Pay stubs za mshahara wa Rais

Pay stubs za mshahara wa Rais

labda bado yupo chato, maana alisema akitoka chato baada ya likizo ataziweka hadharani!! any way in politcs kila mada ni endless........
 
Hakuna haja kwani itawasaidia kiasi gani kupunguza umasikini wa baadhi watanzania.
Hujaeleza iwapo ataonesha itasaidia kuongeza makusanyo ya kodi na yasiyo ya kodi?
Pia asitoe kwa sababu viumbe nyie si waungwana kwani hamkuamini alichokisema kiasi cha kutaka ataje posho huenda akitaja posho mtataka anavyozitumia.
Itoshe kujua alichokisema. Maana mtoa mada anafikiri Rais yupo ili akidhi matakwa yake. Hili si hitaji la taifa linalomnyima usingizi Rais na serikali yake. Unajua ukiwa na fikra za kufanya mambo makubwa halafu kuna mtu anatumia nguvu nyingi kukumbusha upuuzi usio na tija yoyote kwa wananchi. Badirikeni fikirieni vitu vya kuleta maendeleo.
 
Kama si muhimu na ni upuuzi kama unavyouita basi rais asingeona umuhimu wa kuacha mambo ya msingi kama yapo na kuaahidi suala la kipuuzi.
 
Usimtukane Rais. Rais asingepoteza muda wake kuongelea upuuzi. Kwa hiyo unajua mambo gani ni ya muhimu na yapi ya kipuuzi kumzidi Rais? Unataka kusema Rais alitoa ahadi ya kipuuzi?

Msiwe mnajibu tu kwa kujifurahisha. Zitumikieni akili zenu kuliko kutumikia ushabiki. Transparency katika uongozi ni muhimu sana ndiyo maana matataifa yaliyostarabika mishahara na malipo yao yote huwekwa wazi.
 
Sasa kwa akili yako unafikiri kaahidi kufanya hilo tu. Kwa taarifa yako Rais kaahidi kufanya mambo mengi ya kukwamua hali za wananchi wake wapenda maendeleo.
Hata hiki utakacho alisema atakifanya kwa lengo la kuwafunga midomo wapuuzi ili wapate muda wa kufikiria ya kwao. Lakini alipogundua watu hawa hawafanyi hivi kwa akili zao bali kwa akili za kushikiwa, kaona hakuna haja kujibu kwa haraka bila kujua nia iliyo nyuma yake.
Sasa kama kweli hakili zako hazikutushi, hebu twambie ukiiona hiyo slip salary itakusaidia nini. Au utaenda kukopa benki. Badirika ndugu fikiria namna ya kujiendeleza kimaisha.
 
Kama si muhimu na ni upuuzi kama unavyouita basi rais asingeona umuhimu wa kuacha mambo ya msingi kama yapo na kuaahidi suala la kipuuzi.
Kwa watu wenye akili walipaswa kujua muktadha wa taarifa ile kutoka ilikuwa ni kujibu baadhi ya wanasiasa na baadhi ya vyombo vya habari vilivyofanya ilo swala ni muhimu kwa nchi. Baada ya majibu yale watu waliridhika. Swala la kuonesha slip aslary ilikuwa ni ziada kama kungekuwa hakuna wa kuridhika. Sasa waliohitaji wameridhika wewe kidampa ndio umeshupaa kama unaugonjwa wa akili maana hizi si dalili njema kwako kwani watu wazima wakijadili jambo likipata jawabu huisha na kuendelea na mengine.
 
Mh rais wetu akiwa mapumzikoni kwao Chato alipiga simu kituo kimoja cha Tv na kutaja kile alichosema analipwa kama mshahara wake kwa mwezi. Na kwa kutaka kutuaminisha zaidi akasema akirudi Dar ataweka salary slip zake hadharani.

Tunajua rais wetu yuko busy sana kutumbua watumishi na kuisimamia serikali yake. Basi tutumie uzi huu kumkumbusha kwamba kwa sababu taarifa ya mshahara wake iliwatisha wengi na wapo ambao hawakuamini, tumuombe kwa heshima kubwa atoe salary slip hizo hadharani kama alivyohaidi.

Alipotoa ahadi hiyo nilimuuliza kigogo mmoja serikalini kwamba anadhani bwana mkubwa atatekeleza ahadi yake? Jibu lake lilinifanya nihisi kuna kitu hakiendi vizuri serikalini. Alisema watanzania hamchoki single za DIAMOND!
Tujikumbushe kidogo hapa.............
Utafiti: 71% ya Watanzania hutumia muda wao katika mambo yasiyo na maana
 
Kuna watu humu wanachangia kama wao ndio mrs Magufuli
 
Kutaka kujua matumizi ya kodi si jambo lisilo na maana.
Haya maana kwasababu hata kama akiweka hadharani Salary Slip haiwezi kuua mjadala.Wabongo tayari wana Figures zao vichwani.Hivyo Ikiwa tofauti hakuna atakaekubaliana nayo.
Anyway mtusaidie kupaza sauti ili yafuatayo yafanwe kwanza maana ndio yanatafuna MNO KODI kuliko hata Mshahara wa Rais.
MISAMAHA YA KODI.
RUZUKU KWA VYAMA VYA SIASA.
MISHAHARA YA VIONGOZI WA VYA SIASA KUTOKATWA KODI
MISHAHARA NA POSHO ZA VIONGOZI WASTAAFU
POSHO ZA WABUNGE(SITTING ALLOWANCE).
 
Uwazi katika matumizi ya pesa za walipa kodi ni jambo la maana sana.

Kama jambo jepesi namna hiyo huwezi kuuona umuhimu wake basi, kaa na ujinga wako.

Hakuna utawala bora na maendeleo ya kweli pasipo na uwazi.
 
Giving a try to talking to a Choleric person.Black Outside but White Inside.
B. Choleric- Kundi hili linaundwa na binadamu wenye sifa zinazokinzana na kundi la Melancolin. Wana uelewa mdogo katika kila jambo na wengi hukatisha masomo yao kutokana kuwa na vichwa vizito. Ni wakali, wakatili na wana wivu kwa mafanikio ya watu wengine.
C&P
 
Back
Top Bottom