Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Tunajadili nini wakati Dr Slaa amekataa kugombea Arumeru? Vyombo vya habari vimemnukuu akisema "hataki tena ubunge isitoshe sio mwenyeji wa Arumeru"
Awali hata urais alikataa kugombea, lakini mwisho wa siku alisikiliza matakwa ya wengi (na huo ndio uongozi bora). Nami pia naheshimu maamuzi yako Dr. lakini ni vyema ukijua kwamba hata michango yako bungeni kama mbunge na uraiani kama Katibu mkuu, bado ilikisaidia sana chama chako ktk kipindi cha 2005-2010 bila kuathiri utendaji wako ktk taasisi husika.

Kwa hiyo wale wanaosema wewe kuingia bungeni ni sawa na kujiongozea majukumu yatakayokupunguzia kasi ya kukijenga chama napingana nao. Lakini kwa sasa ni vyema watu wakagawana majukumu, kwani kazi ya kuteta mabadiliko hutaiweza peke yako, awali mlikuwa wabunge 11 na bado kazi ilionekana, sasa wapo zaidi ya mara nne nadhani kazi wanaimudu vyema. Endelea kuwajenga na kuwarithisha ujuzi wapambanaji wapya na vijana kama Nassari ili hata siku utakapoishiwa nguvu, ujivunie kazi ya kichwa na mikono yako
Aluta Continua
 
Maadui wa Chadema utawatambua kwa michango yao humu Jf. Mbinu mlizotumia kummaliza A. Mrema haitawafaa tena. Mrema alikuwa mroho wa madaraka na hakujali maslahi ya watanzania lakini pia hakuwaamini wenzake katika chama.
 
Dr. Slaa anachostahili kwa sasa ni urais wala siubunge!
 
Hataki tena ubunge..inamaana bado ana ndoto za urais?

ndoto hana labda umwambukize.
kinyang'anyiro cha urais chenyewe aliingia only baada ya kupigiwa magoti na makada na wazee wa chama.
 
Dr slaa is not cheap to that extent of being convinced by those magamba natured rotten ideas!! Chadema likewise is calculative in prons and cons of nominating dr for arumeru east by-election!!
 
"uraisi nakumbuka alisema atagombea awamu moja tu,sasa sijui atasema nini tena"
Uwongo mwingine wa magamba. Hamtuwezi wezi wa kura nyie. Kwa taarifa yako mtakutana na Dr na CDM mpya na hamkatizi hata mkileta wezi kutoka china na kule mlikohonga wanyama "DOHA"
 
Dr slaa is not cheap to that extent of being convinced by those magamba natured rotten ideas!! Chadema likewise is calculative in prons and cons of nominating dr for arumeru east by-election!!

I support U strongly! By the way Our lovelly Dr.His excellence WPS allready has personality of majority voice of the citizens of which I think he is supposed to defend it by creating more MPS for CDM'S popularity b4 twentyfifteen.
 
Big up Dr Slaa kwa msimamo wako waachie vijana wewe shughulikia kuimarisha chama
 
“Dk. Slaa majukumu aliyonayo kwa sasa ni zaidi ya kuwa mbunge, kasi ya uwajibikaji na umahiri wa wabunge wa CHADEMA unayoiona ni kutokana na kazi nzuri ya kuwapika wabunge hao inayofanywa na yeye, kuna kazi kubwa zaidi ya hiyo?” alihoji mdau mmoja katika mtandao wa kijamii akiwapinga wanaokataa katibu mkuu huyo asigombee ubunge.
Source: Tanzania Daima

Tanzania daima kwanini hamsemi tu kwamba habari hii mmeichukua hapa JF? mitandao ya kijamii iko mingi lakini JF ndio kisima cha busara. Ona sasa walivyo copy na ku paste, siku nyengine nitawadai "commission" msiponitaja!! lol

Dr. Slaa majukumu aliyonayo kwa sasa ni zaidi ya kuwa mbunge, kasi ya uwajibikaji na umahiri wa wabunge wa chadema unayoiona ni kutokana na kazi nzuri ya kuwapika wabunge hao inayofanywa na Katibu Mkuu wa chama Dr. Slaa, kuna kazi kubwa zaidi ya hiyo?
 
Rafiki wewe unadhani ni Ndoto sisi tunajua ni reality kwahiyo keep dreaming and see what happens 2015
 
Tanzania daima kwanini hamsemi tu kwamba habari hii mmeichukua hapa JF? mitandao ya kijamii iko mingi lakini JF ndio kisima cha busara. Ona sasa walivyo copy na ku paste, siku nyengine nitawadai "commission" msiponitaja!! lol

Umenifurahisha sana na kumbukumbu zako kamanda.Hakika JF kiboko
 
Dr.Slaa si Mrema hana uroho wa madaraka hata Urais 2010 aliombwa agombee na hata 2015 ataombwa na wala hafanyi mbinu zozote za kukipata kiti hicho. Yeye anachofanya ni kukiimarisha chama chake ili kishinde uchaguzi kwa yeyote ndani ya chama. Ebu angalia CCM wanalishana sumu na hata M/kiti wao wanamuhujumu.
 
Mi ningependelea kumwona Nasary pale ingekuwa bonge la issue!

Dr! Abaki ktk kiti kile kile cha kwake maana naona ni muhimu sana!
 
Ok nimekuelewa,lakini nina swali kidogo tu,unakizungumziaje kitendo cha kiongozi wa upinzani bungeni pamoja na wabunge wake kumuachia zitto pekee suala la kupinga na kususia posho ya kukaa kitako bungeni ambao ni mzigo kwetu sisi tax payers?unaona kiongozi wa upinzani bungeni yuko sahihi kupanga foleni ya kugombea posho hiyo haramu?

Hakuna tatizo. Anzisha Thread tutajadili.

ANGALIZO: Najua kuna makundi katika CDM ambayo yanapingana, wakati mwingine kwa hoja dhaifu sana. Sina hakika wewe uko kwenye kundi gani kati ya hayo. Bahati mbaya mimi sipendelei mfumo wa makundi maslahi kwani yanaonyesha udhaifu wetu wa kufikiri. Hata wewe hapo nimeona ni pro- Zitto kwa namna unavyotaka suala la posho lionekane ni la mtu binafsi.
 
Owk owk...ametumia akili na busara sana kufanya huo uamuzi. Kwa sasa Tanzania hatuitaji kuwa na viongozi wazee kama yeye. Tunataka vijana watakaoleta mabadiliko na mbinu mpya za kumkomboa mtanzania.
hahahahahah kijana kama JK bwana duuu alipakwa wanja kijana wetu huyo HOI CHALI KABISAAA!
 
Dr.Slaa usiharibu CV yako imarisha Chadema hadi Vijijini. Usifanye kosa hilo kwani Chadema ni Chama Tawala mbadala kinachotakiwa kijijenge.Mfano katika uchaguzi uliopita Chadema haikuweka wagombea kokote nchini kwa hiyo hata ingeshinda nafasi zote ilizoweka wagombea wasingekuwa na wingi wa Wabunge au Madiwani, Chama kinachojiandaa kutawala lazima kisamba nchini nzima katika ngazi zote.
 
Back
Top Bottom