Pay stubs za mshahara wa Rais

Pay stubs za mshahara wa Rais

Taasisi ya Urais siku hizi! Mmmh! Kila mtu anajibwatukia tu..
Kwa mfano hata ukijua hizo stubs, wewe zinakusaidia nini? Will it change anything? How?

You always find a weak point to cling on so that you can remain relevant.. The Boss calls it 'stunt'!


alipokuwa anaahidi nanyi mkamsifia ilikuwa kick eeeh!.....
 
sina hakika kama mtoa uzi huna matatizo binafs na rais, unampekenyua sana... endelea tu
 
Mkuu huyu kagundua kwamba aliudanganya umma wa Watanzania pale alipotamka kwamba mshahara wake ni 9.5 million. Haiwezekani Wabunge wamzidi mshahara kwa kulipwa mshahara wa milioni 3 na marupurupu ya shilingi milioni 10 jumla ni milioni 13 kwa mwezi. Mshahara wake ulikuwa pegged kwenye US$ ambao ni sawa na $196,000 kwa mwaka hivyo kila shilingi yetu inavyoshuka thamani ukilinganisha na US$ mshahara wake unaongezeka.

We shall see....

I believe he does have some surrogates in here who can relay it to him that folks haven't forgotten about it.
 
Acha upumbavu, Rais ni public figure hivyo hakuna sababu yoyote ya yeye kuficha kiasi cha mshahara wake zaidi ya kuhofia kuonekana mnafiki kwa kulipwa mshahara mkubwa kwa mwezi na huku akiendelea kukwepa kulipa kodi. Nyani Ngabu si public figure kama Rais hivyo hakuna sababu ya yeye kuuweka mshahara wake hadharani.

Kwani wewe Nyani Ngabu unalipwa kiasi gani kwa hii kazi unayofanya?
 
Tuendelee kusuburi mheshimiwa atabandika kwenye mbao za matangazo ili kila aone kwa macho yake. Chezea siasa wewe!
 
Ndio ujue mtu anapoapa anaweza akawa hamaanishi!
 
Kwani wewe Nyani Ngabu unalipwa kiasi gani kwa hii kazi unayofanya?

Kama nyani Ngabu ni mtumishi wa umma, unaweza kujua mshahara wake kwa kuangalia scale za serikali. Kama scale ya Mshahara wa Rais ipo tuwekewe hapa ili tusiendelee kuuliza. Hakuna siri kwenye fedha za umma.
 
Kama nyani Ngabu ni mtumishi wa umma, unaweza kujua mshahara wake kwa kuangalia scale za serikali. Kama scale ya Mshahara wa Rais ipo tuwekewe hapa ili tusiendelee kuuliza. Hakuna siri kwenye fedha za umma.

Eewaaa....
 
Kodi halipi....mshahara wake hatujui ni kiasi gani....

Inaingia akilini kweli hususan ukizingatia kuwa huo mshahara na hayo malipo mengine yanatokana na kodi zetu?
 
Back
Top Bottom