Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Mkuu nimefanikiwa kufungua acc ya payoneer na wamekubal ombi langu lakin sijaona wakinipa maelezo kuhusu kunitumia hyo kadi yao

Vip inabid nitume tena ombi la kupatiwa kadi au nisubir tu wao wenyewe watanipa utaratibu utakaofata?

Attachments

• PhotoGrid_1506469412717.jpg
PhotoGrid_1506469412717.jpg
60 KB · Views: 63
Nilikua nauliza nikifungua account payoore iyo card natumiwa baada ya mda na natumia sehemu gani

Ni kweli, PayPal haijaruhusiwa Tanzania, fungua hiyo link ufanye registration, ukishafungua account then u apply Card yako Mkuu! Kwa usaidizi wowote anytime njoo hapa uulize, ntajitahidi kusaidia kadri ntavyojaaliwa!
Hiyo registration ukigungua haina kitu aiseee

Hi,

I would like to invite you to Get Paid For Your Opinion
I enjoy answering quick surveys here and getting compensated for my time and opinion. Thought you'd enjoy it too.

You can watch payment reference video on youtube

Hii payoner nmefungua account hii sasa mara ya pili..lakin sipat email inayo ongelea card..na had sasa ni miez miwil imepita sijaona card wala email ya card..shida hapa ni nin?

Wakuu nàomba kueleweshwa kama kuna format yoyote ya kuandika tarehe unapofanya application ya payoneer account maana mimi inanigomea kwenye tarehe.

Inawezekana Mkuu! Kwa Ku transfer hiyo 500,000 kwenda kwenye Payoneer account yako! Na ukafanya manunuzi mtandaoni!

Kumbuka Payoneer ni sawa na Bank account nyingine, utofauti ni kuwa hii ni online banking!

Na kwa vile ni free unaweza kufanya registration na uka apply card yako! Inaweza kutokea siku unahitaji kununua kitu mtandaoni ikakurahisishia!

Au uko na friend nje ya nchi akakutumia pesa kupitia Payoneer!
Mkuu Mimi Jana nimepokea kadi tangy ya MasterCard ya payoneer na nimei activate successfully. Hii card juu yake ina langu na digits 16. Sasa unataka kunitumia hela kutoka say South Africa au US, no information gani unahitaji kutoka kwangu ili uweze kunitumia hiyo hela? Maana A/C # sijaiona.

Kupata iyo mastercard kuna fee yoyote au ni free na wanakutumiaje through postal address au?

Kupata iyo mastercard kuna fee yoyote au ni free na wanakutumiaje through postal address au?
Ni bure kabisa mkuu, ingia kwenye site yao fanya registration then apply, ndani ya mwezi mmoja or so utakuwa umeshaipata kupitia posta address.

Wakuu nàomba kueleweshwa kama kuna format yoyote ya kuandika tarehe unapofanya application ya payoneer account maana mimi inanigomea kwenye tarehe.
Tumia Date picker mkuu.zinakuwa kulis mwa Date text box. Note format yaomwezi unaanza thentarehe then mwaka. i.e. 10/24/2017 ni sawa na 24/10/2017 kwetu.

Ni bure kabisa mkuu, ingia kwenye site yao fanya registration then apply, ndani ya mwezi mmoja or so utakuwa umeshaipata kupitia posta address.
Hapana sio bure mimi waliniambia ili nipate kadi angalau akaunt iwe na $40

Mkuu Mimi Jana nimepokea kadi tangy ya MasterCard ya payoneer na nimei activate successfully. Hii card juu yake ina langu na digits 16. Sasa unataka kunitumia hela kutoka say South Africa au US, no information gani unahitaji kutoka kwangu ili uweze kunitumia hiyo hela? Maana A/C # sijaiona.
Kuna vitu viwili, Kuna Payoneer Account, na pia kuna Payoneer MasterCard....
Unaingia kwenye Payoneer Account yako, unamtumia sender special request ambayo itamfikia kwa njia ya email, lazima uwe na information za Sender ambazo utajaz, kama email address, amount n.k...
Then uki accept yeye atapokea email, pia wewe utapokea copy ya email, pia kwenye Payoneer Account yako utapokea copy ya message!

Akikutumia pesa, utapokea email toka Payoneer ikitaja amount ilotumwa, na kwamba wanaomba angalau siku moja ili wa prove, sometimes huchukua masaa tu then watakutumia email kuwa your payment is approved na unaweza Ku withdraw hiyo pesa au kufanya matumizi mengine!

Back
Top Bottom