Pay stubs za mshahara wa Rais

Pay stubs za mshahara wa Rais

Anko Magu vipi sasa...?

Mbona kimya?

Tuambie kiasi tunachokulipa walipa kodi...
 
Baada ya Magu kuubomoa UKUTA, kuna atayethubutu kuhoji mshahara wa rais tena?
 
Magufuli anahimiza wananchi walipe kodi lakini haonyeshi mfano wa uwazi katika matumizi ya pesa za walipa kodi. This is a strong disincetive for tax compliance by the general public! Pia kwa nini anaona ni sahihi yeye kutokulipa kodi ilhali ana kipato? Hii pia ni kinyume na kanuni ya usawa katika kulipa kodi (equity in taxation). Mfumo wetu wa kodi ni mbovu kupita maelezo na ndio sababu pengo la matajiri na maskini linapanuka kwa spidi ya roketi.
 
Tatizo la siasa haina rangi....ingalikuwa kuwa na rangi basi transparency and accountability... Kwa watawala ingekuwa sehemu ya utendaji...
 
Hivi nikisema Magufuli ni muongo nitakuwa nimekosea?
 
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...

Mara kapiga simu kwenye TV..

mara apige simu tena ataleta pay slip

mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....

kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....

Muda siyo mrefu mtaujua ukweli
 
Taasisi ya Urais siku hizi! Mmmh! Kila mtu anajibwatukia tu..
Kwa mfano hata ukijua hizo stubs, wewe zinakusaidia nini? Will it change anything? How?

You always find a weak point to cling on so that you can remain relevant.. The Boss calls it 'stunt'!
Si alisema mwenyewe mkulu kwani ni ss tumwambia atuonyeshe hizo stub zake
 
Bado sijasahau hili....hizo pay stubs ziko wapi?
 
Back
Top Bottom