CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 5,000
- 8,545
Sijui na sidhan kama kwa sasa kuna Kiongozi tena Mkuu wa Mkoa tu ambaye anaweza kuwa na Backup ya Viongozi wa Dini kama alivyokua Mh Paul Makonda.
Hakuna na hakuna hakika!!.
Kwakua ukikubalika na Dini ,umekubalika Mbinguni .
Aliyesema Makonda, ndiye yule Ajaye, hakulopoka, alisema haya kwa sababu aliona anafaa na kustahili.
Bangi tu hizo wana uwezo gani wa kuujaza uwanja hao wahuni?Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani
Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni
Nawatakieni Dominica njema
Wala siyo bangi, wanaelewa vizuri wanaongea na zero brain.Bangi tu hizo wana uwezo gani wa kuujaza uwanja hao wahuni?
Hakupenda kuwa hivyo hata wewe watu wanaweza kukuona kitu Dylan siku za mbeleniHivi wale ni wasanii wa nini hata siwaelewagi naonaga kuna kajitu kafupi kama fimbo yenye 30cm
Swagger 😂😂Kumbe kuna mashindano ya kujaza uwanja
Kazi ni nini?Mei mosi ni ya wafanyakazi. Wasio wafanyakazi waende kufanya nini!!!
Serikali iweke siku ya wasio na kazi, ione jinsi watakavyokuwa wanafurika.
Uwanja unajazwa na Watu 😀kwa hiyo moja ya KPI za mkuu wa mkoa kama Makonda ni kuhakikisha uwanja umejaa pasipo kujali wanaojaza uwanja ni kina nani 😃
Acha hizoInakera sana mateja yaliyo frustrated na maisha kutumika kama identity ya vijana wa Arusha, anyway wamekutana combo ya kilaza na mateja