UMEONGEA UKWELI BILA CHENGA.HUOGOPI.Muuza unga mmoja rafiki yake Bashite na ndie aliemfata uko SA
UMEONGEA UKWELI BILA CHENGA.HUOGOPI.Muuza unga mmoja rafiki yake Bashite na ndie aliemfata uko SA
Mwacheni MH afanyie watanzania Kazi,hayo mambo ya vyeti yanawahusu zaidi waajiri wake.Kwani wewe ulitaka kutoa nini?
Tunaeleza ukweli hakuna kinachobembelezwa hapaUnabembeleza ndoa?jamaa keshaoa tayari
Makubwa!! watz bwana!! eleza bashite ndiyo niniNdiyo wewe
Ame graduate baada ya kusoma kozi ngazi ya certificate na diploma.Utakuwaje Graduate ikiwa form four umezungusha??Inakuaje unazungusha halafu uwe GRADUATE labda Chuo Cha CCM
Ni BashiteAme graduate baada ya kusoma kozi ngazi ya certificate na diploma.
Mfumo ambao baadhi ya watz wamepitia ukiondoa wale tuliopitia A level moja kwa moja kwenda Kuchukua shahada
HAPA SIELEWI MAANA YAKEKunasiku jamii itazama kwa kusubili watu wenye kazi yao waje wawaokoe wakati huo watu wenye kuwaokoa wapo mi nasema Makonda ni moja ya waokoaji wasio na ujuzi lakini ameokoa watu wengi sana ambao tungesubiri watalaamu jamii ingeendelea kuzama.
Naomba Wanajamii tumuunge mkono Mh.Makonda na kampong eza kwa kazi nzuri na yahatari ambayo anaifanya.
Kunasiku jamii itazama kwa kusubili watu wenye kazi yao waje wawaokoe wakati huo watu wenye kuwaokoa wapo mi nasema Makonda ni moja ya waokoaji wasio na ujuzi lakini ameokoa watu wengi sana ambao tungesubiri watalaamu jamii ingeendelea kuzama.
Naomba Wanajamii tumuunge mkono Mh.Makonda na kampong eza kwa kazi nzuri na yahatari ambayo anaifanya.
Kakuibia nini,au uchafu wake upi huoHata siku moja Mungu hatumii wachafu kuokoa jamii ispokua tu kwanza kama watatubu na wabadilike ndipo awatumie
Kakuibia nini,au uchafu wake upi huo
Kunasiku jamii itazama kwa kusubili watu wenye kazi yao waje wawaokoe wakati huo watu wenye kuwaokoa wapo mi nasema Makonda ni moja ya waokoaji wasio na ujuzi lakini ameokoa watu wengi sana ambao tungesubiri watalaamu jamii ingeendelea kuzama.
Naomba Wanajamii tumuunge mkono Mh.Makonda na kampong eza kwa kazi nzuri na yahatari ambayo anaifanya.
Ameokoaje ? , kawaokoa kina Nani ? Kazi nzuri aliyoifanya ni ipi ? Hatari ya hiyo kazi nzuri unaipimaje ? Kwa nini kazi iwe nzuri na hatari ?Kunasiku jamii itazama kwa kusubili watu wenye kazi yao waje wawaokoe wakati huo watu wenye kuwaokoa wapo mi nasema Makonda ni moja ya waokoaji wasio na ujuzi lakini ameokoa watu wengi sana ambao tungesubiri watalaamu jamii ingeendelea kuzama.
Naomba Wanajamii tumuunge mkono Mh.Makonda na kampong eza kwa kazi nzuri na yahatari ambayo anaifanya.
Mwacheni MH afanyie watanzania Kazi,hayo mambo ya vyeti yanawahusu zaidi waajiri wake.
Hakuna mfumo WA kutumia Chet cha MTU mwingine cha form four kuanza certificate TZAme graduate baada ya kusoma kozi ngazi ya certificate na diploma.
Mfumo ambao baadhi ya watz wamepitia ukiondoa wale tuliopitia A level moja kwa moja kwenda Kuchukua shahada