kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,486
- 7,293
Kwani wewe unaona makonda ana kosa gani. Au ni wale wenye kwenda na nani wako na madaraka. Kwetu sisi Makonda yuko sahihi kwa kua anatetea kweli na haki. Isitoshe mtindo wake hua na matokeo. Hao wenye kupinga mtindo wake wa uongozi ni wale wababaishaji wenye nia ya kukingia kifua watu na viongozi dhulumati. CCM ni chama cha mapinduzi ila kuna wapinga maendeleo wamekiteka tena baada ya magufuli kuondoka. Kuwaabisha vigogo fisadi na wazembe mbele ya mikutano ya hadhara ni mfumo wa kimapinduzi. Hatukanwi mtu ila maelezo yake kuhsu kero ya mwananchi itaonyesha anawajibika kwa kiwango gani kwenye utumishi wa umma.Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.
Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.
Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.
Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.
Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.