya chama mamlaka yake umepewa na nani maana mwenzetu unaweza kujua maamuzi ya vikao ambavyo havijakaa...je wewe ni mwenyekiti wa cdm umekuja na id tofauti hapa au?
 
Mhe wizi wa kura uwa upo,mimi binafsi nilishawai kushiriki kabla sijaokoka,mimi naamini unaleta utani,hao unaowataja kuwa mbona wanashinda uwa wanashinda kwa kiwango kikubwa ambacho hata kamati za ushindi/wizi haziwezi kubadili kitu,si rahisi kubadili kura za tofauti ya 5000!lakini kama ni ndani ya 1000 uwa wanaweza kubadili,kumbuka wizi unaotumika ni wa aina nyingi sana,si wakuchomeka kura tu,upo wa aina nyingi mfano kuharibu kura za upinzani kurubuni mawakala wa upinzani na kuandika idadi ya uongo kuendana na kura zilizopigwa nyingine ni kununua shahada kabla ya uchaguzi,kama utapinga yote hayo utakuwa umeamua kubisha tu.

mnapeleka mawakala wanaoweza kurubuniwa na wakarubunika?basi bado mna safari ndefu sana na kuchukua nchi mnapeana moyo tu,hebu nendeni pemba mkajifunze kwa mawakala wa cuf...na kwanini kila wakati ni mawakala wa upinzani tu ndio wanarubunika?mmewahi kujiuliza hili?
 
Lema ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja zenye logic za kisomi na kutoa structured arguments kutetea kile anachodai, hivyo si sahihi kabisa kumuweka kundi moja na Dr.SLAA, LISSU au Zitto. Lema ana siasa za ufuasi zaidi kwa maana ya kuwa na upeo mdogo!
kama ameweza mboe kwa elimu na uelewa wake atashindwa Lema bwana,tuache kudanganyana hapa!hivi unamjua mboe na historia yake?ana tofauti gani na lema au sugu?
 
Back
Top Bottom