Nop...ila naskia saiz si had utumiwe labda hela kweny payoneer yako ndio watakupa card tena kwa usd 40Ulifungua kupitia Link hapo juu!?
Mkuu now days Mataperi kila kona....Nop...ila naskia saiz si had utumiwe labda hela kweny payoneer yako ndio watakupa card tena kwa usd 40
Naomba hiyo link bas mkuu au uniatajie page no nirud nyumaMkuu now days Mataperi kila kona....
Nimeweka link hapo ambayo inaku direct kwenye Official website ya Payoneer...
Sasa kuna watu wanaenda wenyewe huko Google na kukutana na site za kitapeli, mwisho wa siku maswali yanakua mengi na procedure ambazo hawana
Link ipo juu hapo ....Naomba hiyo link bas mkuu au uniatajie page no nirud nyuma
Thanks boss ngoja nijarbu hapa
Naingiza details zangu kwenye signup kwa maana ya jina email na siku yankuzaliwa lakini baada ya hapo inanipa page ya kusign in lakini nikiingiza details inaniuliza password ambayo sijaulizwa wakati wa kusignupInakupa message gani?
Samahani lakini, ila inachosha MKUU, form zina maelezo mpaka maelekeo ya wazi kabisa, unasema kwenye sign up form hakuna sehemu inayokwambia ujaze password! Unatumia Site gani? Nakuwekea hapa Screen shot ya hatua kwa hatua kwenye registration form! Then utanambia ndo kama ulizokua unajaza?Naingiza details zangu kwenye signup kwa maana ya jina email na siku yankuzaliwa lakini baada ya hapo inanipa page ya kusign in lakini nikiingiza details inaniuliza password ambayo sijaulizwa wakati wa kusignup
Ungepitia usingeuliza maswali hayo ambayo yameulizwa zaidi ya Mara moja!Nimepitia Mkuu yote, bado kidogo hayo ni utata!!
Mkuu kipengele cha kutumiwa kadi bado kina utata inawezekana kipind wewe umejiunga walikuwa wanatoa bure ila kwa sasa hivi hawakutumii hadi ulipie $40...Nimejaribu kujiunga kwa link uliyoweka hapo juu lakin inaonyesha tayar nina existing account kwa hyo unaposema kuna wengine wanatumia unofficial payoneer unakoseaUngepitia usingeuliza maswali hayo ambayo yameulizwa zaidi ya Mara moja!
Sasa sio Poa kujibu Swali lile lile lililoulizwa zaidi ya Mara moja kabla Mkuu!
Kama hauna muda kupitia huu Uzi, then tafuta muda coz utajifunza hata vile ambavyo usingeuliza!
Mkuu!Mkuu kipengele cha kutumiwa kadi bado kina utata inawezekana kipind wewe umejiunga walikuwa wanatoa bure ila kwa sasa hivi hawakutumii hadi ulipie $40...Nimejaribu kujiunga kwa link uliyoweka hapo juu lakin inaonyesha tayar nina existing account kwa hyo unaposema kuna wengine wanatumia unofficial payoneer unakosea
Sawa baada ya kulog in kwenye akaunt yako mbona sijaona sehemu waliyoweka option ya wewe kuapply kutumiwa kadi hata hiyo bonus ya $25 mbona haipo kwenye akaunt yako..naona balance ni $0Mkuu!
Tatizo lenu mnasoma Heading tu then unaandika Comment kuuliza Maswali, wale wote wanaosoma Uzi mwanzo mwisho hawapati tatizo kama lako....
Narudia tena, Payoneer MasterCard ni bure, means wanakutumia bure, hutoi hata 10, sana sana wao ndo wanaku offer $25, fee hu apply pale tu unapoanza kuitumia.....
Umefanya nipoteze muda tena ni apply upya kwa ajiri yako, sasa huu muda huwa haupo kwa kila mtu kuja na the same question....
Napandisha Screen shot hatua kwa hatua hafu wewe utaniambia kwa hatua ipi kwako walikwambia ulipe $40..
View attachment 616142
View attachment 616143
View attachment 616145 View attachment 616146
Hiyo juu ni approval email yao.
View attachment 616147
Hapo juu nime log in kwa account yangu.
View attachment 616149
Pitia na hiyo Screen shot..
Kwenye hizo steps umeona wapi naulizwa kulipa $40?
NB:
Nimetumia majina ya kubuni sehemu nyingine nimesahau kufuta!
Kwa sasa uombe usiombe wanakutumia Card yako, ndo maana kwenye Registration form wanaomba taarifa sahihi za PO Box, street address n.kSawa baada ya kulog in kwenye akaunt yako mbona sijaona sehemu waliyoweka option ya wewe kuapply kutumiwa kadi hata hiyo bonus ya $25 mbona haipo kwenye akaunt yako..naona balance ni $0
Hongera Mkuu!.Boss sasa nataka kulipwa online huyu client wangu nimpe details zipi, Kadi tayari na nimesha activate muda tu