Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Mhhhhh watu wanashindwa kufanya ya msingi wanadiscuss ya mtu ambaye hana hata muda wa kusikia nini kinaongelewa na hamjui nani kamuweka hapo....fanyen kazi acheni hzo mambo watanzania...kisa kikuu madawa ya kulevya.....nchi ya wala unga...naogopa sana kumwona mtanzania anashabikia watanzania wenzie waharibikiwe....mnahitaji ukombozi mkuu.
Ukiuliza kuhusu jinai ya Daud unawekwa kundi la wanaoshabikia unga ! Vituko haviishi Afrika
 
Mtafute huyo Bashite sasa,sisi Mkuu wetu wa Mkoa ni Paul Makonda
Tumegundua ndiye ndiyo maana tunataka atoke akanushe jinai. Nchi yetu hakuna jinai yaendeshwa na MTU bibafsi mahakamani ndiyo sababu tunamtaka yeye aikanushe au wenye moral authority kama wapo wamkamate
Vinginevyo banana republic at per
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
Kuna ndugu yangu amesoma nae pamba, toka kipnd kile anapewa uDC kino bro akasema huyu mtu mbona namfahamu anaitwa Daudi sasa nashangaa hapa anaitwa makonda, akasema alikua kiherehere toka alivyokua pamba
 
Ukiuliza anaenda kufanya nini huko South ?
Vijana wengi wauza unga hupenda kwenda huko....jee anawakilisha mapapa ya unga?
Anapenda kwenda huko bondeni anatia shaka....tume ya sianga imchunguze huyu kijana
 
Acheni politiki za kijinga. Kazi Gani wakati kamisheni imeundwa ?
Tuache kufanyisha watu mitihani wapimwe kwa ksxi nzuri
Fanyeni hiyo kuwa sera kabisaaaa
Kamisheni na RC wapi na wapi?Namaanisha aachwe afanye majukumu yake km RC.
 
Rais ameshateua Kamishina ambaye ndiye mwenye mamlaka kisheria.

Wengi tu wanalia kila siku makanisani kwa sababu zao sio Makonda tu inategemea umezama vipi kihisia ktk maombi yako.

Hakuna aliyepigwa marufuku kutaja majina ndo maana Sirro amemtaja Vanessa Mdee
Kwa hiyo unatoka povu kutetea wanaoghushi vyeti.?
 
Du nikikumbuka mwaka fulani wazee kwa vijana. Wmama na mabinti. Walipoenda kupinwa bure magonjwa yasiyoambukiza. Ambayo kawaida ni gharama kidogo. Watu wakazidi idadi. Huyu mtu akaomba madaktari waongeze siku nyingine. Keshoye watu wakaja wakahudumiwa. Wengi wa hao wana wajukuu humu. Au watoto na pengine wenyewe. Katika udhaifu wangu pamoja na kuwa mwanamke. Lakini najiuliza. Ushaona mtu mwenye akili timamu na ambaye hajala cha Arusha au si mjinga tu na si ambaye hajiamini kama akili zake zinatosha,akakosa kumbukumbu ya kujua nini kimefanywa na huyu in comparison to all others .Vijana kila siku wanalalamika hawapewi nafasi lakini wakipewa wanashindwa kuteteana. Wazee wataendelea kushika madaraka daima
 
Hakuna mfumo WA kutumia Chet cha MTU mwingine cha form four kuanza certificate TZ
Weka mifano mingine ukiacha Paulo alias Daudi
Hakuna aliyesema kuna mfumo wa kutumia cheti cha MTU mwingine Tanzania ktk elimu yetu
 
Kama tangazo ni la Rais halimuhusu RC kama mfanyakazi ! ??
 
Tumegundua ndiye ndiyo maana tunataka atoke akanushe jinai. Nchi yetu hakuna jinai yaendeshwa na MTU bibafsi mahakamani ndiyo sababu tunamtaka yeye aikanushe au wenye moral authority kama wapo wamkamate
Vinginevyo banana republic at per
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni Mh Paul Makonda.

Sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar sio Paul Makonda kwa jinsi wewe unavyofikiri alivyoapishwa watafute wanasheria mashuhuri wakusaidie nini kifanyike.

Kelele za kwenye mitandao haitusaidii sana hizi kelele ni sawa sawa na kelele za washabiki wa mpira uwanjani hawezi kusaidia goli kufungwa.
 
Kuna ndugu yangu amesoma nae pamba, toka kipnd kile anapewa uDC kino bro akasema huyu mtu mbona namfahamu anaitwa Daudi sasa nashangaa hapa anaitwa makonda, akasema alikua kiherehere toka alivyokua pamba
Anashangaa nini sasa watu wengi wamehama DINI na majina yakabadilika.

Watu wamebadili majina yao mahakamani kisheria kwasababu moja au nyingine haina shida.

Tatizo akili zetu zimeshikiliwa na watu wachache tunaendeshwa tu kila kitu tukiambiwa basi tunabeba bango kabisa na kuwa mstaari wa mbele hata hujui A wala B
 
Kwa hiyo unatoka povu kutetea wanaoghushi vyeti.?
Haturuhusu MTU kughushi vyeti wala hakuna anayetetea makosa kama hayo ndugu elewa hayo

Na kama kuna MTU ameghushi vyeti na mwajiri wake akalijua hilo sheria inafuata mkondo.
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Ndio karudi ww unataka ufanyeje,unachukizwa na jambo usilolijua ama kweli takwimu ya ujinga inaongezeka.
 
Makonda RC wetu wa ukweli. Kipenzi cha wenye nia ya dhati ya mabadiliko nchi hii. Piga kazi kaka.
 
Back
Top Bottom