Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 5,955
- 4,821
Wamarekani wanaujua mshahara wa Obama?Uwazi na Uwajibikaji (Transparency and Accountability) bado ni tatizo kwa Tanzania na nchi zetu za Africa, wakati ukweli unabaki palepale kuwa nchi zinazoendeshwa kwa Uwazi na Uwajibikaji zinafanya vizuri kiuchumi na wananchi wao wana maendeleo kuliko nchi zisizoweka vipaumbele kwenye maeneo hayo.
Wamarekani wanaujua mshahara wa Obama?
mwanaume kushtaki wanaume wenzio ktk media kisa mishahara ya wanaume wenzio ni kukosa kujiamini na atapunguza kwa kigezo kipi ikiwa tayari watu washasainishana barua za mikataba ya ongezeko la mishahara akipunguza kibabe lazima sheria ichukue mkondo wake hadi muda huu hana pa kuanzia ni kosa kuingilia mshahara wa mtu au kuuchezea fuatilia kwa umakini ule mchoro wa january makamba nyani anavyopata tabu kurukaruka ktk matawi ya mti kuna watu chini wanamungalia tu na drama zake utapata jibu ..........
Rais Magufuli, wakati akiwa mapumzikoni huko Chato, iliripotiwa akinukuliwa kuwa akirudi Dar atatoa pay stubs za mshahara wake ili Watanzania anaowatumikia waujue.
Mpaka kufikia sasa, licha ya yeye kurudi Dar kwa zaidi ya wiki mbili sasa (niko tayari kusahihishwa maana siikumbuki vizuri tarehe aliyorudi), sijasikia wala kuona popote pale ambapo hivyo vitu alivyoahidi kuvitoa, kuwa kavitoa.
Naona hata watu walio wengi washasahau tena maana suala lenyewe hata halijadiliwi tena. Ni kama vile lishasahaulika....limekuwa upepo uliokwishapita.
Mimi hili suala siwezi kulisahau na msimamo wangu bado uko palepale. Watanzania walipa kodi wana haki ya msingi kabisa ya kujua pesa zao zinatumikaje.
Kwenye matumizi ya pesa za walipa kodi uwazi ni jambo la lazima.
Nasubiri kuziona hizo pay stubs za mshahara wa rais na asiishie hapo tu. Atuambie malipo yake yote yanayogharamiwa na walipa kodi.
Naamini yeye akifanya hivyo basi hata viongozi wengine wa umma nao wataufuata mfano wake.
We shall see....
I believe he does have some surrogates in here who can relay it to him that folks haven't forgotten about it.
Usisahau kuwa alishtaki kwako pia, au na wewe ni mwanamme?
sikujua hata huko marekani kuna siasa za kuombana salary slip.
Wewe si unamlipa saburi au umeacha siku hizi?Kwani wewe Nyani Ngabu unalipwa kiasi gani kwa hii kazi unayofanya?
Nyani utashitakiwa na kufungwa kwa uchochezi
Nimeanza kuhoji haya mambo miaka 9 iliyopita.
UKAWA ilikuwepo wakati huo?
Wengine sie ni Punda. Ila nyumbu ni wewe na kizazi chako chote.Tafuteni kazi ya kufanya mshahara wa rais mshaujua kama unataka salary slip nenda ikulu ukaulizie.
Acheni mambo ya kike kufatilia mambo ya watu.. Nyummbu wakubwa!
Unachekesha. Mimi naona wamarekani wanaujua mshahara wa rais wako.Wmaarekani wanaujua mshahara wa Obama?
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....