Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Angekua hana muda wa kusikiliza angelia kanisani? Huyu jamaa huwa anavunja rekodi sana.Mhhhhh watu wanashindwa kufanya ya msingi wanadiscuss ya mtu ambaye hana hata muda wa kusikia nini kinaongelewa na hamjui nani kamuweka hapo....fanyen kazi acheni hzo mambo watanzania...kisa kikuu madawa ya kulevya.....nchi ya wala unga...naogopa sana kumwona mtanzania anashabikia watanzania wenzie waharibikiwe....mnahitaji ukombozi mkuu.
Mtu wa kwanza CCM kumpiga warioba hadharani. Mtu wa kwanza kufunga viatu vya riz1 hadharani. Mkuu wa mkoa wa kwanza kulia machozi hadharani. Kamzidi yule wa Morogoro alieishia kuomba tu msamaha.
Huyo ndo asiesikiliza kinachoongelewa juu yake.