- Thread starter
- #21
Games za cod nimecheza almost zote ndizo my favourite war games ni hatari
Umepiga COD 5?
Games za cod nimecheza almost zote ndizo my favourite war games ni hatari
Hongera bro unaonekana una roho nzur sana ingependeza kama ungekuwa Barca fans ili ukichezesha hyo fifa 15 ufurahi zaid kwa maufundi ya MESSI ila yote kwa yote ntakutafta pc yangu ikipona
Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF kila baada ya muda kadhaa, nilitoa Fifa 14 bure na sasa ninatoa Call of Duty 4. Sina namna ya kuanza kuielezea hii Game kwa mapana sababu sina kipaji cha kudadavua vitu kama hivi ila ni mchezaji hasa wa haya Magame ya Computer.
-Kwa wale ambao waliipata Fifa 14 wanaweza wakasema kama niliwacharge hata senti 5. Jamiiforums huwa inanisaidia sana nikiwa na shida mbalimbali kwahiyo na mimi nawasaidia wale ambao wanauhitaji wa hii Game. Fifa 15 Ipo njiani kuna kitu nataka nihakiki kwangu kwanza, nikifanikiwa nitaweka tangazo la kuigawa hapa bure bila malipo.
-Pia baada ya Call of Duty 4 nitakuja kugawa Game nyingine yenye ya Call of Duty yenye 13GB, Hatari saaaaaaana hii Game. Kaeni mkao wa kula.
-Kwa mawasiliano unaweza ni PM.
Mkuu shukran sana,nta ku pm,natafuta hili game Microsoft age of empire 3.naweza lipata wapi?.
Mh hii game si ya 2008,sasa kuna game nzuri sana kama pc yako ina pumzi na developer ni haohao infinity ward hii ni call of duty advanced warfare,jamani hizi graphics really amazing its like reality hata gta v haioni.
nikija huko nakutafutaje ndugu yangu? game ina size gani ili nijue natakiwa nije na flash kubwa kias gani. angalau number ya simu ..ila kiukweli kwa sasa sina pesa ntashndwa kukupa ya vocha but am sure tutalindana tu siku zijazo maana ndo tunatengenez urafiki namna hii
Mkuu nataka nianze na call of duty 1 au 2 km unayo.Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF kila baada ya muda kadhaa, nilitoa Fifa 14 bure na sasa ninatoa Call of Duty 4. Sina namna ya kuanza kuielezea hii Game kwa mapana sababu sina kipaji cha kudadavua vitu kama hivi ila ni mchezaji hasa wa haya Magame ya Computer.
-Kwa wale ambao waliipata Fifa 14 wanaweza wakasema kama niliwacharge hata senti 5. Jamiiforums huwa inanisaidia sana nikiwa na shida mbalimbali kwahiyo na mimi nawasaidia wale ambao wanauhitaji wa hii Game. Fifa 15 Ipo njiani kuna kitu nataka nihakiki kwangu kwanza, nikifanikiwa nitaweka tangazo la kuigawa hapa bure bila malipo.
-Pia baada ya Call of Duty 4 nitakuja kugawa Game nyingine yenye ya Call of Duty yenye 13GB, Hatari saaaaaaana hii Game. Kaeni mkao wa kula.
-Kwa mawasiliano unaweza ni PM.
Mkuu nataka nianze na call of duty 1 au 2 km unayo.
Hazijapangwa kwa mtiririko huo. Call of Duty ni ya kishamba. Call of Duty 2 ni black ops, balaa sana hii Black Ops.
Nimejaribu ku download bt ilishindikana. Nitazipataje sasa hizi mkuu.
Nipo Dar!!!
Dar sehemu gn mkuu ili nikutafute kesho km kuna ukaribu.