Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
Mkuu vipi?la Omo au Jik?kaombeni msamaha yaishe,otherwise mtajutaaa...
 
kama ni kweli, basi machozi ya huyo dada yataendelea kumsumbua hadi aseme poo,

baada ya kusoma na kupendeza akaenda kujitwalia chotara wa Kinyarwanda, doh... nyie wanaume nyie........ndomana siku izi mapenzi ya kweli hamna, mtu anaangalia pochi tu coz anajua akikukubali na dhiki zako baadae ukishapendeza utamuona sio hadhi yako tena...... Lord have mercy
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
Bashite zero
 
mnasema hatutalala kwasababu ya ukabila, bashite ni poti wa mkuu? kwasababu mmetoka kanda moja? ndio maana nchi inaenda kama ya vichaa kwasababu tunaendeshwa na watu wa aina hiyo.
Gwajim katoka kanda ipi?
 
Kuna Taarifa kwamba Mtuhumiwa hakuwa na lengo la kurudi; lakini punde baada ya mch. ngwajima kumuanika hadharani yule msichana wake Wa kwanza (mchumba Wa kwanza) ambaye alikuwa ameshamtamulisha kwao enzi hizo Kwa ahadi ya kumuoa (Christina spiriani). Kuwa huyu ndiye aliye msaidia kupata cheti cha kaka yake (Paul) ambacho walikitoa copy na kukitumia kuomba chuo huko Mwanza!
Na alipomaliza chuo akaamua kumwacha yule msichana wake aliyemsaidia na kupata mwanamke Mpya ambaye alifunga naye ndoa (feki) kwa jina (feki).
"MKEWE ILE JUMAPILI ALIVYOSIKIA HIVO UNAAMBIWA KAPANIKI SANA HADI JAMAA AKAAMUA KURUDI TOKA SOUTH"

Hebu anzisha hata uzi wa Man U na Chelsea aisee tupumzike na hii topic
 
Hiyo issue ni kweli,kuhusu kutembea na mdogo wake Paul christian malanja ambaye ni mtangazaji wa Voice of Tabora,kipindi Daudi bashite anaenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa beach ya kanisa la AIC bwiru ambapo alitoa MILIONI 80 huyo kijana Paul Malanja alipigia hadi simu ndugu zake Mwanza wakaonane na Bashite wamuombe amsaidie kwani kamsahau na kijana kapigika,ndugu zake walikataa maana story nzima wanaijua toka anaomba cheti akajiunge polisi(HAKUNUA CHETI,ALIPEWA NA SHEMEJI KIMSAADA)lakini toka alivyomtupa kaka mtu na familia iliyomsaidia huku wakisikia jinsi anavyohonga machangu wa Bongo movie ilikuwa inawauma sana ile familia.
Alipotoka hapo akaenda Dodoma yule kijana akatoka Tabora hadi Dodoma kumfata Bashite na hakupata msaada wowote
kuna time pia zamani daudi aliwahi kwenda mwanza kijana huyo paul Malanja akamfata na kuishia kulipiwa malazi ya week moja DELUXE HOTEL ya sh 10,000 kwa siku huku akiwa hana hata hela ya kula na kuishia kusumbua ndugu zake
Sasa baada ya haya mambo kubumburuka cha kushangaza huyo PAUL CHRISTIAN MALANJA anawaambia ndugu zake kwamba hakumpa cheti bashite na hajui lolote kuhusu suala hilo tena anakuwa mkali kabisa
Nafikiri unaweza kujua ni nini tayari ambacho kimekwishafanyika.
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
Waandishi kama wale wa TBC1 na habari ya Trump kumsifia Mkuu sana
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
Huhuhuhuhuhuhuhuhu na badoooooo......Sindano haijaingiaa vizuuurii ndo utajua ni Viroba
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
Na wewe ukisumbua tunatia timu hadi mwandiga kufuatilia matokeo yako ya shule
 
2efa551d24b2e65eee5107c1274c9444.gif
sitoki
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
TBC je? watangazaji mazero nao?
walichukua habari za viroba au ?
 
Hebu anzisha hata uzi wa Man U na Chelsea aisee tupumzike na hii topic
Haiwezekani hata kidogo mkuu,kuna mtu ameacha familia yake,yuko jela anatumikia miaka 28 sababu ya kukutwa na cheti feki,alafu nyie boss wenu anatamba tu uraiani.
 
Kuna Taarifa kwamba Mtuhumiwa hakuwa na lengo la kurudi; lakini punde baada ya mch. ngwajima kumuanika hadharani yule msichana wake Wa kwanza (mchumba Wa kwanza) ambaye alikuwa ameshamtamulisha kwao enzi hizo Kwa ahadi ya kumuoa (Christina spiriani). Kuwa huyu ndiye aliye msaidia kupata cheti cha kaka yake (Paul) ambacho walikitoa copy na kukitumia kuomba chuo huko Mwanza!
Na alipomaliza chuo akaamua kumwacha yule msichana wake aliyemsaidia na kupata mwanamke Mpya ambaye alifunga naye ndoa (feki) kwa jina (feki).
"MKEWE ILE JUMAPILI ALIVYOSIKIA HIVO UNAAMBIWA KAPANIKI SANA HADI JAMAA AKAAMUA KURUDI TOKA SOUTH"
Wakati mwingine hua naona kama watu mnakosa cha kufanya tu japo ni uhulu wa kuongea lakini kuna kuongea kusiko kwa kujifikirisha
 
Hii habari naona inawahusu watu wa Dar, imekaa ki Dar es salaam zaidi
 
Back
Top Bottom