PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

van dame

Senior Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
114
Reaction score
23
Habari zenu wana JF.

Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.

Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.

Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.
 
TCU sina maswali tena maana kuna watu mmewafanyia sio kabisa daa.... but any way labda nanyi mna vigezo mnavyofuata mbali ya ufaulu.
 
mkuu sasa inakuwaje mtu alipata div two aachwe halafu wa three akachukuliwa.

Hapo kilichotokea ni kwamba mtu kapata tu ya mwisho then anaomba muhas medcn alafu mwenye three anaomba kcmc au bugando maabara. hivyo maabara au nursing
inakuwa aina compttion kama mdcn cause wengi wana focus medcn only
 
na mie wa art niliyeahirisha mwaka kwa kukosa loan unanishaurije?
 
mi PCM.nilimaliza 2009,mwaka jana nilikosa niliomba civil mbeya na petrol udom.nina 3 ya 15,nishaur nianzia vyuo gan ambavo havina ushindan napenda civil au electr
 
niliomba transport and logistic management pale NIT loan nikakosa due to budget exhaustion! ufaulu wangu ni one point 6 !
 
Kama hadi directors wa taasisi nyeti kama TCU wanaandika hivi basi kuna tatizo sio kidogo

Director,una taaluma gani mkuu

Nina wasiwasi na uandishi wake huenda kanjanja eg.division tu insteady of diviosion two, Sauti insteady of Saut pana walakini na uvalidity wa mhusika na tittle aliyojipa
 
Mkuu Nina div 3 point 14 chy C phy C bios D kuna uwezekano wa kusoma medicine apo???
 
Je kama mtu alikwenda chuo alichopangiwa then kutokana na matatizo ya mkopo akaamua kuacha ataweza chaguliwa mwaka huu akiomba tena upya??????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom